Haya mambo yatakuwa yameanza kufanyika siku nyingi lakini yalikuwa hayajulikani, sasa mchawi tumeshamjua
CDM imejaa mamluki na hii itawaharibia sana!!! Wapo mamluki ndani ya uongozi wa CDM na wanachama pia! I doubt kama Lwakatare is a serious and committed CDM member!!!! Just thinking aloud!! Ila pia kama mleta mada alivyosema, chukueni wataalam waisome ile video ili muweze kuwa na technical defence as well!!! Tanzania badala ya kutumia technical know how katika kupata majority support wanahangaika kutumia njia za kipuuzi!!! By the way hata hiyo video haina mashiko, watanzania wameshachoka na walishajua umafia wa chama kimoja over kingine!! watu si mbumbumbu kama miaka ya 47!!! Miaka inasonga na uelewa wa watu unakua hata na fix wanazijua!! Huko mitaani tunaishi na watu waliposikia habari za video magazetini na TV walinanga, tena hadharani wazee utasikia si mbinu za chama fulani!! Wanatuchosha hao!! Watu wanataka kusikia maisha bora kwa kila mtanzani anayetaabika kwa sasa na si mambo ya video vya kuchonga!! Haikulipa, it is abborted mission!!
Mkuu hiyo thread ni yako peke yako au namna gani mkuu, naona una post mara kumi kumi, By the way, ni ukweli gani aliousema mleta mada zaidi ya kuuliza tu maswali ambayo hata yeye anahitaji majibu.Kwa sababu unazozijua mwenyewe umeamua kuwa mtu asiyefikiri, jitathimini upya.
Think tank ya CHADEMA ya kwenye mtandao hawawezi kujibu hoja zaidi ya kutukana.
Ungepost sifa za viongozi wa CHADEMA, ungekuwa mpaka sasa hazipungui likes 47.
Wanatamani Tanzania iwe ya mfumo wa chama kimoja kiitwacho CHADEMA.
Hilo halitawezekana chini ya jua kutokana na nature ya mwanadamu!
Laiti kama wangemuhoji aliyeiweka hiyo video mtandaoni, ningewaona at least wanazo japo za kuvukia barabara. Kumtenga aliyeiweka hiyo Video mtandaoni, ili aweze kuwa shahidi namba moja huku Ukitegemea haki itatendeka hapo itakuwa ni kichekesho cha mwaka.
zogwale una uelewa
mzuri.na kama CDM haitojiangalia mi nakwambia itaanguka.inabid
wachunguzane wenyewe.hii video tupende tusipende ina impact kubwa nenda
vijijin hta mjin pia.kama ni kwel au si kwel utolewe ushahid wa kisayans
jaman.na tukumbe uovu hauna rang wala itikad .tutumie akil zetu na pia
tuhoj kama watu wali elimika
Hao watu unaowaambia hawapendi ukweli usemwe
Think tank ya CHADEMA ya kwenye mtandao hawawezi kujibu hoja zaidi ya kutukana.
Ungepost sifa za viongozi wa CHADEMA, ungekuwa mpaka sasa hazipungui likes 47.
Wanatamani Tanzania iwe ya mfumo wa chama kimoja kiitwacho CHADEMA.
Hilo halitawezekana chini ya jua kutokana na nature ya mwanadamu!
Binafs sijawa nikijihusisha na chama chochote so i declare am not political affiliated.ILA NI MPENZ WA SIASA TOKA
MWAKA 1992 ENZI ZA C.MTIKILA NA SIASA ZA UTANGANYIKA.NLIMPENDA SANA KWA SERA NA UJASIRI WAKE.NOW C.MTIKILA NLIYEMFAHAMU HAYUPO NASI WATANGANYIKA.KWA SASA NAANGALIA MTU BINAFS BILA KUJAL CHAMA.
CHADEMA MNA MAMBO KADHAA YA KUYAANGALIA KTK SAKATA HILI LA LWAKATARE
1. hebu angalieni uhalali wa ile video kwa makin na kwa kutumia wataalam msikanushe tu kuwa ni fake bila kuja na hoja za kitaalamu
2. muwe wa kwel kama mnamfaham ludovic au hamumfaham na mnafahm kias gan.then hapo mtajipanga zaid kujua kwa nin alirecord hyo video
3. mjiangalie ni wap mlipokosea.ni kwa dr slaa,mbowe,zitto,lwakatare,ludovic? na hapo pia muwe tayar kukabiliana na matokeo yake.
