CHADEMA/UKAWA wana Njaa na Matunda/Mazao ya CCM!

sirluta

Tunakupa shule inaonekana umekulia maeneo ya posta ambako watu huingilia dishani kwenye madaladala

Huko vijinini na hata mijini msome TAWA hapo juu amekueleza vizuri kabisa,

unachokitetea si sahihi mkuu hali ni mbaya sana kwa watanzania

Je tanzania inashika nafasi ya ngapi kiuchumi duniani?

kasi ya ukuaji wa uchumi duniani kwa Tanzania ipo juu hata mataifa yenye uchumi mkubwa duniani yanatambua hilo.
 
Last edited by a moderator:
Naona mnasahau kuwa kulikuwa na Chama alichokikuta Nyerere kilikuwa ni T.A.A ambacho mliifuta historia yake. Wapo kina Mkwawa waliomwaga damu juu ya nchi hii.

CCM ni updates ya T. A. A n.k usihofu.
 
Tatizo ya ushabiki usio na kiasi,ujinga uliopitiliza wa kutotaka kujifunza.
Enzi za Mwalimu Tanzania ilijengwa na watanzania wote.

Julius K Nyerere hakuwa tu msimamizi alituongoza kwa mifano na sote tukiwa shuleni tulitanani kuifanyia kitu nchi yetu.

CCM ni ya 1977 na hapo ndipo ulanguzi na ubepari ulishamiri.Nyerere alijikita sana kwenye vita ya Idi Amin.
Vibaka wakawa wanajipanga.
 
kasi ya ukuaji wa uchumi duniani kwa Tanzania ipo juu hata mataifa yenye uchumi mkubwa duniani yanatambua hilo.

usijibu jibu la kisanii ndiyo maana tunafeli mitihani jibu swali usiwe kama Abdallah Bulembo wa wazazi ebo!

hapo kwewnye redi sija taka maelezo ya kisanii

quote_icon.png
By adolay

sirluta

Tunakupa shule inaonekana umekulia maeneo ya posta ambako watu huingilia dishani kwenye madaladala

Huko vijinini na hata mijini msome TAWA hapo juu amekueleza vizuri kabisa,

unachokitetea si sahihi mkuu hali ni mbaya sana kwa watanzania

Je tanzania inashika nafasi ya ngapi kiuchumi duniani?
 
Hizi ndiyo harakati za kujiendeleza katika maeneo mengi vijijin miaka zaid 50 ya ccm madarakani.

large.jpg

shule, daftari, majengo na mavazi vinasikitisha huko vijijin.....

large.jpg

large.jpg

large.jpg

large.jpg

huu ni uvivu wa wazazi wao na walezi wao, serikali imepeleka vitabu vya kiswahili na kiingereza, wao wanagonga kirangi si wamekaidi? Wataendelea kurudi nyuma wabaki na kirangi chao.
 
Wao walipokuja kwa babu wa Loliondo mbona hamkulalamika? Changamoto ya matibabu ya nje imesaidia kupata hospitali zetu za kutibu magonjwa hayo hayo na kuleta nafuu kwa wasio na uwezo wa kmenda nje.

Unanitajia mambo ya waganga wa kienyeji wanaoshiriki masikini na matajiri?
Huduma za Afya unazijua vzuri? Unaondoka Ikulu au Masaki Unaacha Muhimbili uiyoijenga unaenda kwa jirani jiuize Why?
 
usijibu jibu la kisanii ndiyo maana tunafeli mitihani jibu swali usiwe kama Abdallah Bulembo wa wazazi ebo!

hapo kwewnye redi sija taka maelezo ya kisanii

haikuwa sera ya ccm, labda ninyi muifanye ndo sera yenu mtuhakikishie pamoja na mavuno ya ccm mnayoyataka tutakuwa wa kwanza duniani.
 
huu ni uvivu wa wazazi wao na walezi wao, serikali imepeleka vitabu vya kiswahili na kiingereza, wao wanagonga kirangi si wamekaidi? Wataendelea kurudi nyuma wabaki na kirangi chao.

1. Unaelewa majukumu ya serikali ya ccm kwa wapiga kura wake?

2. Nitajie walau manne ukizingatia yaliyoma kwenye ahadi hususan ilan ya ccm?
 
Tatizo ya ushabiki usio na kiasi,ujinga uliopitiliza wa kutotaka kujifunza.
Enzi za Mwalimu Tanzania ilijengwa na watanzania wote.

Julius K Nyerere hakuwa tu msimamizi alituongoza kwa mifano na sote tukiwa shuleni tulitanani kuifanyia kitu nchi yetu.

CCM ni ya 1977 na hapo ndipo ulanguzi na ubepari ulishamiri.Nyerere alijikita sana kwenye vita ya Idi Amin.
Vibaka wakawa wanajipanga.

Tanzania ya sasa imegwanywa na Upinzani. Umoja umetenganishwa na upinzani wa tamaa ya mazao ya ccm.
 
haikuwa sera ya ccm, labda ninyi muifanye ndo sera yenu mtuhakikishie pamoja na mavuno ya ccm mnayoyataka tutakuwa wa kwanza duniani.

Ww ulifanya vipi mtihani wako, unatakiwa kuji swali narudia kwa faida ya serikali ya ccm inayowapatia ufaulu badala ya uelewa maana hufaham kabisa...........very bada. Hapo kwenye red Tafadhali

quote_icon.png
By adolay

sirluta

Tunakupa shule inaonekana umekulia maeneo ya posta ambako watu huingilia dishani kwenye madaladala

Huko vijinini na hata mijini msome TAWA hapo juu amekueleza vizuri kabisa,

unachokitetea si sahihi mkuu hali ni mbaya sana kwa watanzania

Je tanzania inashika nafasi ya ngapi kiuchumi duniani?
 
1. Unaelewa majukumu ya serikali ya ccm kwa wapiga kura wake?

2. Nitajie walau manne ukizingatia yaliyoma kwenye ahadi hususan ilan ya ccm?

unataka kunidanganya ni kulazimisha kutokomeza lugha za asili mashuleni! Sisi wenyewe tulikuwa tunagonga kichaga miaka hiyo, lakini tulipoenda shule tukakutana na walimu na wanafunz wasiojua kichaga tukachange automatically.
 
Ww ulifanya vipi mtihani wako, unatakiwa kuji swali narudia kwa faida ya serikali ya ccm inayowapatia ufaulu badala ya uelewa maana hufaham kabisa...........very bada. Hapo kwenye red Tafadhali

usinibabaishe na maswali ya takwimu. Wewe Tz ni ya ngapi Afrika kwa ukubwa?
 
Unanitajia mambo ya waganga wa kienyeji wanaoshiriki masikini na matajiri?
Huduma za Afya unazijua vzuri? Unaondoka Ikulu au Masaki Unaacha Muhimbili uiyoijenga unaenda kwa jirani jiuize Why?

mtu akitumia pesa yake kuna shida gani hata kama anaenda kutibiwa mwezini?
 
Tanzania ya sasa imegwanywa na Upinzani. Umoja umetenganishwa na upinzani wa tamaa ya mazao ya ccm.

Nani anayehubiri siasa za

1. Udini rejea IGP Mahita kwa maelekezo ya ccm alitangaza hadharani kwa uzushi CUF chama cha kidin na kila mara Nape, Bulembo na the likes wanasema CDM cha kidini...............ccm ndio muasisi wa siasa pumbafu za udin

2. Ukabila na ukanda, ccm ndio muasisi wa siasa za pumbafu na za kijinga za ukabila na ukanda

3. Utekaji na mauwaji, ccm tumeona kamuhanda kauwa Mwangosi, kikwete kampandisha cheo na Andengenye kauwa Arusha kapandishwa cheo na huyohuyo kikwete.

Huu ujinga wa kuendekeza siasa za udin, ukabila, ukanda nk ni zao la ccm dhaifu ya kikwete, Kinana, wassira, Lukuvi

nk pamoja na ww mleta hoja ya kufikirika
.
 
sirluta

Tunakupa shule inaonekana umekulia maeneo ya posta ambako watu huingilia dishani kwenye madaladala

Huko vijinini na hata mijini msome TAWA hapo juu amekueleza vizuri kabisa,

unachokitetea si sahihi mkuu hali ni mbaya sana kwa watanzania

Je tanzania inashika nafasi ya ngapi kiuchumi duniani?

