Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,908
- 46,430
Bavicha hawajifichi utawajua tu upunguani wao!Unaitwa nyumbani...... yale masufuria uliyoambiwa uyaoshe bado machafu yana ukoko..........
Bavicha hawajifichi utawajua tu upunguani wao!Unaitwa nyumbani...... yale masufuria uliyoambiwa uyaoshe bado machafu yana ukoko..........
kupigana ni kawaida kabisa na hii inatokana na kutofautiana kwa watu tu(ambayo hata kwenye daladala inatokea konda kupigana na abiria kwasababu ya 50/=) .Inawezekana walikuwa wanogombania mic
Tunashukuru sana kwa Taharifa yako kama inaukweli ndani chama itakifanyia kazi
umbea utaharibu jukwaa..... picha huna Bali unabwajaja
Mmeanza kusingizia kama kawaida yenu,pengine hapo walikua wanagombea mic,
upo mabwepande unajitia ukichaaHivi huko arusha hakuna kazi ya kufanya kila siku vurugu za CHADEMA tuuu.
Mkuu hivi kwanini chadema ni chama cha drama mara kwa mara wanakua watu wa sarakasi tu
watakuwa wameshapiga hivi vitu, kwa akili ya kawaida siyo rahisi kugombania mic
View attachment 180819
Mkuu unategemea watu kama Matola au Yericko Nyerere ndiyo wafuasi wa Chadema unategemea nini.
Mkuu unategemea watu kama Matola au Yericko Nyerere ndiyo wafuasi wa Chadema unategemea nini.
Unaitwa nyumbani...... yale masufuria uliyoambiwa uyaoshe bado machafu yana ukoko..........
Hii nini...umbea utaharibu jukwaa..... picha huna Bali unabwajaja