Hizi wala sio ndoto ni mawazo ya mvuta bangi, CDM haiwezi kuchukua hii nchi,bado chama kichanga sana na kinapata support ya watanzania wasio wapiga kura. Kipigo watakacho kipata 2015 ni kibaya sana kiasi kwamba kuna wengi watakufa kwa presha. Wakipata wabunge watano basi washukuru mungu. Sugu.mnyika,Mdee na vijana wengine bora wakope kwenye chama na wao wajenge kabla ya chama kufa. Slaa kaisha jipatia kanyumba kake na Mbowe amesha chota nyingi kwenye chama.