sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Ndugu wanaJF,
Tuweke ushabiki pembeni; Tanzania ilikuwa sawa na PORI, akajitokeza mkulima kwa jina mwl. J. K Nyerere akaunda kikosi kazi kwa jina CCM. Wakalifyeka pori, wakalisawazisha, wakachoma uchafu wote, wakatafuta MBEGU sehemu mbalimbali na kuziotesha katika lile lililokuwa pori ambalo sasa ni SHAMBA, wakapalilia, wakaweka mbolea, dawa, n.k. Wakati wa mavuno unakuja vinaibuka vikundi vingi majina tofauti na bado vinazidi kuibuka kwa lengo la kutaka mavuno ya CCM. Vikundi hivyo ni kama; CUF, CHADEMA, UKAWA, ACT, n.k.
Ufafanuzi ni kuwa serikali ya CCM imeotesha mbegu nyingi katika shamba Tanzania na bado inaendelea kuotesha.
1. Mabarabara yamejaa lami,
2. Umeme hadi kwenye Viota
3. Mashule ya kutosha
4. Mawasiliano kila kona
5. Mahospitali kila mahali
6. Miradi mingi ya maendeleo
7. Kuimarishwa kwa ulinzi na usalama
8. Pamoja na mengine ambayo sijayataja.
Sasa hawa Walowezi wanaoitaka hii nchi kwa gharama yoyote WATATUFANYIA NINI? KWANZA WANAPASWA KUMHESHIMU ALIYEGEUZA PORI KUWA SHAMBA HADI LEO TUNAPATA PA KUJISETIRI.