CHADEMA, video ya Lwakatare ukweli wake huu hapa

Status
Not open for further replies.
Binafs sijawa nikijihusisha na chama chochote so i declare am not political affiliated.ILA NI MPENZ WA SIASA TOKA
MWAKA 1992 ENZI ZA C.MTIKILA NA SIASA ZA UTANGANYIKA.NLIMPENDA SANA KWA SERA NA UJASIRI WAKE.NOW C.MTIKILA NLIYEMFAHAMU HAYUPO NASI WATANGANYIKA.KWA SASA NAANGALIA MTU BINAFS BILA KUJAL CHAMA.
CHADEMA MNA MAMBO KADHAA YA KUYAANGALIA KTK SAKATA HILI LA LWAKATARE
1. hebu angalieni uhalali wa ile video kwa makin na kwa kutumia wataalam msikanushe tu kuwa ni fake bila kuja na hoja za kitaalamu
2. muwe wa kwel kama mnamfaham ludovic au hamumfaham na mnafahm kias gan.then hapo mtajipanga zaid kujua kwa nin alirecord hyo video
3. mjiangalie ni wap mlipokosea.ni kwa dr slaa,mbowe,zitto,lwakatare,ludovic? na hapo pia muwe tayar kukabiliana na matokeo yake.
4. kama mlikuwa mnatumia strategy hizo kuwanyamazisha wapinzan wa watu flan ndan ya chama na nje.ni strategy mbaya kabisa na totally inhuman hilo hatuwez lifumbia macho ni kama CCM wanavyo deal na wapinzan flan.
5. mnamjua vizur lwakatare?alipataje cheo cha kuwa kitengo cha usalama,alisomea mambo hayo wap kwa kiwango gan.
6. ludovic anawajua ninyi kwa kiwango gan na yukoje sasa....state of mind.je hatoongea zaid na zaid kama kuna mengne.je nyuma yake wapo akina nan?
7. msiendeshe jambo hil kishabik.mje na hoja mujarab na za kisayans na si kushabikia tu
8. kuna uhusiano gan ktk ya video hiyo na CCM? aliposema mwigulu mchemba ana video yenu mkipanga kufanya mauaji mlichukua hatua gani?
9. mjihadhar na vita ya kugombea madaraka ndan ya chama chenu hiyo itawahaaribu sana.msimfanye zitto adui wala dr slaa adui.hakuna aliyezaliwa awe kiongoz.kama hal mbaya inaletwa na watu flan waondoen ktk nafas hiyo wanayoitaka au viongoz CDM ni hao hao tu?
10. kaeni mjitafakari kwa kina mwenendo wa chama chenu na taswira yake ktk jamii.msisahau ilikuwepo NCCR MAGEUZI,CUF na sasa mnawaona walivyo.

kama hal mbaya inaletwa na watu flan waondoen ktk nafas hiyo wanayoitaka au viongoz CDM ni hao hao tu?

Tatizo la chadema ni safu nyembamba ya uongozi-samwel sitta
 
Mi nilifikiri unakuja na uchambuzi wenye kutoa uelekeo wa kilichojiri juu ya hiyo Clip inayomuhusu Lwakatare badala yake unakuja na hizo hoja nyepesi zilizojaa uchochezi na fitina za kizamani: we hoja ya Lwakatare naona uijui ni bora ukae kimya Mahakama ifanye kazi yake.
 
Mi nilifikiri unakuja na uchambuzi wenye kutoa uelekeo wa kilichijiri juu ya hiyo Clip inayomuhusu Lwakatare badala yake unakuja na hizo hoja nyepesi zilizojaa uchochezi na fitina za kizamani: we hoja ya Lwakatare naona uijui na bora ukae kimya Mahakama ifanye kazi yake.
kitengo cha kupambana mitandaoni@work!
 
ndg Lonesome. wewe upo kt ya wengi wenye msimamo wa kati ila bandiko lako lina shambulia upande moja. Cdm hawawezi kuwa wajinga hivyo. Kumbuka kuna kitu kinaitwa 'ujasusi'. kama wewe ni mtu mzima utakumbuka enzi za vita baridi kati ya magharibi na mashariki. Au vita vya ukombozi ambapo tulishuhudia vichaa wakiokota makopo mitaani kumbe ni mashushu wa wapigania uhuru wakitafuta habari pembezoni mwa balozi za maadui. Hapa namaanisha uko sawa kabisa kuwa ludo na lwaka huenda wakawa ni mapandikizi ya enzi ndani ya cdm. Katika bandiko lako ungemalizia na kuonya upande mwingine je kwa waliowatuma kwa nini wafanye hivyo kweli Cdm imekuwa tishio hadi kuanza mbinu hizi kama ni ndio nani wa kulaumiwa? pili wanaotumia njia hii hufanikiwa kwa asilimia mia? na kwa hili kuna dalili ya kufanikiwa kweli? Njia hii huandamana na extermination. silencing, ambayo lazima wananchi hawatachelewa kugundua na kuamua kusympasise na upinzani. Wewe hapa na wengine wengi tayari wameshahofia kuwa ni maigizo na usaliti tu, kwa hisia hizi tu tayari si habari njema kwa lwaka na ludo. kwa wengine tunaona cdm inapitishwa tanuruni iive zaidi bila ya matarajio. Cdm nionavyo haikukurupuka na kuhamaki kutokana na upande wa pili kutamka uwepo wa video hiyo kwa vile they were not guilty, la sivyo ungesikia hata mvurugano wa ndani ukimhusisha yeyote kati ya lwaka au ludo na uongozi. Ujasusi ni mambo ya kawaida ila hatari kwa upande unaotekeleza maana ukishindwa unawavua nguo na hata waliotumwa wakashindwa adhabu yao ni kaburi. Angalia movie iitwayo 'Ending game'

ndugu yangu mimi binafsi sijashambulia CHADEMA na wala sitaki kusema kuwa ni kweli ile video ipo hivyo.mimi naweka possibilities mbalmbali..waht if, what if...na hili ni kwa interest ya chadema. ifikie hatua chadema iwe katika hali ya kumwangalia kila mtut mara mbili mbili. kinga ni bora kuliko tiba. unapoingia kwenye siasa tegemea foul nying tu , tegemea kumwagiwa maji machafu pia.la msingi usipite yalipo madimbwi ya maji machafu. hizi siasa za kuchafuana kaka nazifaham na zinatumika sana.tatizo watu ukisema CDM hata kwa nia ya kurekebisha wanakujia juu na kukutukana n.k hii si nzuri kiafya. mi nakwambia ukweli. kama uliwah kusoma kuna hadith ya yule mfalme aliyekuwa anatembea uchi. wananchi wakashindwa kumwambia kwa kuwa hakuwa akipenda kuambiwa badala yake alipenda kusifiwa.matokeo yake yalikuwa ni aibu. mimi nimeongea kwa roho safi na siwez kuhukumiwa kwa nia njema.ila maneno haya kunasiku watu watakumbuka.IKIWA KAMA CHAMA HICHO HAKITAKUBALI KUWA HAKIONGOZWI NA MIUNGU NA KUKOSEA KUPO.LA MSINGI NI KUJISAHIHISHA. OTHERWISE TUTAENDELEA KUSEMA IDUMU CDM WAKATI TUNAONA MWELEKEO SI MZURI
 
Hata mimi naamini hivyo kwamba hii inamhusu kila mmoja wetu. (MTZ mwenye uchungu wa kweli na nchi yake na mwenye utaifa)
Mimi kinachonisumbua na kinachonikatisha tamaa ni kwanini hawa watu wa Usalama wasifanye kazi watumie mitandao kupata simple evidences. Hii inaonyesha kuwa wamerelax kiasi kikubwa hawafanyi tena kazi. Wapo wapo tu.

Wapo walikwishatajwa kuhusika na matukio ya utekaji nyara na mashambulio mengi tu lakini usalama wa taifa na polisi hawakuchukkua hatua angalau tu kuwahoji. Hatuwezi kuwa na imani inayofanya kazi na kuchukulia hatua watu kwa kuangalia matabaka. Huu ni upuuzi mkubwa sana. Hii issue ya Lwakatare imkuja ili kupreempty issue ya Kibanda, msidanganywe.
 
Tatizo tunahangaika na matawi ya tatizo badala ya tatizo lenyewe.shahidi namba moja ni aliyeweka video kwenye mtandao unless ni vita ya wanasiasa
 
Wakati flan najiuliza hivi wanaotukana na kutoa majibu ya kipuuz puuz wanaifaham siasa au ni washabiki wa siasa? hii siasa kuna watu wachache sana wanaoifahamu. wanasiasa wa kweli ni wachache sana in case hujui.watu wengi humu ni ngazi za watu flan kupandia kueleka katika matakwa yao. na hawa ni watoto wa maskin kabisa ambao wanishi kwa ahadi na vijicent kidogo vya kuwafanya kesho tena warud kuja kuomba na kulamba watu miguu. ni mtaji wa wanasiasa.HAKUNA CHAMA WALA MTU ATAKAYE KUKOMBOA.JIKOMBOE MWENYEWE NDUGU YANGU. Hawa wanasiasa angalie maisha wanayoish na nyie mnayoishi. angalien wao wanaishi wap wanatumia vyombo gan vya usafiri na matibabu yao. angalia wewe unaishi vipi? napenda siasa.ila sipend kuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote napenda kuwa na fikra huru na hili hunifanya nipate muda wa kuhoji na kuhoji maswala ambayo mshabiki wasiasa hapati muda wa kuhoji. binafsi sina tatizo na CHADEMA wala CCM.ILA NINA TATIZO NA MATENDO YA BAADHI YA WATU KATIKA VYAMA HIVYO.TATIZO TUNAPOTANGULIZA VYAMA MBELE NA KUSAHAU UTAIFA.MATOKEI YAKE TUNAWAZA KIVYAMA VYAMA .
 
Binafs sijawa nikijihusisha na chama chochote so i declare am not political affiliated.ILA NI MPENZ WA SIASA TOKA
MWAKA 1992 ENZI ZA C.MTIKILA NA SIASA ZA UTANGANYIKA.NLIMPENDA SANA KWA SERA NA UJASIRI WAKE.NOW C.MTIKILA NLIYEMFAHAMU HAYUPO NASI WATANGANYIKA.KWA SASA NAANGALIA MTU BINAFS BILA KUJAL CHAMA.
CHADEMA MNA MAMBO KADHAA YA KUYAANGALIA KTK SAKATA HILI LA LWAKATARE
1. hebu angalieni uhalali wa ile video kwa makin na kwa kutumia wataalam msikanushe tu kuwa ni fake bila kuja na hoja za kitaalamu
2. muwe wa kwel kama mnamfaham ludovic au hamumfaham na mnafahm kias gan.then hapo mtajipanga zaid kujua kwa nin alirecord hyo video
3. mjiangalie ni wap mlipokosea.ni kwa dr slaa,mbowe,zitto,lwakatare,ludovic? na hapo pia muwe tayar kukabiliana na matokeo yake.
4. kama mlikuwa mnatumia strategy hizo kuwanyamazisha wapinzan wa watu flan ndan ya chama na nje.ni strategy mbaya kabisa na totally inhuman hilo hatuwez lifumbia macho ni kama CCM wanavyo deal na wapinzan flan.
5. mnamjua vizur lwakatare?alipataje cheo cha kuwa kitengo cha usalama,alisomea mambo hayo wap kwa kiwango gan.
6. ludovic anawajua ninyi kwa kiwango gan na yukoje sasa....state of mind.je hatoongea zaid na zaid kama kuna mengne.je nyuma yake wapo akina nan?
7. msiendeshe jambo hil kishabik.mje na hoja mujarab na za kisayans na si kushabikia tu
8. kuna uhusiano gan ktk ya video hiyo na CCM? aliposema mwigulu mchemba ana video yenu mkipanga kufanya mauaji mlichukua hatua gani?
9. mjihadhar na vita ya kugombea madaraka ndan ya chama chenu hiyo itawahaaribu sana.msimfanye zitto adui wala dr slaa adui.hakuna aliyezaliwa awe kiongoz.kama hal mbaya inaletwa na watu flan waondoen ktk nafas hiyo wanayoitaka au viongoz CDM ni hao hao tu?
10. kaeni mjitafakari kwa kina mwenendo wa chama chenu na taswira yake ktk jamii.msisahau ilikuwepo NCCR MAGEUZI,CUF na sasa mnawaona walivyo.

So what??????????????????????????
 
subiri mahakama ifanye kazi yake
 
Tupunguze ushabiki maandazi hapa, hivi nyie mliotoa LIKE kwenye hii post mnajielewa kweli? heading na content vimekimbiana kama Korea ya kusini na Kaskazini, kwa mwenye akili anaelewa tu ushabiki umetawala badala ya mawazo. Embu tujifunzeni kuwa great thinker tuache kuishushia hadhi JF. N hili limeongezeka tangu posho lumumba ilipopanda
 
Wakati flan najiuliza hivi wanaotukana na kutoa majibu ya kipuuz puuz wanaifaham siasa au ni washabiki wa siasa? hii siasa kuna watu wachache sana wanaoifahamu. wanasiasa wa kweli ni wachache sana in case hujui.watu wengi humu ni ngazi za watu flan kupandia kueleka katika matakwa yao. na hawa ni watoto wa maskin kabisa ambao wanishi kwa ahadi na vijicent kidogo vya kuwafanya kesho tena warud kuja kuomba na kulamba watu miguu. ni mtaji wa wanasiasa.HAKUNA CHAMA WALA MTU ATAKAYE KUKOMBOA.JIKOMBOE MWENYEWE NDUGU YANGU. Hawa wanasiasa angalie maisha wanayoish na nyie mnayoishi. angalien wao wanaishi wap wanatumia vyombo gan vya usafiri na matibabu yao. angalia wewe unaishi vipi? napenda siasa.ila sipend kuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote napenda kuwa na fikra huru na hili hunifanya nipate muda wa kuhoji na kuhoji maswala ambayo mshabiki wasiasa hapati muda wa kuhoji. binafsi sina tatizo na CHADEMA wala CCM.ILA NINA TATIZO NA MATENDO YA BAADHI YA WATU KATIKA VYAMA HIVYO.TATIZO TUNAPOTANGULIZA VYAMA MBELE NA KUSAHAU UTAIFA.MATOKEI YAKE TUNAWAZA KIVYAMA VYAMA .

Sio kila mtu anafanya Siasa, wengine tunatumia akili zetu katika kuchanganua mambo. Siasa unafanya wewe ndo maana kila linalohitaji umakini wewe unaleta siasa zako hata kwa watu wenye heshima zetu?
 
Naona josephine unavyotumia akili na pia ulivyo na heshima yako. naona sana dada/kaka yangu.kweli we mbona unatumia "akili" kuchanganua na una "heshima" yako.i can see gow brilliant yu re. mbona lipo wazi hilo kwa maneno yako. tusamehe si wengine ndo hivyo dada?kaka ingawa at least tunajarib kuzihangaisha akil zetu.bahati mbaya sana wengi wamekalia akili zao.zimelala zimekwenda kwenye makalio.hey dont think ingawa wao wanaona wanathink, they dont reason sana sana watakimbilia kutukana na kusema huyu ni CCM,ni Msaliti pengine hata maana ya neno msaliti hawalijui.hawa ndo vijana tulio nao sasawanaokiharibu chama kwa kuwa wamelaza ubongo wao wanafikiria kwa kutumia makalio na matumbo yao.tunawaona baadaye kinachotokea.either wanakimbilia CCM au wananendelea kujishusha na kunyenyekea kiutumwa kulinda maslah yao na mabwana wao.siasa hizi ndizo wanazozijua nani ana uwezo wa kuhoji haya mambo? hakuna wote wamekalia mikia yao kama mbwa koko sababu hawana ujasiri.wakiuliza wananyamazishwa.CCM wataendelea kutawala ikiwa kama vyama pinzan havitajipanga.na mimi nakwambia kwa style hii chama pinzani kikichukua nchi mi ntahama TZ. labda tubadilike ama sivyo hakuna chama cha kutoa rais.tuwe wakweli tu. mi naombea sana CHADEMA IZIDI KUPATA WABUNGE WENGI ZAIDI NA ZAIDI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom