Chadema Waishukuru Polisi

Chadema Waishukuru Polisi

Kwani akisema mkubwa ndio kweli? Kuna personal interest zimejificha hapo.

Sishawishiki unahitaji kupata mafunzo ya kipelelezi au kijasusi kutambua hili. Hotuba tu yaanza na Polisi wabomua mabomu kusambaratisha.

Wisely:
Kama wangewaacha waandmane kwa amani, and mkutano ufanyike kwa Amani.....wangesikiliza and wangeenda kuyatafakari ndani ya majumba yao
 
Mwiba wewe ni mwanga,muuaji,jinamizi,matongotongo,uvundo,my foot,hayawani,mwanaharamu,najisi,Umechanyikiwa,mkuda wewe,chotara wewe,mla watu,damu ya kunguru wewe.Fakeni
Kama kweli nipo hivyo basi nimefanana na mama yako:car:
 
Unafahamu jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,mambo ambayo yangetokea kama maandamano yangefanyika yangelipelekea Chadema kufutwa na pia wengi wa viongozi kuishia gerezani.

Majanga ambayo yangetokea kusingelikuwa na wa kumshika isipokuwa wahusika wangelikuwa ni Chama cha Chadema.Ni vizuri Chadema kutafuta ni habari gani polisi walikuwa nazo na ni akina nani walitayarisha mipango hiyo ya hatari,Je ni UVCCM au Ni WaChadema.

Habari za kiintelijensia ambazo polisi wamesema wanazo au walizipata bila ya wasiwasi wowote ule zingehatarisha usalama wa raia wengi kuliko inavyofikiriwa ,nionavyo ndio maana polisi wakalazimika kuzima maandamano kwa njia yeyote ile alimuradi nia ya waliokusudia uovu kutumia maandamano hayo zisifanikiwe.

Inawezekana kabisa habari hizo zikawa na ukweli au zikawa ni rummors zisizo na uthibitisho wowote ule, sasa inakuja kuja hali ya kudhibiti ni pale tunaposema ni bora kukinga kuliko kutibu,polisi wamekinga.

Ingawa kuna watu humu watakuja na ujuwaji kulivyo wanavyojua,hao huwa nawaweka mkono wa kushoto na ni watu wa kupuuzwa,changamoto iliyopo ni uongozi wa juu kutafuta hizo habari za kiupelelezi kutoka kwa jeshi la polisi na kuwajua wabaya wao waliotaka kujichomeka ndani ya maandamano ili kujua ukweli wa mambo.Tugange yajayo yaliopita si ndwele ndivyo waswahili tusemavyo.

We ni polisi nini? Maana hata hoja zako unavyozijenga inaonekana wazi kuna upugufu mkubwa. Unatumia sana nguvu kuliko hoja inayojipa nguvu yenyewe. Hii siju ni wapi inaweza kuwa na mvuto, ila nina uhakika hapa siyo mahali pake. Hata kama umekusudia kudanganya, ukiwa mwerevu kiasi, angalao utaangalia kwanza ni nani wanaweza kudanganyika. Pole sana
 
Mwiba,
Matatizo yako tuyaite "CHADEMA Shock"; umekuwa mwoga sana na Chadema, na wasiwasi wako mkubwa ni ile growth ya Chadema, yaani baada ya miaka 5 tu imeifunika CUF, in more than five years sijui itakuwaje, kwa taarifa yako utapata ugonjwa wa moyo kwa kujilinganisha na kubeza Chadema. Growth ya CUF ishakwisha, PEMBA ni sawa na Mkoa wa Ilala au nusu yake; na Zanzibar CUF isha-fikisha limit.

Fikiria CHADEMA itazidi kukua Bara kote, ARUSHA ni mojawapo ya stragetical places Kilimanjaro, sasa hujaenda Mwanza, Mbeya, Iringa, Bukoba, Tabora, Shinyanga, Mara kote huko. Usibeze jabari> Your Shoch is imminent, I can see it and I understand you, but you are wrong because you're showing your true weakness!

Kama alivyosema Dr. Slaa viongozi wa CCM karibu nusu ni Chadema, and they feel it, you can see them, the only issue they are afraid of is their bread, because most of them are paid by CCM. Wapo kwenye payroll ya CCM.