4. kama mlikuwa mnatumia strategy hizo kuwanyamazisha wapinzan wa watu flan ndan ya chama na nje.ni strategy mbaya kabisa na totally inhuman hilo hatuwez lifumbia macho ni kama CCM wanavyo deal na wapinzan flan.
5. mnamjua vizur lwakatare?alipataje cheo cha kuwa kitengo cha usalama,alisomea mambo hayo wap kwa kiwango gan.
6. ludovic anawajua ninyi kwa kiwango gan na yukoje sasa....state of mind.je hatoongea zaid na zaid kama kuna mengne.je nyuma yake wapo akina nan?
7. msiendeshe jambo hil kishabik.mje na hoja mujarab na za kisayans na si kushabikia tu
8. kuna uhusiano gan ktk ya video hiyo na CCM? aliposema mwigulu mchemba ana video yenu mkipanga kufanya mauaji mlichukua hatua gani?
9. mjihadhar na vita ya kugombea madaraka ndan ya chama chenu hiyo itawahaaribu sana.msimfanye zitto adui wala dr slaa adui.hakuna aliyezaliwa awe kiongoz.kama hal mbaya inaletwa na watu flan waondoen ktk nafas hiyo wanayoitaka au viongoz CDM ni hao hao tu?
10. kaeni mjitafakari kwa kina mwenendo wa chama chenu na taswira yake ktk jamii.msisahau ilikuwepo NCCR MAGEUZI,CUF na sasa mnawaona walivyo.
Mkuu hiyo thread ni yako peke yako au namna gani mkuu, naona una post mara kumi kumi, By the way, ni ukweli gani aliousema mleta mada zaidi ya kuuliza tu maswali ambayo hata yeye anahitaji majibu.Kwa sababu unazozijua mwenyewe umeamua kuwa mtu asiyefikiri, jitathimini upya.
Umeona eeh huyu mjinga katumwa kutuvuruga kamwe hawezi kutugawa. Lichochezi kweli.utaifakwanza: MBONA UNAKUWA MCHOCHEZI SASA AU NI KWELI KUWA UMELETWA HUMU?
wanajamii nlitahadharisha hapo mwanzo mimi si muumin wa chama chochote.weng wanaotoa hoja za matusi hawaonesh upeo zaid ya ushabik tu kama wa simba na yanga.siasa naifaham kias chake na ndo maana sina ushabik maana nawafaham wenye ushabik na matokeo yake.mi nasema kwa uwaz kama hatutaacha ushabik,kama hatutaanza kutumia akil zetu badala ya kuzikalia CCM ITATAWALA MILELE.watu weng hawatumii akil zao,huwez kuwa imara kama hupat muda wa kuji assess au kuji evaluate.majib ya ile video yapo katika mambo hayo ambayo binafs nmeyashaur na kuuliza.pengne kosa wanalolifanya CDM ni kumwona kila anayewakosoa ni adui.kumbe kama wangekuwa na busara wangechukua hzo changamoto na kuzitafutia majibu.mimi sijahumu mtu ila ktk siasa nlijifunza kutokumwamin yeyote.uchaguz wa igunga mi nlikuwa tbr na igunga pia so najua nachosema.CDM kama mtaendesha siasa za kishabik napata waswas CCM itakosa mpinzan na hatimaye wata relaxe.kwenye siasa huwez kujichukulia upo safe everyday.kama msipoangalia CDM itakufa.kama ROME EMPIRE ilikufa kwa kibur,jeur na kuota mapembe itakuwa chama cha siasa cha TZ? tujiulize wapi NCCR, wap CUF?mnadhan nyie ni bora kuliko wao?tusiwe wanafik kias hik cha kuwa na ukasuku ule ule wa CCM kudumisha fikra za wachache na kukaririshwa nyimbo za kusifia chama.
IN THE TIME OF UNIVERSAL DECEIT TELLING THE TRUTH IS THE REVOLUTIONARY ACT.
Hao watu unaowaambia hawapendi ukweli usemwe