AMARIDONG
JF-Expert Member
- Jun 24, 2010
- 2,502
- 180
Mwiba,
Watanzania usiwageuze zezeta na wala kuendelea kuwapotosha wasio jua kilichokuwa kinaendelea. Hakuna cha taarifa ya inteligentia bali ni hofu tupu ya serikali iliyomfanya kumshinikiza IGP kutoa amri ambayo kwa mujibu wa SHERIA hakuwa na mamlaka yao. Serikali na kwa serikali ninamaanisha JK aliingiwa hofu kuwa Chadema itatumia nafasi hiyo kuzungumzia masuala mazito ya kitaifa(jambo ambalo ni haki
yetu kikatiba). Usalama uliohofiwa si wa Taifa bali wa JK na kundi lake, na kwa hofu hiyo tu wamepelekea umwagaji wa watanzania wasio na hatia. si kitu damu hiyo italia kwa Mwenyezi Mungu na hataacha kusikiliza kilio hicho kwa njia itakayompendeza YEYE.
Baba umenena big up;;tafadhali ukapumzike sasa ili utuandalie hotuba nzuri kesho tutakuja kwa wingi wetu kukusikiliza Raisi wetu laaa kucha mmbe kanyi,