CHADEMA wachanganyana uchaguzi jimbo la Konde, Wadai Mgombea hawajampitisha wao

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,017
9,885
Jimbo la Konde, Zanzibar lilikuwa wazi kufuatia kifo cha Mbunge Khatib Haji. Hivyo Baraza la Uchaguzi lilitangaza uchaguzi mdogo

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amewalaumu wanachama na uongozi wa CHADEMA waliojitokeza kuwania nafasi hiyo kwa kuwa msimamo wa chama ni kutoshiriki uchaguzi wowote

Wananchi wa Konde wanatarajia kupiga kura Julai 18

Kata zinazofanya Uchaguzi wa Madiwani ni za Tanzania Bara

Kampeni zitaanza Juni 28 - Julai 17 na Kura zitapigwa Julai 18

Pia soma >
 
Wamechanganyana vipi, na mwenyekiti ashatoa kauli
Mwenyekiti yupi? Mbowe? Mbona ana madaraka makubwa mno? Yeye atoke Kilimanjaro Meru huko, aende Kawe aende Dodoma aende Ufipa Street Kinondoni, halafu awachagulie Mbunge watu wa Konde Pemba? Wanadai eti anamtaka fatmakarume ambaye wala si Mpemba. Mwalimu Nyerere akihojiwa na Gazeti la London Observer 1969 alisema Katiba inampa madaraka ya dikteta. Mbowe anataka kuendeleza hilo? Msimamo huu ni binafsi au ni wa CHADEMA yote?
 
Hii hoja yako inaonyesha wewe binafsi ulivyombaguzi pamoja na chama chako Cha mapinduzi.Sisi watanzania hatuna ubaguzi Wala mipaka ya uongozi!
 
Wamechanganyana vipi, na mwenyekiti ashatoa kauli
 
Wewe hujasoma Katiba ya CHADEMA. Ilani ya tundulissu ilisema viongozi wote wachaguliwe locally na maamuzi yafanyike mahalia, mwisho iwe wilayani. Alitoa mifano ya Mkuu wa Mkoa, wa Wilaya, Paroko, Passport, Leseni ya Bishara, TANROADS, everything. Akalaani kuwa Viongozi wa Zanzibar huchaguliwa Dodoma. Na ndyo maana akasema tuwe na Katiba mpya tupunguze mamlaka ya Rais, ya RPC, ya Papa, nk. Au hujui unaenda mkumbo tu?
 
Kumbe bado wanaendeleza umagufuli ? Ipo siku watajuta kuyafanya haya na muda wa kuomba toba utakua haupo Mungu mwema sana
 
Wachanganyane wasichanganyane, Chadema kule zanzibar ni sawa na Yanga icheze na timu ya daraja la nne huko, hakuna la maana kule, watapoteza luzuku bule
 
Back
Top Bottom