Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Aug 18, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.

  Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.

  Chondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Subiri kidogo Chadema Addicted sasa hivi watajitokeza kupambana na wewe...ni sawa sawa umechokonoa shimo la mchwa.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Unasemaje? Hope springs eternal. Hata Wright brothers walianza kwa ndoto ya kutengeneza ndege. Mwache Mwiba ajidanganye. 2015 si mbali.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sijawahi kuona thread ya Mwiba yenye mantiki au logic, nadhani futari inasababisha usingizi na kupoteza common sense kwenye fuvu lake!
  Vp sheikh, wenzio tushafungua weye bado , au mwezi ulioonekana ni wa BAKWATA!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Waache wazunguke bila faida kwani wewe unawashwa na nini?????........pili pili usiyoila yakuwashia nini?????...........waache na ndoto zao za mchana wewe endelea na hizo zako za usiku!
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Afu pia ataluwa anakula daku ya makande kila siku so anasinzia huku anapost jf!
   
 7. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hivi 2010 zilikuwaje?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,339
  Trophy Points: 280
  mabikira wa fikra utawajua tu. Wanajiuliza daima, mtoto mkubwa hivi kaingiaje tumboni mwangu?
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,872
  Likes Received: 83,350
  Trophy Points: 280
  ...Saa hizi anavizia humu ndani kuona kama ataalikwa kwenye Ubwabwa kesho kusherehekea Idd.

   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hehehehe atajibebelea huyu..........hivi kwani ikulu kesho haitoi ubwabwa eeh?.........sie hapa hatualiki mtu hivyo anajisumbua bure tu.....tena bora ajilalie ili kesho awahi kuswali!
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,872
  Likes Received: 83,350
  Trophy Points: 280
  Nasikia ubwabwa wa kesho Ikulu ni kwa Wakwere tu na huyu jamaa ni mpemba hivyo haruhusiwi kukanyaga maeneo ya Ikulu.

   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha kumbe ndio mana akili inashindwa kufanya kazi vizuri mpaka ameweka huu uzi hapa........ BAK mwalike kwako basi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,872
  Likes Received: 83,350
  Trophy Points: 280
  @Sweetlady magamba nimewapiga marufuku kukanyaga nyumbani kwangu maana tatizo kubwa la nchi yetu ni magamba vinginevyo nchi yetu ingekuwa bomba sana ukilinganisha na nchi nyingi Afrika hata duniani pia.

   
 14. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Tatizo sio pilipili ila ni vitunguu vya Chadema ,maana inasikitisha sana kuona mnajenga tamaa ambayo tatizo lake ni kuja kukataa matokeo ,mkifikiria hasara na mnavyodanganyika na kujaa kwa wasio miliki kadi za kupigia kura ,hivi mnaelewa ya kuwa wale wanaohudhuria mikutano hawana sifa za kupiga kura ? Na zaidi ni wapenda shangwe na ngoma.
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mleta mada yuko wapi? namtaka aje hapa ili tuendelee kuhangaika nae!
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hii nimeipenda BAK safi sana............mie kuna mtu niliwahi kumwambia nikigundua hata ndugu yangu wa kuzaliwa ni gamba hata awe na shida namna gani simsaidii kabisa manake wao ndio wameifikisha nchi yetu hapa ilipo na wao ndio wanatuchelewesha kutoka hapa tulipo..........hawana maana kabisa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Subiri amalize kula daku atakuja!
   
 18. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sio mchwa ni sangara ila hawa wawe 50 kwa mie mmoja tu ,watanichoka !
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hebu tubadilishie wimbo huu tafadhali manake tushachoka kuusikia kila kukicha.... Mwiba huna jipya kubali yaishe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Endelea kupima upepo kwa kutega sikio sijui 2015 utajificha wapi? hata Baba RIZ alisema ni chama cha msimu leo hii anahaha na vijana wake akina Nape na Mgulu...............na kujikuta wakikichimbia chama chao kaburi
   
Loading...