Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

Tumaini Makene, John Mnyika, watu wanalalamika sana mnawatenga Waislam, Chadema kama chama kikuu cha upinzani nchini mnashindwa hata kutoa salam za EID...Waislam wameanza mfungo wa mwezi wa Ramadhan mpaka wamemaliza mmeshindwa kutoa kauli ya kuwatakia mfungo mwema kama watanzania wenzenu, tunachoona humu ni kejeli tu kutoka kwa wafuasi wa Chadema dhidi ya waislam waliofunga na wanaojiandaa kusherekea EID...

cdm wakianza kutuma salamu watakuwa na tofauti gani na magamba ambao badala kuchangia hoja bungeni wanaanza kutuma salamu kwa familia zao, hivi wewe hushangai pamoja na chadema kuwa chama cha kikristo hakijawahi kutuma salamu za xmas.
 
Last edited by a moderator:
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.
Ndugu mbona unalia kabla hujapigwa? Kwani hukuliona kaburi la CCM pale Dodoma? Unafikiri Tanzania bado ipo usingizini? Ngoja utapigwa kidogo then utalia kwa wakati muafaka. Usianze na kilio kabla ya msiba. Zika kwanza ndiyo ulie.
 
cdm wakianza kutuma salamu watakuwa na tofauti gani na magamba ambao badala kuchangia hoja bungeni wanaanza kutuma salamu kwa familia zao, hivi wewe hushangai pamoja na chadema kuwa chama cha kikristo hakijawahi kutuma salamu za xmas.

mkuu Lukansola, naona unapoteza ushahidi kabisaaaa, unapiga ngumi za mbavu tu!!!!! Ataenda kandwa maji ya moto na Nnape pale Lumumba.
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuona thread ya Mwiba yenye mantiki au logic, nadhani futari inasababisha usingizi na kupoteza common sense kwenye fuvu lake!
Vp sheikh, wenzio tushafungua weye bado , au mwezi ulioonekana ni wa BAKWATA!

Wee jamaa hunagaa hoja kabisa kazi yako kubwa kuleta vioja kama huna cha kuchangia piga kimya

Kwani Mnyika kakuahidi kila Bandiko unalochangia anakulipa sh ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Tumaini Makene, John Mnyika, watu wanalalamika sana mnawatenga Waislam, Chadema kama chama kikuu cha upinzani nchini mnashindwa hata kutoa salam za EID...Waislam wameanza mfungo wa mwezi wa Ramadhan mpaka wamemaliza mmeshindwa kutoa kauli ya kuwatakia mfungo mwema kama watanzania wenzenu, tunachoona humu ni kejeli tu kutoka kwa wafuasi wa Chadema dhidi ya waislam waliofunga na wanaojiandaa kusherekea EID...

Jukwa lenyewe hili la Chadema Mods nao Chadema juzi niliweka Post yenye maudhui hayo Wacha pro-chadema waanze kutukana matusi badala Mods awalambe Ban na kuacha mjadala uendelee akaagizwa na yule BABU BACHELA afute ile Post mara moja

Sasa wewe umeirudisha ki hivi angalia mkuu wasije wakakulamba Ban maana hawa watu hawataki kukosolewa wala kuambiwa ukweli
 
Last edited by a moderator:
Hivi hujawai kusikia kidumu Chama Cha Mapinduzi ? Au kusikia CCM oyee ,sasa salamu hizo hazipo kwenye hivyo vyama ulivyovitaja.
CDM haidumu ,ipo ipo tu !
Mbona hujamalizia na "zidumu fikra za mwenyekiti" wenu!
 
Mnajua lakini basi tu mnajidai upofu ,yani hamna wala hamuoni future kama mtaangamizwa ,nionavyo Chadema mbele yao ni kiza tu ,hili jamani halina ubishi wala mjadala ,ukweli uliopo CDM inadidimia na migongano ya kugombania uraisi kwa tiketi ya chama hicho ikipanda chati ni wazi kabisa 2015 hawana lao , na hawa vihio wanaogombana kutaka kila mmoja awe raisi ,wasije wakawamaliza maalbino tu ,ni wabaya sana ,hakuna asie jua kuwa jamaa ni washirikina sana na habari za ndani zinasema wameanza kulogana wenyewe kwa wenyewe.
Mnaelewa kuwa hivi sasa ndani ya CDM kuna viongozi wakuu hawasemezani ??
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.
anza kushauri kukutatua mijitatizo iliyolundikana chama chako(ccm) ndipo uangalie expected matatizo ya wenzako
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.

Sooner rather than later time will tell you who the "Snoring day dreamer" is between you and CDM'ers! continue your slumber dreamer boy.
 
mkuu Lukansola, naona unapoteza ushahidi kabisaaaa, unapiga ngumi za mbavu tu!!!!! Ataenda kandwa maji ya moto na Nnape pale Lumumba.

Mkuu yani jamaa wamechoka hawana hoja kabisa, kila wakija ni pumba tu, humu jamvini hawafiki hata kumi, ndo maana wanasema jf ni ya chadema, hivi Genius Brain yuko wapi siku hizi, unamkumbuka?
 
"KUFA AKUFAANA"CCM inakufa, kipisha nafasi kwa wengine kutawala. CDM's Day dream is always good compare to CCM's believes "itadumu milele"
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.

Very good sir, so what's your problem? Did you contribute a cent in the M4C?
 
Kuna watu wanapenda kukatisha wenzao tamaa,lakini hii yote ni kuashiria nguo zinawabana,tusubiri 2015 ndio tujue nani mkali! Nyie endeleeni na mbinu zenu chafu za kimabwepande!
 
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.

Una haki ya kuota mchana, hasa unapoweweseka na kutokujua hatima yako baada ya uchaguzi2015. Hata hivyo waamuzi n wapia kura wewe ukiwa mmoja wapo.

Mbinu za uchochezi unazotumia makajipange upya pale Lumumba
 
Aje kufanya nini wakati anajua alichokipost hata yeye kinamsuta, kwahiyo kahit and run! Futari imekosekana watu walishazoea kudoe futari za watu!

Hapa hakimbii mtu ,ila huwa nakaa kimya kutazama na kusoma undondocha wenu ,hamna isipokuwa matusi, hamkawii kupoteza akili na kuwa tatizo la mwezi mchanga ,mnatoa maneno ya ajabu ajabu kama mnaokaribia kufa.

Yaani 2015 wapenzi wa CDM mtakuja kulia kilio cha mbwa ,mdomo juu !
 
Unamfahamu nape? Unamfahamu dhaifu? Unamfahamu rostam?

Hapa kinachosemwa ni muache kuwa na daydreams ,2015 hakuna kitu kinachopatikana kwa CDM ,na nawaambia tu ile shukurani ya kupewa viti vingi pale bungeni hamna ,sasa subirini 2015 ,uhakika ni kuwa hamuambulii kitu ,kuweni tayari kuyakubali matokeo na mkileta kukuru mtakutana na kakara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom