Mugo"The Great"
JF-Expert Member
- Oct 7, 2007
- 262
- 26
Chadema Vs Ccm Nani Mbabaishaji?
CCM ina miaka karibu 45 sasa, na Chadema ina miaka karibu 20 sasa, hivi kweli within miaka yote hiyo ya uhai wa Chadema, na CCM hili swali halijajibiwa? Kama ni mafisadi ni ishu ya sheria sio siasa it has nothing to do na CCM kwa ujumla"
FMES,
Nakubaliana na wewe kabisa kwenye hili, huwaga kila nikijiuliza je CHADEMA kwa sasa ilivyo yaweza kupewa na kuongoza nchi? naanza na kuhesabu viongozi ambao iliyonayo sasa, kwa ajili at least kuunda baraza la mawaziri dogo kuliko yote hapa duniani lenye uwiano na nchi yetu... naona haiwezekani maana majina hayafiki kumi (vidole vya mikono yangu miwili) nikishafikiri hivyo narudi nyuma nikisema wajameni tujizatiti vijiji, tujizatiti kupata angau 30% ya wabunge hapa tutake sasa kuongoza nchi hii
Sisi watanzania ni moja kati ya jamii lazy hapa duniani.Wengi wetu tunapenda sana kufanyiwa mambo na tuyakute tayari yako ndani ya order.Hakuna anayependa kushiriki pamoja na wengine ili kuleta mabadiliko,wengi wetu tuko nyuma tukisubiri hao waliotangulia watafanya nini na kilichobaki ni kusema hakuna mtu.Nimahodari sana sisi wa kulalamika lakini inapofikia kutenda tunakimbia.
Kwa kuwa tumeshajijengea utando wa kutokuwakubali watu walioko upande zaidi ya CCM,tumekwisha jizuia kuwaamini kuwa wanaweza kutenda.Ila tuko tayari kuwakubali watu wasio na record nzuri ili mradi ni CCM.
Ndani ya upinzani kuna watu wazuri na makini sana.Hakuna aliyekuwa anamtambua Zitto kabla ya kuwa mbunge!!Leo kawa mbunge na kapata mahali pa kusemea ndo tunakubali kuwa anafaa na huyo si wamwisho liko genge kubwa lenye uwezo kama wake ila kwa uchafu wa siasa za Tanzania wanashindwa kupata nafasi ya kuingia katika medani kama ya akina Zito ili wapate onekana.
NADHANI DADA YANGU UMEGUBIKWA NA MAWAZO FINYU YALIYO BARIKIWA NA KAULI ZA WAANDISHI WA MWANAHALISI ULICHO ONYESHA NI PURE MAWAZO -VE YA WALIOPOTEZA DIRA NA MUELEKEO.NANI KASEMA MBOWE ANAJUA HUO UMASKINI MNAONGELA NANI KASEMA JK HAJUI HUO UMASKINI WA WATANZANIA?KUENI OBJECTIVE ACHENI BLA BLA ZA WATU KAMA NDIMARA ALIEANDIKA MAKALA KTK MWANAHALISI LA 28TH NOV.Afadhali Mbowe alikuwa anajua chanzo cha umasikini wa watanzania kabla hata ya kwenda kusoma zaidi. Kikwete hata baada ya kusoma na kukulia serikalini bado haielewi kwa nini Tanzania ni masikini. Kuendelea kumuacha pale ikulu ni kuendelea kuwatukuna watu wote wenye akili Tanzania. Kila siku unapigia kelele ushindi wa asilimia 80 kuhalalisha uwepo wake pale ikulu, unachosahau ni kuwa ushindi ule umepatikana kwa mizengwe- hauendani kabisa na uwezo wake wa kiasiasa pale kikwete. Asilimia 80 si kipimo cha imani ya watanzania kuhusu uwezo wa Kikwete, labda matumaini waliyolishwa kwa ahadi hewa tu ambayo sasa yamesalitiwa na wameanza kumnyooshea vidole. Ukipiga kura za maoni huru sasa hata asilimia 20 atapata kwa tabu. Ushindi wa Kikwete=Propanda za Mtandao toka 1995(za kuwabomoa wakina Malecela, Salim, Mwandosya na za kuficha udhaifu wa JK)+ Udhaifu wa upinzani(mara baada ya 1995 hususani kupomoromoka kwa NCCR Mageuzi)+ Kampeni za Rushwa( yeye mwenyewe amekiri+ Mahakama imethibitisha kwa kufuta takrima)+chama Dola(Mkapa alitangaza hadharani+ Tume ya uchaguzi ikatekeleza maeneo mbalimbali). Sasa anza kutoa kimoja hadi kimoja utaona kwamba huyu jamaa kama alikuwa anakubalika kwa asilimia 80 au la.
Kikwete ni mzigo kwa taifa! period
Kama CCM mtaendelea kudhani ni tumaini lilirojea mtandelea kuwakatisha tamaa watanzania na hakika Kikwete ataondoka na kina Rostam na Lowasa wake lakini Tanzania itasimama milele.
FMES, kwani Kikwete na JSM au SAS nani bora?
Asha
NANI KASEMA MBOWE ANAJUA HUO UMASKINI MNAONGELA NANI KASEMA JK HAJUI HUO UMASKINI WA WATANZANIA?KUENI OBJECTIVE ACHENI BLA BLA ZA WATU KAMA NDIMARA ALIEANDIKA MAKALA KTK MWANAHALISI LA 28TH NOV.
