CHADEMA, video ya Lwakatare ukweli wake huu hapa

CHADEMA, video ya Lwakatare ukweli wake huu hapa

Status
Not open for further replies.
video video video....mnadhani CHADEMA wamelala? suala liko mahakamani subirini mtajua!
 
Tumain Makene,Ben saanane,Ludovick,H.A.Sabula,mwasilwani perfect,Molemo wanayajua haya yote.
Na hawataki kuyasikia kwa sababu wanajua ni sehemu ya Ugaidi.
Umewawatandika maswali ya msingi sana.Hongera mkuu.
 
Upeleke mahakamani huo ushahidi wako. Umeambia jf tunataka ushahidi? au ulikua na hamu ya kuanzisha thread?. kwanza hata mwandiko wako umekaa kiccm. mia
 
umeleta tahadhari ya kawaida tena isiyoendana hata na heading yako.
Binafs sijawa
nikijihusisha na chama chochote so i declare am not political
affiliated.ILA NI MPENZ WA SIASA TOKA
MWAKA 1992 ENZI ZA C.MTIKILA NA SIASA ZA UTANGANYIKA.NLIMPENDA SANA KWA
SERA NA UJASIRI WAKE.NOW C.MTIKILA NLIYEMFAHAMU HAYUPO NASI
WATANGANYIKA.KWA SASA NAANGALIA MTU BINAFS BILA KUJAL CHAMA.
CHADEMA MNA MAMBO KADHAA YA KUYAANGALIA KTK SAKATA HILI LA LWAKATARE
1. hebu angalieni uhalali wa ile video kwa makin na kwa kutumia wataalam
msikanushe tu kuwa ni fake bila kuja na hoja za kitaalamu
2. muwe wa kwel kama mnamfaham ludovic au hamumfaham na mnafahm kias
gan.then hapo mtajipanga zaid kujua kwa nin alirecord hyo video
3. mjiangalie ni wap mlipokosea.ni kwa dr
slaa,mbowe,zitto,lwakatare,ludovic? na hapo pia muwe tayar kukabiliana
na matokeo yake.
4. kama mlikuwa mnatumia strategy hizo kuwanyamazisha wapinzan wa watu
flan ndan ya chama na nje.ni strategy mbaya kabisa na totally inhuman
hilo hatuwez lifumbia macho ni kama CCM wanavyo deal na wapinzan flan.
5. mnamjua vizur lwakatare?alipataje cheo cha kuwa kitengo cha
usalama,alisomea mambo hayo wap kwa kiwango gan.
6. ludovic anawajua ninyi kwa kiwango gan na yukoje sasa....state of
mind.je hatoongea zaid na zaid kama kuna mengne.je nyuma yake wapo akina
nan?
7. msiendeshe jambo hil kishabik.mje na hoja mujarab na za kisayans na
si kushabikia tu
8. kuna uhusiano gan ktk ya video hiyo na CCM? aliposema mwigulu mchemba
ana video yenu mkipanga kufanya mauaji mlichukua hatua gani?
9. mjihadhar na vita ya kugombea madaraka ndan ya chama chenu hiyo
itawahaaribu sana.msimfanye zitto adui wala dr slaa adui.hakuna
aliyezaliwa awe kiongoz.kama hal mbaya inaletwa na watu flan waondoen
ktk nafas hiyo wanayoitaka au viongoz CDM ni hao hao tu?
10. kaeni mjitafakari kwa kina mwenendo wa chama chenu na taswira yake
ktk jamii.msisahau ilikuwepo NCCR MAGEUZI,CUF na sasa mnawaona
walivyo.
 
Wenyewe wanaandamana kwanza, wakirudi lazima ulowe matusi

yepi yakheeee


chadema.jpg
 
Think tank ya CHADEMA ya kwenye mtandao hawawezi kujibu hoja zaidi ya kutukana.

Ungepost sifa za viongozi wa CHADEMA, ungekuwa mpaka sasa hazipungui likes 47.

Wanatamani Tanzania iwe ya mfumo wa chama kimoja kiitwacho CHADEMA.

Hilo halitawezekana chini ya jua kutokana na nature ya mwanadamu!


 
Wakigundua hakuna impact munaleta na posti zenu mutashindwa hata kuziba viraka m. a. t.a. ko.ni manake hamna kazi zaidi ya kuuza post shame watoto wakike dume
 
Maruhani ya CCM mbio mbio baada ya kuona bandiko la video ya lwakatare.

Kazi mnayo.
 
Pengine unitoe wasiwasi na umakini wako! Hebu twambie ukweli ulio uhanisha kwenye habari yako ni hupi? Mbona naona maneno ya kawaida sana?

Me naona umeanzisha mada kwa hisia tu na ulitakiwa kuonesha ukweli sio kuanza kuuliza maswali tena!
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama haupendwi na watu wengi na uongo utabaki kuwa uongo tu hata kama unapendwa na watu wengi. binafsi najiuliza sana huyu ludovick ana uhusino gani na cdm, na alikuwa na deal gani na lwekatere hadi kufanya naye mkutano nyumbani kwa lwekatare lkn majibu ya hayo yanapigwa chenga na cdm.

Ndege mjanja hunaswa kwa tundu bovu.

Kukulacho ki nguoni nwako.

Hadi dakika hii cdm bado wako usingizini, pale lwakatare atakapoanza kuwataja makamanda wao nadhani ndio wataamka, lakini watakuwa wamechelrwa saana.
Ndege mjanja hunaswa kwa tundu bovu

Chezea ccm enh..!

Sent from my GT-S7562 using Tapatalk 2
 
wanajamii nlitahadharisha hapo mwanzo mimi si muumin wa chama chochote.weng wanaotoa hoja za matusi hawaonesh upeo zaid ya ushabik tu kama wa simba na yanga.siasa naifaham kias chake na ndo maana sina ushabik maana nawafaham wenye ushabik na matokeo yake.mi nasema kwa uwaz kama hatutaacha ushabik,kama hatutaanza kutumia akil zetu badala ya kuzikalia CCM ITATAWALA MILELE.watu weng hawatumii akil zao,huwez kuwa imara kama hupat muda wa kuji assess au kuji evaluate.majib ya ile video yapo katika mambo hayo ambayo binafs nmeyashaur na kuuliza.pengne kosa wanalolifanya CDM ni kumwona kila anayewakosoa ni adui.kumbe kama wangekuwa na busara wangechukua hzo changamoto na kuzitafutia majibu.mimi sijahumu mtu ila ktk siasa nlijifunza kutokumwamin yeyote.uchaguz wa igunga mi nlikuwa tbr na igunga pia so najua nachosema.CDM kama mtaendesha siasa za kishabik napata waswas CCM itakosa mpinzan na hatimaye wata relaxe.kwenye siasa huwez kujichukulia upo safe everyday.kama msipoangalia CDM itakufa.kama ROME EMPIRE ilikufa kwa kibur,jeur na kuota mapembe itakuwa chama cha siasa cha TZ? tujiulize wapi NCCR, wap CUF?mnadhan nyie ni bora kuliko wao?tusiwe wanafik kias hik cha kuwa na ukasuku ule ule wa CCM kudumisha fikra za wachache na kukaririshwa nyimbo za kusifia chama.
IN THE TIME OF UNIVERSAL DECEIT TELLING THE TRUTH IS THE REVOLUTIONARY ACT.
 
hivi kauli ya MEMBE kuwa ana maadui 11 hapa nchini,na kati yao 2 ni waandishi wa habari na kabla ya mwaka 2015 wata ama nchi hii kauli unaipimaje mto mada?
 
CDM imejaa mamluki na hii itawaharibia sana!!! Wapo mamluki ndani ya uongozi wa CDM na wanachama pia! I doubt kama Lwakatare is a serious and committed CDM member!!!! Just thinking aloud!! Ila pia kama mleta mada alivyosema, chukueni wataalam waisome ile video ili muweze kuwa na technical defence as well!!! Tanzania badala ya kutumia technical know how katika kupata majority support wanahangaika kutumia njia za kipuuzi!!! By the way hata hiyo video haina mashiko, watanzania wameshachoka na walishajua umafia wa chama kimoja over kingine!! watu si mbumbumbu kama miaka ya 47!!! Miaka inasonga na uelewa wa watu unakua hata na fix wanazijua!! Huko mitaani tunaishi na watu waliposikia habari za video magazetini na TV walinanga, tena hadharani wazee utasikia si mbinu za chama fulani!! Wanatuchosha hao!! Watu wanataka kusikia maisha bora kwa kila mtanzani anayetaabika kwa sasa na si mambo ya video vya kuchonga!! Haikulipa, it is abborted mission!!
 
hivi kauli ya MEMBE kuwa ana maadui 11 hapa nchini,na kati yao 2 ni waandishi wa habari na kabla ya mwaka 2015 wata ama nchi hii kauli unaipimaje mto mada?

Nafikiri uchunguzi ungeanzia hapa maana vita ya mafahali wawili na wanaoumia ni wale wanaowasaidia (vibaraka wao)!!!
 
Pengine unitoe wasiwasi na umakini wako! Hebu twambie ukweli ulio uhanisha kwenye habari yako ni hupi? Mbona naona maneno ya kawaida sana?

Me naona umeanzisha mada kwa hisia na ulitakiwa kuonesha ukweli sio kuanza kuuliza maswali tena!

ukawaida wa jambo au utofaut unategemeana na uwezo wa mtu kuelewa,hisia,itikadi/iman,muda n.k
but kama utapata muda wa kutumia angalau kidogo akil ambayo najua unayozaid hata ya mimi utagundua kuna nin ktk ninayo yasema.ila tu kama utaamua kuiamsha akil yako kaka.otherwise huwez ona kuna lolote la maana maana pia inategemeana na kama una uwezo mzur wa kuona au umefungwa kitambaa cheus machon.kama una mapenz ya dhat na CDM kaa chin kaka halaf jiulize maswal hayo na mengne pia.ukiwa msomi utajiuliza WHAT IF HII VIDEO NI YA KWELI. halaf UTAJIULIZA WHAT IF HII VIDEO SI YA KWEL. utajihoj na kuwahoj watu wanaohusika.UKWEL WANAO LWAKATARE NA LUDOVIC sis tusiwe washabik.siku mtu akikiri au kuthibitisha tusije geuza kibao na kusema alipandikizwa.tuangalie mapema jambo hili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom