CHADEMA vunjeni UKAWA

Ukuwa wawaachie majimbo ambayo chadema ina nguvu wasi nganganie pia uraisi chadema ndo watoe raisi kwa sababu wana nguvu labda makamo ndo atoke chama kingine
 
Mimi nilidhani lengo la Chadema ni kuchukuwa dola kumbe lengo ni kushinda majimbo mengi kuongeza ruzuku.

Kumbe Chadema mnaichukilia Zanzibar kama Mkoa siyo daah!!!

Salum Mwalimu umewasikia jamaa zako lakini wanasema Zanzibar ni mkoa.


Acha uzandiki Wa kipapa wewe
 
Awa nccr nadhani wamepungukiwa akili kabisa chadema anaangaika kila kukicha wao mikutano awafanyi wanataka uraisi pumbavu zao ka vipi waendee tuu
 
UKAWA yaweza kusambaratika kama viongozi wakuu kutoka vyama vinavyounda umoja hawataachana na UTWANA,UBWANA ,HILA,GILIBA na GUBU ndani ya umoja huo.
 
magamba mnaota mchana wote huu....
 
Mleta mada utakuwa nyinyiemu weyee...kila siku mnatafuta sababu ya kusikia ukawa umevunjika???....letu kubwa na kumtoa mkoloni mweusi basii....
 

Katika hili kila chama kitapata maumivu fulani na faraja fulani. Hata kama chama kimoja kina nguvu zaidi kila mahali inabidi kikubali kuachia sehemu nyingine for the general good ya UKAWA.

Na chama chenye nguvu kinabidi kuonyesha flexibility. Hivyo kuna wanachama watakao umia ili UKAWA iendelee kwa nia moja. Hakuna muungano au ushirikiano usio kuwa na machungu. Ni wajibu wa leadership kupoza makali. UNITED YOU STAND but divided you perish!!!!!
 
Mkuu umesomeka vizuri sana. Haiwezekani mtumzima mwanaume ukasubiri vitu vya chee kutoka mwa wanaume waliopigana kufa na kupona, wakafyeka pori wakatia mbolea wakapanda na mbegu na kupalilia, mwingine ataka kazi ya kuvuna tu na kula! Hii haikubaliki kabisa na sio haki. AIBU!!


 
Kisendi

Kamnda mie nipo tofauti kidogo, chadema ndo tunapaswa tubebe ukawa hats kama inarugharimu. Sababu ni kwamba haya MACCM yataondoka kwa kutumia ukawa. Na ndo maana wanahaha sana kila kukicha.
 
Last edited by a moderator:
Chadema wanataka Jimbo la MAFIA wamuweke kubenea lakini uchaguzi wa serikali ya mtaa wamepata MJUMBE 1 tu. wakati CUF wamepata vijiji 24 CCM 36 je nani asimamishe MAFIA?
 
Dhamira yetu ni zaidi ya Majimbo

Ni kuiondoa CCM.

UKAWA ni muhimu sana.

nakuunga mkono 100%.
Tusambaze kauli mbiu yetu:
Taifa Kwanza, vyama baadaye: KULA CCM, KURA UKAWA, OKOA TAIFA
Mageuzi ya Katiba ndiyo msingi wa hayo yote wanafiki watangazania wa ccm wanayoyaimba jukwaani. Huwezi kuwawezesha wawezesha watu kuingia uchumi wa kati bila kuwapa sauti katika utawala.

Bila kuwaezesha, kwa mfano, kumwajibisha mbunge wao anapoonekana yuko Bungeni kuitikia taarabu ya 'Ndiyooooooooooooooooooo' kwa kila kitu akilipwa mshahara na marupurupu mazito kwa miaka mitano! Huwezi kutekeleza ajenda yo yote iwe ni elimu kwanza au kilimo kwanza kwa kuendelea kumwachia binadamu mmoja (rais) kuwa ndiye pekee mwenye maamuzi ya mwisho ya sera! VOTE for UKAWA.
 

Hivi unajua ulichoandika au ndio yale yale akili kama KENGEZA. Unachomaanisha kuwa Rais atoke UKAWA. halafu haujali hata kama CCM wakiwa na robotatu ya wabunge mjengoni? Na wasiwasi na upeo wako wa kufikiri
 
Kwenye hoja kana chembe ya ukweli.cdm wamejinadi kwa nguvu kubwa sna wametumia muda wao na rasimali zao kujinadi leo wamekubalika maeneo meng tz na znz pia wanakuja hao nccr wanataka kujilinganisha cdm.wapi na wapi bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…