You have to read the TIMES!! CHADEMA is a big shoch to both CUF and CCM. Kama kweli CUF mngekuwa genuine ilibidi mfurahie CHADEMA na maendeleo yake.

Jibu lake ni fupi. Na pia unanena vizuri. Chadema is big shock to CUF, CCM and evene Tanzanians. Ushindi wa viti 47 umewafanya watoe kucha zao walizozificha. Lakini pia wakati CUf wanakula matunda ya siasa za chuki na vurugu, Chadema nao wanasema ni wakati wao kujitengenezea mlo. Tatizo wanasahau kuwa Tanganyika sio Zanzibar, Upemba sio Uchaga lakini zaidi watangayika sio dini moja kama wapemba.....
 
MWIBA: kama ulijua mambo yako mahakamani nini kilikutuma ulete habari za umbeya wako na polisi-za kiitelegensia-STUPID!! Hao polisi km walikuwa wanajua habari yeyote nyeti wange KAMATILIA HICHO chanzo ili maandamano yaendelee siyo kuzuia. acha kuwa kama mwenye mtindio wa ubongo na taahira ya akili!!
 
Mimi namfananisha MWIBA na Tambwe Hiza,usikute they are one and the same.
 
mambo yapo mahakamani hatuwezi kuingilia kati,ila kama upo nje ya nchi basi tega sikio na tupia macho jf kila wakati ,tupo mbioni kuyatafuta ,chadema walitaka kuichafua arusha.

sikosei kukuunganisha wewe mwiba na kundi la mashetani -tena unaweza pewa uongozi wa mashetani. Ulaaniwe wewe na police wauaji na waliowatuma kuua. Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zake. Kwa hili polisi wameua na wamesababisha mali za raia kupotea -police ifutwe wauaji wakubwa.
 
WanaJF,

Post ya mwiba inatafsiriwa kama "Crap" na wengi wa wachangiaji, mimi naoana ametumia kejeli kidogo kuwasilisha ujumbe mzito.

Amesema analaani mauaji ya raia wasio na hatia. Hili halina shaka limo kwenye post yake...pia amekwenda mbali kusema wakati 2001 wapemba waliuwawa na hawa hawa Polisi wa serikali inayoilinda CCM na si wananchi. walipofanya mauaji wengi wa watu walifurahia waliona ni sawa tu waliyofanya Polisi wakati huo.

Vyama vyengine vinapoandamana, maoni yanayotolewa humu Jf yanaweza kukufanya ujiulize masuali mengi na usipate jawabu..wengine husema "vunja miguu", "vunja mikono hao", washikishe adabu hao nk.

Waswahili husema "ukimuona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji!"
Kwa hiyo, wakati tunauchungu, tunaomboleza vifo vya Watznia wenzetu, pia tutafakari zaidi kuwa ushabiki wa kichama pekee, unatupeleka pabaya, kuna mambo ambayo yanamgusa kila raia, aliye Arusha, aliye Lindi, aliye Tanga, aliye Mbeya, aliye Pemba na kwa hivyo, linapotokea kama hili la Arusha inapasa tushikamane na kudai haki zetu.

kama nimemfahamu vyema Mwiba ni kuwa kama jamii ya Tz ingesimama kidete kutetea, kuunga mkono na kutetea haki za Raia waliouwawa Pemba 2001 leo Polisi na serikali ya CCM isingekuwa na jeuri hii waliyoifanya Arusha.

Badala ya kutupiana matusi, tuutafakari ujumbe wa Mwiba na tuufanyie kazi.
Tushikamane! na Haki ya Raia inapokanyangwa sote, tuhisi kuwa tumeonewa na tudai haki hiyo.

Na CCM na serikali yake haitaishia hapo,itaendeleza kumpiga nyundo kila ambaye anatishia maslahi yao.
kauli za NCCR, CUF nk ni mwanzo mzuri, vyama vinaanza kuona ukweli na taasisi nyengine za kiraia pia. sasa isiwe kwa hili tu.

brilliant!!
 
Unafahamu jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,mambo ambayo yangetokea kama maandamano yangefanyika yangelipelekea Chadema kufutwa na pia wengi wa viongozi kuishia gerezani.

Majanga ambayo yangetokea kusingelikuwa na wa kumshika isipokuwa wahusika wangelikuwa ni Chama cha Chadema.Ni vizuri Chadema kutafuta ni habari gani polisi walikuwa nazo na ni akina nani walitayarisha mipango hiyo ya hatari,Je ni UVCCM au Ni WaChadema.

Habari za kiintelijensia ambazo polisi wamesema wanazo au walizipata bila ya wasiwasi wowote ule zingehatarisha usalama wa raia wengi kuliko inavyofikiriwa ,nionavyo ndio maana polisi wakalazimika kuzima maandamano kwa njia yeyote ile alimuradi nia ya waliokusudia uovu kutumia maandamano hayo zisifanikiwe.

Inawezekana kabisa habari hizo zikawa na ukweli au zikawa ni rummors zisizo na uthibitisho wowote ule, sasa inakuja kuja hali ya kudhibiti ni pale tunaposema ni bora kukinga kuliko kutibu,polisi wamekinga.

Ingawa kuna watu humu watakuja na ujuwaji kulivyo wanavyojua,hao huwa nawaweka mkono wa kushoto na ni watu wa kupuuzwa,changamoto iliyopo ni uongozi wa juu kutafuta hizo habari za kiupelelezi kutoka kwa jeshi la polisi na kuwajua wabaya wao waliotaka kujichomeka ndani ya maandamano ili kujua ukweli wa mambo.Tugange yajayo yaliopita si ndwele ndivyo waswahili tusemavyo.

mods...... concentrate on misleading and provoking topics and not topic replies which make thread irritative.... please take my note .... replies are subject to topics which are completely miserable that hampers members to unfold their emotions .... if persist every one will loose control ... i wonder how would the JF future be...?

ukweli ni ukweli.... tazameni nani anaanzisha provoking topics and not replies
 
WanaJF,

Post ya mwiba inatafsiriwa kama "Crap" na wengi wa wachangiaji, mimi naoana ametumia kejeli kidogo kuwasilisha ujumbe mzito.

Amesema analaani mauaji ya raia wasio na hatia. Hili halina shaka limo kwenye post yake...pia amekwenda mbali kusema wakati 2001 wapemba waliuwawa na hawa hawa Polisi wa serikali inayoilinda CCM na si wananchi. walipofanya mauaji wengi wa watu walifurahia waliona ni sawa tu waliyofanya Polisi wakati huo.

Vyama vyengine vinapoandamana, maoni yanayotolewa humu Jf yanaweza kukufanya ujiulize masuali mengi na usipate jawabu..wengine husema "vunja miguu", "vunja mikono hao", washikishe adabu hao nk.

Waswahili husema "ukimuona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji!"
Kwa hiyo, wakati tunauchungu, tunaomboleza vifo vya Watznia wenzetu, pia tutafakari zaidi kuwa ushabiki wa kichama pekee, unatupeleka pabaya, kuna mambo ambayo yanamgusa kila raia, aliye Arusha, aliye Lindi, aliye Tanga, aliye Mbeya, aliye Pemba na kwa hivyo, linapotokea kama hili la Arusha inapasa tushikamane na kudai haki zetu.

kama nimemfahamu vyema Mwiba ni kuwa kama jamii ya Tz ingesimama kidete kutetea, kuunga mkono na kutetea haki za Raia waliouwawa Pemba 2001 leo Polisi na serikali ya CCM isingekuwa na jeuri hii waliyoifanya Arusha.

Badala ya kutupiana matusi, tuutafakari ujumbe wa Mwiba na tuufanyie kazi.
Tushikamane! na Haki ya Raia inapokanyangwa sote, tuhisi kuwa tumeonewa na tudai haki hiyo.

Na CCM na serikali yake haitaishia hapo,itaendeleza kumpiga nyundo kila ambaye anatishia maslahi yao.
kauli za NCCR, CUF nk ni mwanzo mzuri, vyama vinaanza kuona ukweli na taasisi nyengine za kiraia pia. sasa isiwe kwa hili tu.

Mkuu NONDA uchambuzi wako ni mzuri na unamwelekeo wa kuangalia mbele ambako taifa letu linatakiwa kuwa katika kulinda amani badala ya kutoa hoja za kishabiki tu
 
Tutateswa ile mbaya na hii dhana ya kuzuia uhuru "kwa sababu za kiintelijensia" ambazo hazifafanuliwi. "Sababu za kiintelijensia" ni semo inayoanza kutia kinyaa eti!
 
Tatizo si kuwepo kwa taarifa hizo za ki-inteligensia, issue ni kwa nini jeshi la polisi halikufuata taratibu muafaka ambazo zingezuia hata yale yaliyotokea..?? Kulikuwa na njia nyingi mojawapo ni kwa IGP kumuagiza RPC wa Mkoa wa Arusha kutable meeting na Chadema and zaidi ya hapo angeweza pia kufanya hata ka-tel conference na viongozi wa Chadema ili wajadili hizo risk ambazo wanazisema. Naamini Chadema ni chama cha vipanga ambacho kimeweka viongozi based on qualifications sio majungu kama chama chenu and for that reason wangelewa na I believe kama risk level ingekuwa juu wangeahirisha maandamano au wangekubaliana the best way kuziba mianya ya risk.

Ila option walioichukua ndio inaonyesha kuwa kuna yaliyojificha and not hizo risk wanazoongelea. Kama kuna risk, siku zote ukimweleza mtu mwenye akili timamu ambaye anaangalia facts, then utegemee kukubaliwa ila tu kama una facts na sio porojo.
 
Wekeni pembeni matusi,hapa nilipo nipo na mkuu tena wa ngazi za juu kabisa,amesema kipo kitu ilikuwa kitokee na kama sio polisi kuingilia kati basi ana uhakika Chadema wangetwishwa mzigo wa lawama.
Nyie wengine mpo kusubiri habari tu,hebu ingieni deep kwenye hili jambo ili mjue ni kipi hicho walichokuwa nacho polisi ???
Acha kututisha kwamba una mkuu, kwa uwezo mdogo wa kufikiria wewe ukiwa na mgambo wa mtaa unahisi uko na mkubwa. Pole. Huyo mkubwa anafanya nini jf kama haongei kitu
 
Wekeni pembeni matusi,hapa nilipo nipo na mkuu tena wa ngazi za juu kabisa,amesema kipo kitu ilikuwa kitokee na kama sio polisi kuingilia kati basi ana uhakika Chadema wangetwishwa mzigo wa lawama.
Nyie wengine mpo kusubiri habari tu,hebu ingieni deep kwenye hili jambo ili mjue ni kipi hicho walichokuwa nacho polisi ???

Huyo Mkuu si akuambie ni kitu gani? Unatuuliza sisi jibu wakati mwenye jibu unaye? Huo ni uzushi na hakuna kitu, Chadema wangefanya fujo gani, hawana dola, hawana bastola, bunduki, risasi za moto, mabomu nk. Itakuwa ni kuwaonea tuu chadema. Kama suala la kufanya fujo, siyo lazima maandamano.
 
Hivi hizi habari za kiintelijensia za kipolisi zina tofauti gani na ule utabiri wa sheikh Yahya Hussein ambao huwa unakuja kwa wingi zaidi unapokaribia uchaguzi mkuu?
 
I was not aware if we have some individuals whose IQ is less than 20 which shows profound mental retardation.
 
Mwiba,
Watanzania usiwageuze zezeta na wala kuendelea kuwapotosha wasio jua kilichokuwa kinaendelea. Hakuna cha taarifa ya inteligentia bali ni hofu tupu ya serikali iliyomfanya kumshinikiza IGP kutoa amri ambayo kwa mujibu wa SHERIA hakuwa na mamlaka yao. Serikali na kwa serikali ninamaanisha JK aliingiwa hofu kuwa Chadema itatumia nafasi hiyo kuzungumzia masuala mazito ya kitaifa(jambo ambalo ni haki
yetu kikatiba). Usalama uliohofiwa si wa Taifa bali wa JK na kundi lake, na kwa hofu hiyo tu wamepelekea umwagaji wa watanzania wasio na hatia. si kitu damu hiyo italia kwa Mwenyezi Mungu na hataacha kusikiliza kilio hicho kwa njia itakayompendeza YEYE.
 
Umesema kweli Dr. Usalama uliohofiwa kupotea ni usalama wa wezi yaani JK na genge lake la wezi na wala sio usalama wa sisi raia wema wa Arusha tuliokuwa tunatekeleza haki yetu ya kiraia na kikatiba ya kukusanyika kwa amani.

Aluta Continua!
 
Back
Top Bottom