Hayo mapindikizi ya magwanda yalistukiwa yakala mkong'oto.
Mapindikizi=Mapandikizi. Gamba we!
Hayo mapindikizi ya magwanda yalistukiwa yakala mkong'oto.
Hao walikuwa wanainadi sera yao ya upigananji kwa vitendo.
Kwi kwi kwi kwi teh teh teh!
Posho nayo issue, maana viongozi wakuu wananeemeka, bora nihame hiki chama cha CHAGADEMA!!
Kweli dada, inabidi wamtafute Lukuvi awafundishe jinsi chama chetu kinavyonadi sera zetu makanisani.
Hayo mapindikizi ya magwanda yalistukiwa yakala mkong'oto.
Vijana Wa Red brigerd Wa chadema Arusha wakuongozwa na kamanda wao krisi ambaye ndiye kamanda wa Red brigerd Arusha jimbo wamepigana hadi kumwagana damu maeneo ya Ostabey unga LTD kuelekea Sombetini ambapo walikuwa wanatangaza mkutano wao Wa hadhara
Baada ya kuumizana mziki ulizimwa ghafla na kurudi kuelekea ofisini kwao Ngarenaro

Mkuu hivi kwanini chadema ni chama cha drama mara kwa mara wanakua watu wa sarakasi tu