boyayoparuparu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 343
- 82
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Chadema ni mali ya Mbowe wewe.Mtu mzima anakaa na kuanza kusema eti dr silaa aombwe radhi!!! Chadema sio mbowe chadema ni taasisi na taasisi ambayo haiwezi kusimamia uamuzi wake haitufai,kama unampenda sana dr silla mfuate,haukuona jinsi waliokuwa wakimpenda mrema walivyokuwa wakimfuata kila alipokuwa akihama chama?
Hiyo ndiyo nguvu ya Lowassa ya mabadiliko???Na meya wa jiji la Dar atatoka UKAWA. Au haujagundua hilo!!!?
Mwanza, shinyanga na tabora kura ni za kikabila na hilo lilitarajiwaUnaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Na meya wa jiji la Dar atatoka UKAWA. Au haujagundua hilo!!!?
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Hawawezi kukua huku wanamsingi wa msaliti mkuu.Ushauri mwingine bwana....
Hebu tuache unfounded feelings
Tuwaache ACT wakue wadhihirishe nguvu zao zaidi....mpaka sasa wako mahali pazuri and I commend them for good work done
Dr. Slaa uamuzi wake wa kupumzika Siasa ni mzuri zaidi....ajali iliyomkuta ya kisiasa he cant recover from it and he wont make a good leader of a any political part
poa umeingiza siku mkuu
Nawe unajihesabu umejipinda na kuandika. Anna hana chama, kaingia ACT ni kundi la wasaliti, halimfai. aungane na Dr. Slaa wachape kazi.Una kitu kichwani ww