Chadema Waishukuru Polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Waishukuru Polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jan 9, 2011.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Unafahamu jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,mambo ambayo yangetokea kama maandamano yangefanyika yangelipelekea Chadema kufutwa na pia wengi wa viongozi kuishia gerezani.

  Majanga ambayo yangetokea kusingelikuwa na wa kumshika isipokuwa wahusika wangelikuwa ni Chama cha Chadema.Ni vizuri Chadema kutafuta ni habari gani polisi walikuwa nazo na ni akina nani walitayarisha mipango hiyo ya hatari,Je ni UVCCM au Ni WaChadema.

  Habari za kiintelijensia ambazo polisi wamesema wanazo au walizipata bila ya wasiwasi wowote ule zingehatarisha usalama wa raia wengi kuliko inavyofikiriwa ,nionavyo ndio maana polisi wakalazimika kuzima maandamano kwa njia yeyote ile alimuradi nia ya waliokusudia uovu kutumia maandamano hayo zisifanikiwe.

  Inawezekana kabisa habari hizo zikawa na ukweli au zikawa ni rummors zisizo na uthibitisho wowote ule, sasa inakuja kuja hali ya kudhibiti ni pale tunaposema ni bora kukinga kuliko kutibu,polisi wamekinga.

  Ingawa kuna watu humu watakuja na ujuwaji kulivyo wanavyojua,hao huwa nawaweka mkono wa kushoto na ni watu wa kupuuzwa,changamoto iliyopo ni uongozi wa juu kutafuta hizo habari za kiupelelezi kutoka kwa jeshi la polisi na kuwajua wabaya wao waliotaka kujichomeka ndani ya maandamano ili kujua ukweli wa mambo.Tugange yajayo yaliopita si ndwele ndivyo waswahili tusemavyo.
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Corrupted brain, corrupted mind, corrupted thinking

  Conclusion: CRAP
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kama walikuwa na habari za kiintelijensia unadhani bila maandamano madhala yasingelikuwepo? Hawa vichwa wazi watutolee uongo wao hapa. Sasa waweke wazi inteligensia yao kwa kueleza mbona kwa kilometa 2 walizokuwa wameshatembea hakukuwa na tatizo hadi wao polisi walipoanza fujo? Tell me you killers!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mwiba umepoteza mwelekeo na credibility!
  Habari za kiintelijensia zinaniambia kwamba unaishi kwa kutunga kubuni na kuzusha mambo na kuhisihisi bila kuwa objective!
   
 5. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ndio mwisho wako wa kufikiri?
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wacheni Jazba ,muhimu ni kutafutwa walichokuwa nacho polisi ,jamani hasira hazijengi ,JF ni moja ya kiini zipatikanapo habari za kiintelejinsia ,sasa kale kaizi chetu ni lazima kapite huko kwenye vitalu vya habari za upelelezi ziwekwe hapa ,ikiwa Chadema na uongozi wao watashindwa kuzipata ,kama mnafahamu hili sio jambo jepesi ni lazima ukweli wa kilichokuwa kitendeke ambacho polisi walikihofia kielezwe ,nani atakieleza ,je Chadema wanazijua au wameshazijua ,au walipokamatwa walimegewa na sasa wamekaa kimya ,wengine wacheni kumwaga mavumba maana mna harufu mbaya ya midomo.
   
 7. T

  Tanganyika Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujui unachokizungumza na si dhani kinatokea kichwani (upstairs) labda kwenye kichwa cha chini (down stairs)!
   
 8. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umeishiwa hoja.
   
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  A vry BIG THANKS!!! Una2mia knywaji gn nkfowadie ss hv?..
   
