CHADEMA wadundana Arusha ndani ya gari la matangazo

CHADEMA wadundana Arusha ndani ya gari la matangazo

Mkya

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
667
Reaction score
94
Vijana Wa Red brigerd Wa chadema Arusha wakuongozwa na kamanda wao krisi ambaye ndiye kamanda wa Red brigerd Arusha jimbo wamepigana hadi kumwagana damu maeneo ya Ostabey unga LTD kuelekea Sombetini ambapo walikuwa wanatangaza mkutano wao Wa hadhara

Baada ya kuumizana mziki ulizimwa ghafla na kurudi kuelekea ofisini kwao Ngarenaro
 
Viroba ni hatari sana kwa hawa vijana,msiwalaumu bure tatizo viroba.
 
Vijana Wa Red brigerd Wa chadema Arusha wakuongozwa na kamanda wao krisi ambaye ndiye kamanda wa Red brigerd Arusha jimbo wamepigana hadi kumwagana damu maeneo ya Ostabey unga LTD kuelekea Sombetini ambapo walikuwa wanatangaza mkutano wao Wa hadhara

Baada ya kuumizana mziki ulizimwa ghafla na kurudi kuelekea ofisini kwao Ngarenaro

kupigana ni kawaida kabisa na hii inatokana na kutofautiana kwa watu tu(ambayo hata kwenye daladala inatokea konda kupigana na abiria kwasababu ya 50/=) .Inawezekana walikuwa wanogombania mic
Tunashukuru sana kwa Taharifa yako kama inaukweli ndani chama itakifanyia kazi
 
Hivi huko arusha hakuna kazi ya kufanya kila siku vurugu za CHADEMA tuuu.
 
Page nzima mmevamia wenyewe,huwa mnaitana kwa pm.?
 
maCCM mnaweweseka sana nyie, lol

kama vp weka picha otherwise acha porojo
 
Back
Top Bottom