Chadema vyuoni yafa kwa kasi.

hivi na wewe unalipwa na lumumba project? too low to deserve any reward.
anywayz, TUMA SALAMU KWA WATU WOTE UNAOWAFAHAMU!
 

hujui lolote we kajanja, kwa taarifa yako MACCM huwezi kulinganisha na CDM Vyuoni, hilo halipingiki hatakidogo,
 

Unaleta ngojera?
why dont u come with supporting data?
hiyo asilimia umepataje lets us knw!
 
Bora nipite. Nahisi nitajiharibia siku bure nikichangia uzi huu!
 

Ha ha ha ha haaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Bora nipite. Nahisi nitajiharibia siku bure nikichangia uzi huu!
 

0713.......
 
Ndio mlivyoambiwa mlivyoenda kwenye kikao chenu kilichokuwa kinaongozwa na Wasira na nyinyiem wengine kwa kutumia mabasi ya chuo cha UDOM? Tumeyasikia yote mliojadili uku wengi wa wanafunzi walioudhuria walikuja kuchukua posho na pia nasikia walikuwa wanawapigia makofi akili ndogo kwa kubembelezwa kufanya hivyo. Ama kweli njaa itawauwa kwa kushabikia msichokijua na hali wenzenu wanachota mali za watanzania na kupeleka Uswiswi. Poleni sana kwani hamjui mnalolitenda.
 

CCM inawagombea ktk serikali za wanafunzi?.. Si ajabu tukaambiwa 98% ya class monitors/monitress wa shule za msingi nchi nzima ni CCM!
 

Utoto mwingine..., siku hizi kwenye chaguzi za serikali za wanafunzi wanagombea kupitia vyama vya siasa...!!?
 
Siasa si zimepigwa marufuku vyuoni au chuo kama ni CCM basi hakuna shida???
 
Watu wamekishtukia chadema baada ya kuona ni chama cha watembea na sumu ili kuwalisha watu wanaotofautiana mitizamo pamoja wapinzani wao...wameona ni wauwaji na mbaya zaidi ushoga na usagaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…