 10. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaani wewe watu wote wanalaani yaliyotokea na wewe tu uko kinyume. Hebu fikiria ndugu yangu. Usiongelee tu kama kushabikia judge critically.
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wekeni pembeni matusi,hapa nilipo nipo na mkuu tena wa ngazi za juu kabisa,amesema kipo kitu ilikuwa kitokee na kama sio polisi kuingilia kati basi ana uhakika Chadema wangetwishwa mzigo wa lawama.
  Nyie wengine mpo kusubiri habari tu,hebu ingieni deep kwenye hili jambo ili mjue ni kipi hicho walichokuwa nacho polisi ???
   
 12. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yakhe mimi ni mtu wa kwanza kulaani mambo haya ,tena ni nambari one,tokea 2001 ,nafikiri ulikuwa wewe hujui hata kama kuna JF,wakati huo ikiitwa Jambo ,na ilikuwa Jambo kweli,sasa hii ya Arusha kwangu mimi ni muendelezo tu wa yale ambayo nikiyapinga kwa marefu na mapana ,siejui wakati huo mlikuwa wapi ,maana kama tungelikuwa pamoja wakati huo ,haya ya leo yasingetendeka,lakini mlitutenga na kutona wapemba si watu.

  Now police forces kill your brothers and sisters ,poleni sana ,leo hii ndio mnatambua kuwa Serikali ya CCM ni mbaya,leo hii ndio mnatambua kuwa jeshi la polisi halitendi haki ,leo hii ndio mnatambua kuwa jeshi la polisi linauwa raia wasiokuwa na hatia.

  Basi wandugu bado huo au hio ni dibaji tu,polisi hao watauwa,watatesa watanajisi na watafanya kila ovu mnalolijua na msilo lijua,kama nasema kama hamkuamua kupambana nao roho kwa roho basi hayo makelele yenu hayatakuwa dawa wala hawatayasikia,endeleeni kuleta matusi hapa labda mnaona hiyo ndio dawa.
   
 13. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mwiba wewe nishetani wa kuzimu rusfa nyamrunda wa kuzimu umesha kunywa damu za watu watatu waliouawa na polisi na wengine kujeruhiwa kwa risasi za moto, sasa umetosheka kilicho baki ni kuwashukuru walio fanikisha kupatikana kwa damu hiyo........
   
 14. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mwambie huyo mkubwa kuna kubwa kuliko la kuiba Benki Kuu (EPAgate), Kuchakachua Matokeo ya uchaguzi (NECgate) ama kuilipa Kampuni Hewa(DOOR ONES saga) na hakuna uvunjifu wa amani, iweje wananchi kupinga uchaguzi wa Meya ndo iwe issue!
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwa mara ya kwanza naungana na wanajamii!This is simply CRAP!Kila saa habari za kiintelijensia kiintelijensia...tupeni na sisi hizo habari zenu za kiintelijensia tupime maafa mliyosababisha na hicho mnachodai kingeweza kutokea!
   
 16. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mambo yapo mahakamani hatuwezi kuingilia kati,ila kama upo nje ya nchi basi tega sikio na tupia macho JF kila wakati ,tupo mbioni kuyatafuta ,Chadema walitaka kuichafua Arusha.
   
 17. c

  clemence abex Member

  #17
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha kutupa mawe kwenye nyumba ya vii au we hujui kua mchungaji maskin hawez kuubil injil ya kweli:shut-mouth:
   
 18. c

  clemence abex Member

  #18
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwambie kenge huyo au hajui kuwa chadema ndio 2maini la watanzania masikini
   
 19. c

  clemence abex Member

  #19
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  polisi wa tz ni kama mtu coz mbwa ikiambiwa kamata nayo haina option bal ni kufanya 2 [police ni genge la kulinda maharamia]
   
 20. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi ninapotaka kukusaidia alafu wewe usinielewe, option yangu ni kukupiga na kukuua then nisubiri unishukuru kwa kukuokoa na janga kubwa zaidi ya hilo? hivi ndivyo wewe na jamaa zako mnavyoona? katafute chekechea wa kuwahadithia hadithi zako.
   
Loading...