Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

Tunajua fika kuwa katika nchi ya kidemokrasia na mfumo wa vyama vingi hakuna chama ambacho kitakaa madarakani milele, lakini umejipanga vipi ni jambo la msingi lisilo la kubezwa lakini tatizo linalokuja hapa ndio lile nililolisema mwanzo kuwa mashabiki ni watu wa kukurupuka tu, hoja ya hapa ni vyama vya upinzani kujipanga. Na daima hatuhukumu vyama ila tutawahukumu watu kwa sababu chama kitakuwepo ila watu watapita kadhalika na nchi pia, watu watapita ila taifa litabaki milele..
 
huwezi fika tatu kabla ya kufika moja na mbili na pia dalili ya mvua ni mawingu..weken nguvu ktk serikar za mitaa 2014@cdm siyo mnazunguka zunguka mnapoteza hela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom