Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

Hahahaha kumbe ndio mana akili inashindwa kufanya kazi vizuri mpaka ameweka huu uzi hapa........ BAK mwalike kwako basi!

Mimi ningemwalika ubaya magamba wanaiba mpaka vijiko na uma. Hawafai.
 
Last edited by a moderator:
lol!...mwambie ale ubwabwa kwa mikono :)

Hahahahaha lol.....yaani kama namuona Mwiba anavyokula ubwabwa kwa mikono tehe tehe!......ila huyu hashindwa kuondoka na sinia afta ubwabwa kuisha!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha lol.....yaani kama namuona Mwiba anavyokula ubwabwa kwa mikono tehe tehe!......ila huyu hashindwa kuondoka na sinia afta ubwabwa kuisha!

...Nasikia akisikia kuna ubwabwa mahali hubeba kachumbari yake kwenye box (empty) la kibiriti :):) na kuliweka ndani ya Suruali yake...akishakaa mbele ya sinia hutoa kachumbari yake :):) na kuanza kujichana kwa raha zake huku udenda unamchuruzika ndani ya sinia la ubwabwa lol! :):)
 
Aulize vyama tawala kenya(kanu), zambia(unip),uganda(upc) vipo wapi! (Bado vya Mobutu,Kaburu wa SA n.k)
 
  • Thanks
Reactions: MTK

Hahahahaha ......hii ngumu kumeza BAK lol..............ujue umeandika ukweli sana eeh!......afu kumbe ubwabwa huwa unaharibu akila namna hii! Ila umenichekesha sana daaah!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha ......hii ngumu kumeza BAK lol..............ujue umeandika ukweli sana eeh!......afu kumbe ubwabwa huwa unaharibu akila namna hii! Ila umenichekesha sana daaah!

....hahahahah lol! halafu atokee mtu atake kupitisha mkono kwenye kachumbari yake weee utakoma ubishi jinsi atakavyokujia juu lol!
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.

Chadema bwana si mchezo inafanya hata wakubwa wa ccm waote mchana kweupe,eti mkubwa mmoja ameota kuwa viongozi wa upinzani ndio wametangaza vita na malawi,dah kumbe sita,membe na lowasa wapo upinzani,jamani tegueni kitendawili nani anayeota hapo,ccm waelewe watanzania wa leo hawadanganyiki kirahisi eti nyekundu ni nyeupe nani kasema,
 
hahahahahahah lol!

Sahizi yuko mahali anapata ubwabwa lol.....akija huko anakuja na ndoto za usiku tehe tehe .....bora chadema na ndoto za mchana! PakaJimmy alimrushia hela ya kununulia ndizi mbivu jana!
 
Last edited by a moderator:
huwa nawashangaa sana hawa cdm hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu jf ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde cdm msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.

umeona kaka eeh.bora hata wewe uwaambie maana wamekuwa kama wamerogwa.hawasikii.cdm hamna kitu.2015 ni lowasa bora wajue kabisa wasije kusema zimechakachuliwa
 
Akiri yako ni ndogo sana, soma Historia ya MAO wa china. Mao alianza mdogomdogo kwa kuzunguka vijijini, watu walidhani ni ndoto kama wewe unavyofikiri. Usikatishe watu tamaa, uenda wewe au baba yako ni fisadi ndo maana una hofu
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko
,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.
Hapo kwenye bluu; aliyesema ushindi kwa cdm ni mwiko ni nani zaidi ya watz wote? hakuna aliye zaliwa na hati miliki ya tz. Isije ikawa hujui kuwa mwezi umeandama ndio maana ukali wa swaum unakufanya uote hata ukiwa unatembea
 
Aulize vyama tawala kenya(kanu), zambia(unip),uganda(upc) vipo wapi! (Bado vya Mobutu,Kaburu wa SA n.k)

Hivi hujawai kusikia kidumu Chama Cha Mapinduzi ? Au kusikia CCM oyee ,sasa salamu hizo hazipo kwenye hivyo vyama ulivyovitaja.
CDM haidumu ,ipo ipo tu !
 
Hivi hujawai kusikia kidumu Chama Cha Mapinduzi ? Au kusikia CCM oyee ,sasa salamu hizo hazipo kwenye hivyo vyama ulivyovitaja.
CDM haidumu ,ipo ipo tu !

Tehe tehe tehe................ Mwiba bana !
 
Last edited by a moderator:
ccm wanaweweseka, wanajitekenya na kucheka wenyewe

kama mnadhani cdm hawatashinda subirini 2015, kwa heri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom