CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

CHADEMA hila zenu dhidi ya Amani na utulivu wa taifa hili zinaendelea kubainika!

Watanzania wapenda Amani hatutakubali upuuzi huu!
 
Mleta habari ni muongo na shangaa mpaka sasa mods mnaacha uongo huu sijui ni kwafaida ya nani.

CCM mtatafutana na hekaya zenu zote ila milele msahau kuishusha chadema na tumaini pekee la Watanzania.

Uongo vip ww kila taarifa mbaya inayoihusu chadema ni uongo huku umekaa nyuma ya keyboard. Itv wameonyesha live kwanza na viungo vya albino
 
Hakika chadema wanataka nchi iwake moto kama alivyo sema Mbowe.
 
huyu rpc msangi nakumbuka aliwa kutuhumiwa kushiriki vurugu za arusha. ili la leo nimemshangaa sana. muache atumike ila atapa aibu tu
 
Mungu alivyokuwa mkubwa anazidi kuwaumbua wanaopanga nia mbaya dhidi ya Chadema hii sinema itapita tuu kama ile ya Lwakare ccm walivyosema gaidi lakini mahakama iliwambua mwaka huu tutashuhudia mengi sana ccm wana hali mbaya sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Naomba we Bavicha uniambie vifaa vya jeshi mlikuwa mnavifanyia nini?
 
Hawa viongozi wa Jeshi la Polisi ni aibu kumuona RPC akiassociate matukio yale kana kwamba ni kweli? Hivi ikitokea upinzani ukachukua dola mtakuwa wapi? Think criticaly before doing nonsense. Shame on you
 
Eti kisu ni kifaa cha kijeshi,mbinu za mwaka 95 mnaleta leo ccm?ngoma imewakalia vibaya mwaka huu lazima mtapike.
 
Waku taarifa ya itv imeonyesha vijana wa chadema maarufu Kama redbrigade wakiwa na visu viatu vya jeshi Pamoja na kiganja Cha albino hakika hii imenisikitisha sana
 
Uongo vip ww kila taarifa mbaya inayoihusu chadema ni uongo huku umekaa nyuma ya keyboard. Itv wameonyesha live kwanza na viungo vya albino

Ulitegemea policcm wakuambie nini juu ya chadema? Hicho ni kitengo maalum cha mikakati kwaajili ya kuondoa upinzani ila umechelewa mkakati huwo....
 
Wakishirikiana na yule Mkuu wa kitengo cha MACCM kinachojihusisha na ugaidi na kubambakizia kesi chini ya Mkuu wa kitengo gaidi Savimbi.

Policcm wakiwa kazini!! Mwaka huu kitaeleweka!!
 
Hii comade inasikitisha. Katika mipango ya Mungu hata uongo unshidwa kukamilika,
Leo hii Red briged kama tayari wananjama hizo, ikiwemo visu, manati na silaha nyingine, je? Sale za jeshi zanini tena. Hivi bila kiwa na sale za jeshi mipango yako haiwezi kutimia.

Hii nikutaka kukuza story na mleta mada anaongeza mavisu mpaka ya ku-google ile kunogesha mjadala na kujenga hofu. Daima Chadema itashinda ,CHADEMA ni mpango wa Mungu na kama mlivozoea kuumbuka na hawamu hii mtaumbuka pia
 
Eti kisu ni kifaa cha kijeshi,mbinu za mwaka 95 mnaleta leo ccm?ngoma imewakalia vibaya mwaka huu lazima mtapike.

Kama Kisu ni kifaa cha kijeshi basi kila Nyumba DUNIANI iko kwenye hatia!!
 
Ccm ni mwakilishi wa Shetani na ndio maana matatizo ya Watanzania yanendelea kukua siku hadi siku. Ccm badilikeni na mfanye mambo ya msingi.

Umenena vema.

Ila najiuliza hata hao wanaopanga mipango kizembe namna hii watakuwa na matatizo. Hata ningekuwa mimi nimekupa jukumu la kupunguza nguvu ya chama pinzani ukaja na mkakati usioonesha ubunifu wowote ule kama huu...!kweli nitaku-demote!
 
Waku taarifa ya itv imeonyesha vijana wa chadema maarufu Kama redbrigade wakiwa na visu viatu vya jeshi Pamoja na kiganja Cha albino hakika hii imenisikitisha sana

Hahahahaaaaa! Uongo mwingine bhana! Unafikiri watanzania wote ni wajinga? Walikamatwa na mavazi ni wengine na waliokamatwa na kiganja nako ni wengine.Ila vyote vilikua kwa Kamanda Msangi.Mwogope Mungu mkuu,wewe ni reporter fake.
 
Back
Top Bottom