NADHANI DADA YANGU UMEGUBIKWA NA MAWAZO FINYU YALIYO BARIKIWA NA KAULI ZA WAANDISHI WA MWANAHALISI ULICHO ONYESHA NI PURE MAWAZO -VE YA WALIOPOTEZA DIRA NA MUELEKEO.NANI KASEMA MBOWE ANAJUA HUO UMASKINI MNAONGELA NANI KASEMA JK HAJUI HUO UMASKINI WA WATANZANIA?KUENI OBJECTIVE ACHENI BLA BLA ZA WATU KAMA NDIMARA ALIEANDIKA MAKALA KTK MWANAHALISI LA 28TH NOV.
WAMETOKA NA TAMKO LA KAMATI KUU AMBALO NI MOTO JE?LA CCM LIKO WAPI JAMANI?
NADHANI DADA YANGU UMEGUBIKWA NA MAWAZO FINYU YALIYO BARIKIWA NA KAULI ZA WAANDISHI WA MWANAHALISI ULICHO ONYESHA NI PURE MAWAZO -VE YA WALIOPOTEZA DIRA NA MUELEKEO.NANI KASEMA MBOWE ANAJUA HUO UMASKINI MNAONGELA NANI KASEMA JK HAJUI HUO UMASKINI WA WATANZANIA?KUENI OBJECTIVE ACHENI BLA BLA ZA WATU KAMA NDIMARA ALIEANDIKA MAKALA KTK MWANAHALISI LA 28TH NOV.
Kuna watu wanasema kuwa eti CHADEMA ni Dr.Slaa, Lissu na Zitto, huu ni upunguani kwani haiwezekani chama kikawa ni watu watatu.
Kuna watu wanasema kuwa eti CHADEMA ni Dr.Slaa, Lissu na Zitto, huu ni upunguani kwani haiwezekani chjama kikawa ni watu watatu.
Upunguani? are you serious Chadema ina watu zaidi ya hawa watatu ambao wako serious na taifa?
Hatuwezi kumuhesabu Freeman, maana yuko shule bado, sasa mkuu hebu wataje wengine? Tamko la kamati kuu ipi hiyo? Yaani ubongo wenu ndio mzima wa kupiga kelele hapa forum tu huku uchaguzi unaendelea na mnapigwa chini na wananchi ndio unasema ni ubongo safi huo?
Halafu mbona unaanza kuleta matusi badala ya hoja, au ndio yale yale aliyosema MMJ, mkishiondwa hoja mnaaanza viroja? Hivi unafikiri wananchi wanaweza kuwachagua watu wenye kuwatukana kuwa ni mapunguani na ubongo wao ni mbovu, just because wanauliza maswali ya kuikosoa Chadema? Are you suprised kwa nini mnaendelea kuwa kwenye sidelines na haya matusi, tena kwa mtu mzito wa Chadema kama wewe?
What a joke, hivi mnafikiri mtapewa utawala tu kama samaki sokoni?
FMES,
Nakubaliana na wewe kabisa kwenye hili, huwaga kila nikijiuliza je CHADEMA kwa sasa ilivyo yaweza kupewa na kuongoza nchi? naanza na kuhesabu viongozi ambao iliyonayo sasa, kwa ajili at least kuunda baraza la mawaziri dogo kuliko yote hapa duniani lenye uwiano na nchi yetu... naona haiwezekani maana majina hayafiki kumi (vidole vya mikono yangu miwili) nikishafikiri hivyo narudi nyuma nikisema wajameni tujizatiti vijiji, tujizatiti kupata angau 30% ya wabunge hapa tutake sasa kuongoza nchi hii...
Mawazo tu....
Hao CCM wenye majina ya viongozi yenye kutosheleza vidole vya miguu na mikono na mengine kubaki, je wameweza kuendesha nchi to the satisfaction of Tanzanians!? Jibu unalijua. Ni nia tu ya kuwa na mapenzi ya kweli na nchi yako na watu wake, siyo wingi wa viongozi. Kumbuka ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi!
?Hatuwezi kumuhesabu Freeman, maana yuko shule bado, sasa mkuu hebu wataje wengine? Tamko la kamati kuu ipi hiyo? Yaani ubongo wenu ndio mzima wa kupiga kelele hapa forum tu huku uchaguzi unaendelea na mnapigwa chini na wananchi ndio unasema ni ubongo safi huo
Ubongo wa wananchi wengi wa Tanzania ni sawa nawa Rais,ambaye hajui nini matizo la umasikini wao. Watanzania wanajua wao ni masikini lakini hawajui kwanini wao ni masikini, hivyo hawajui dawa ya kuuondoa huo umasikini.Siku watakapojua kuwa wao ni masikini kwa sababu ya kuwa na vingozi wabinafsi,wezi waliokithiri,wala rushwa waliokithiri na wasiowajibika,CCM haitakuwa na chake. Kushindwa katika uchaguzi haimaanishi kuwa CCM si chama kilichosheheni kila aina ya ubadhilifu unaoiletea nchi hii umasikini.Wanashindwa kwa kuwa watanzania hawaendi kupiga kura ili kuleta mabadiliko ila kutimiza tu wajibu na haki yao ya kupiga kura.It is the matter of time
Lakini matokeo ya udiwani wote tuliyaona na kilicho nikatisha tamaa ni jinsi viongozi wote wakuu wa vyama walivyokuwa kwenye mkutano wa kutoa "forensic evidence" za Ufisadi badala ya kwenda vijijini kuwa nadi wagombea wao.