sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
- Thread starter
- #41
ninyi ndo vichwa nazi msiotaka jibu langu mnataka nitoe jibu lililo vichwani mwenu! Kama majibu mnayo y mniulize?
Last edited by a moderator:
huko kote uliko~bold ccm na wanaccm, bold chadema na wanachadema, na hasahasa usijitoe ufahamu kuwa chadema ni cha ukanda wa kaskazini.
ninyi ndo vichwa nazi msiotaka jibu langu mnataka nitoe jibu lililo vichwani mwenu! Kama majibu mnayo y mniulize?
mkuu hoja yako haina mashiko. Swali lako ni la kitakwimu na ni jipya kabisa maana mimi nililenga kuelezea ilikotoka Tanzania hadi ilipo katika nyanja za huduma za kijamii. Post yangu haijamtaja uchumi direct.
Ndugu wanaJF,
Tuweke ushabiki pembeni; Tanzania ilikuwa sawa na PORI, akajitokeza mkulima kwa jina mwl. J. K Nyerere akaunda kikosi kazi kwa jina CCM. Wakalifyeka pori, wakalisawazisha, wakachoma uchafu wote, wakatafuta MBEGU sehemu mbalimbali na kuziotesha katika lile lililokuwa pori ambalo sasa ni SHAMBA, wakapalilia, wakaweka mbolea, dawa, n.k. Wakati wa mavuno unakuja vinaibuka vikundi vingi majina tofauti na bado vinazidi kuibuka kwa lengo la kutaka mavuno ya CCM. Vikundi hivyo ni kama; CUF, CHADEMA, UKAWA, ACT, n.k.
Ufafanuzi ni kuwa serikali ya CCM imeotesha mbegu nyingi katika shamba Tanzania na bado inaendelea kuotesha.
1. Mabarabara yamejaa lami,
2. Umeme hadi kwenye Viota
3. Mashule ya kutosha
4. Mawasiliano kila kona
5. Mahospitali kila mahali
6. Miradi mingi ya maendeleo
7. Kuimarishwa kwa ulinzi na usalama
8. Pamoja na mengine ambayo sijayataja.
Sasa hawa Walowezi wanaoitaka hii nchi kwa gharama yoyote WATATUFANYIA NINI? KWANZA WANAPASWA KUMHESHIMU ALIYEGEUZA PORI KUWA SHAMBA HADI LEO TUNAPATA PA KUJISETIRI.
mtu akitumia pesa yake kuna shida gani hata kama anaenda kutibiwa mwezini?
Chadema inawabunge wangapi
1. Kanda ya kaskazin
2. Mashariki
3. Kusini na kusin nyanda za juu
4. kanda ya ziwa
5. Kanda ya kati
ukipata majibu tuambie
Mbeya, Iringa, Dsm, Mwanza, Singida, Shinyanga, Arusha nk je hiyo mikowa yote nikaskazin?
CCM jirekebisheni na acheni sumu ya unafiki na uwongo.
Tafadhili naomba jibu endapo mikowa hiyo yenye wabunge wa cdm niyakaskazin.
t
walishawashitukieni maana waliingia kichwa kichwa, wamefungasha virago, mnawaita Wasaliti!
By adolay![]()
Chadema inawabunge wangapi
1. Kanda ya kaskazin
2. Mashariki
3. Kusini na kusin nyanda za juu
4. kanda ya ziwa
5. Kanda ya kati
ukipata majibu tuambie
Mbeya, Iringa, Dsm, Mwanza, Singida, Shinyanga, Arusha nk je hiyo mikowa yote nikaskazin?
CCM jirekebisheni na acheni sumu ya unafiki na uwongo.
Tafadhili naomba jibu endapo mikowa hiyo yenye wabunge wa cdm niyakaskazin.
kule Tarakea Rombo, Wakenya wengi wanakuja kutibiwa Tanzania.
Uliachiwa ya urithi?
Kukusaidia nenda hapa https://www.jamiiforums.com/blog/wp-content/uploads/2013/04/kipugira.jpg
sasa Kenya na Tanzania ipi ipo mbele kiuchumi? Mbona wanakuja kutibiwa huku? Swala la tiba tunategemeana bila kujali uchumi.
Uvivu WAKO NDIO UMASIKINI WAKO, UMASIKINI WAKO NDIO UTAJIRI WANGU.
1. Umeisahau hoja yako tukukumbushe?
2. unaifaham nguvu ya uchumi wa kenya wewe
Nitakupa maswali mawili au matatu hivi
a) unafam mpka sasa kenya Airways wanandege ngapi ukilinganisha na TZ
i) za mizigo
ii) abilia
b) unafaham Reli za usafirishaji zina uboragani kenya ukilinganisha na zetu?
c) unafaham kwamba R. odinga alikataa kwenda fanyiwa operation ya ubongo wake nje na alifanyiwa palepale Nairobi?
Anyway jadili hoja yako huko kenya wala usiende kabisa tuwaache wakenya na shida yao kwa Alshababu
Nyerere aliturithisha maadui watatu--Ujinga, Maradhi na Umasikini--lakini kwa sasa tuna maadui 4--Ujinga, Maradhi Umasikini na UFISADI. Huyu adui namba 4 ameletwa na CHADEMA/UKAWA. CCM oyeeee!