PreGE2025 CHADEMA waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo

PreGE2025 CHADEMA waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Actualy si mwanachadema, na sina chama. Is why nauliza

One last question nn misingi ya kesi zao? Wana evidence and fact?

Au ndio zile kesi hewa baadae warud nyuma wazifute?
Kwenye hizo kesi waitwe na akina Mwaipopo na wenzake. Ndiyo maana tunasema CCM wanazidi kujiharibia
 
Chadema waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo
Wafunguaji wa kesi hio ni wanachama wa Zanzibar
Hoja ya msingi ktk kesi
1. Ubaguzi
2. Udini
3. Kivunja Muungano
Source: mtandao wa mwananchi
Rubbish
 
Muachage propaganda, hapa ni mashambulizi ya kuimaliza chadema kabisa, mara ukanda mara ukabila mara udini mara ubaguzi, zote hizi ni jitihada za kuidhoofisha chadema kuelekea uchaguzi mkuu huku kiongozi wake mkuu kawekwa ndani. Kama mnaona chadema ni kitisho cha siasa zenu kifuteni ili wananchi wajue hakuna chama kinachoitwa chadema, au futeni vyama vingi kibaki kimoja tu ccm dola itawale milele
 
Muachage propaganda, hapa ni mashambulizic ya kuimaliza chadema kabisa, mara ukanda mara ukabila mara udini mara ubaguzi, zote hizi ni jitihada za kuidhoofisha chadema kuelekea uchaguzi mkuu huku kiongozi wake mkuu kawekwa ndani. Kama mnaona chadema ni kitisho cha siasa zenu kifuteni ili wananchi wajue hakuna chama kinachoitwa chadema, au futeni vyama vingi kibaki kimoja tu ccm dola itawale milele
Chaguzi zenu mkifanya Kampeni mnadingizia CCM kwa kupakana matope kama mlivyompaka matope Mbowe, wanachama wenu wakihoji kitu ndani ya CHADEMA mnasema wametumwa na CCM, wanachama wenu wakiburuza CHADEMA mahakamani mnasema wametumwa na CCM hivi nyie akili kichwani zimo kweli?

Mnajiita Chama cha Demokrasia wakati ndani ya Chama hamna Demokrasia
Oneni sasa mnaishia mahakamani kwa kuburuzwa na wanachama wenu
 
Madaraka ni matamu sana aisee

CCM Mbali na kukaa miaka lukuki Ikulu, na hakuna ilichofanya, sasa wanaanza kuunda magenge ya kuharibu vyama pinzani ili tu waendelee kubakia Ikulu?

Je, Kuna tofauti gani kati ya ccm na shetwani?
Kwenye hiyo kesi umeona jina CCM popote? Pambaneni na hali yenu kajibuni mashtaka
 
Chaguzi zenu mkifanya Kampeni mnadingizia CCM kwa kupakana matope kama mlivyompaka matope Mbowe, wanachama wenu wakihoji kitu ndani ya CHADEMA mnasema wametumwa na CCM, wanachama wenu wakiburuza CHADEMA mahakamani mnasema wametumwa na CCM hivi nyie akili kichwani zimo kweli?

Mnajiita Chama cha Demokrasia wakati ndani ya Chama hamna Demokrasia
Oneni sasa mnaishia mahakamani kwa kuburuzwa na wanachama wenu
hao ni mamluki wako kazini, wanachama huwa kitu kimo hawawezi kukisulubu chama chao asilani. Chadema inakumbana na mamluki wengi wameibuka kuidhoofisha kila angle
 
Chadema waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo
Wafunguaji wa kesi hio ni wanachama wa Zanzibar
Hoja ya msingi ktk kesi
1. Ubaguzi
2. Udini
3. Kivunja Muungano
Source: mtandao wa mwananchi
Kuna watu washakula mlungula kwa ajili ya eleksheni. Siasa ni mwanaharamu 😀😀😀😀😀😀😀
 
Haijulikana mwenyekiti wa chadema atatoka lini huko korokoroni, hali si shwari chamani, mpaka aje atoke huko kwa majaaliwa atakuta chama kimesambaratika. Maadui wa chadema wameinuka wanakishambulia ndani na nje kuhakikisha kinakufa kabisa. Ni siasa za kipuuzi sana na ni aibu nchi kuwa na siasa za kizandiki na kijinga. Tungependa kuona nchi kuwa na siasa za vyama kama marekani, uingereza na ujerumani vyama vinashinda uchaguzi kutokana na sera zao. Kule hakuna siasa za kishamba kama bongo, wanashindana kwa sera tu na wanachi wao wanachagua kwa uhuru na haki chama chenye sera nzuri
 
Chadema waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo
Wafunguaji wa kesi hio ni wanachama wa Zanzibar
Hoja ya msingi ktk kesi
1. Ubaguzi
2. Udini
3. Kivunja Muungano
Source: mtandao wa mwananchi
Hawana jipya hawo.
 
1740036881746.jpg
 
Back
Top Bottom