Posta wapi kapuku mkubwa huyu amejiriwa Lumumba kwa mshahara wa buku saba anajitoa ufahamu wakati wazazi wake hawajui hata leo mchana watakula nini. Mijitu kama hii iliyokulia katika umaskini wa kutupwa ni ya hovyo sana ikipata kidogo, inasahau kabisa kuwa ilipata UTAPIAMLO wakati wa utoto.
 
usinibabaishe na maswali ya takwimu. Wewe Tz ni ya ngapi Afrika kwa ukubwa?

Ulipoanzisha mada ya kuzungumzia uchimi wa Tanzania ni bora

1. ulielewa unaongelea nini au hukujuwa kama utaulizwa kwa kuzusha uwongo?

Tazama maelezo yako hapa chin sirluta,

2. kama huna takwim ulilinganisha na nini kutuposha au?

3. unaposifia kitu unalingashanisha na vingine vinavyofanana wewe ulinganisha na wapi?

Ndiyo maana ya swali Tanzania inashika nafasi ya ngapi kiuchumi duniani?

Ndugu wanaJF,
Tuweke ushabiki pembeni; Tanzania ilikuwa sawa na PORI, akajitokeza mkulima kwa jina mwl. J. K Nyerere akaunda kikosi kazi kwa jina CCM. Wakalifyeka pori, wakalisawazisha, wakachoma uchafu wote, wakatafuta MBEGU sehemu mbalimbali na kuziotesha katika lile lililokuwa pori ambalo sasa ni SHAMBA, wakapalilia, wakaweka mbolea, dawa, n.k. Wakati wa mavuno unakuja vinaibuka vikundi vingi majina tofauti na bado vinazidi kuibuka kwa lengo la kutaka mavuno ya CCM. Vikundi hivyo ni kama; CUF, CHADEMA, UKAWA, ACT, n.k.

Ufafanuzi ni kuwa serikali ya CCM imeotesha mbegu nyingi katika shamba Tanzania na bado inaendelea kuotesha.
1. Mabarabara yamejaa lami,
2. Umeme hadi kwenye Viota
3. Mashule ya kutosha
4. Mawasiliano kila kona
5. Mahospitali kila mahali
6. Miradi mingi ya maendeleo
7. Kuimarishwa kwa ulinzi na usalama
8. Pamoja na mengine ambayo sijayataja.
 
Nani anayehubiri siasa za

1. Udini rejea IGP Mahita kwa maelekezo ya ccm alitangaza hadharani kwa uzushi CUF chama cha kidin na kila mara Nape, Bulembo na the likes wanasema CDM cha kidini...............ccm ndio muasisi wa siasa pumbafu za udin

2. Ukabila na ukanda, ccm ndio muasisi wa siasa za pumbafu na za kijinga za ukabila na ukanda

3. Utekaji na mauwaji, ccm tumeona kamuhanda kauwa Mwangosi, kikwete kampandisha cheo na Andengenye kauwa Arusha kapandishwa cheo na huyohuyo kikwete.

Huu ujinga wa kuendekeza siasa za udin, ukabila, ukanda nk ni zao la ccm dhaifu ya kikwete, Kinana, wassira, Lukuvi

nk pamoja na ww mleta hoja ya kufikirika
.

huko kote uliko~bold ccm na wanaccm, bold chadema na wanachadema, na hasahasa usijitoe ufahamu kuwa chadema ni cha ukanda wa kaskazini.
 
ingekuwa inakubalika tungewapa cdm hata kipnd kimoja madaraka ya nchi waone kazi itakavyowashnda hata. Ila sasa ndo hvyo watanzania makini hatuwez kutest sumu kwa kuiramba
 
unataka kunidanganya ni kulazimisha kutokomeza lugha za asili mashuleni! Sisi wenyewe tulikuwa tunagonga kichaga miaka hiyo, lakini tulipoenda shule tukakutana na walimu na wanafunz wasiojua kichaga tukachange automatically.

Umelewa swali sirluta ? sasa naamin maelezoa ya mkuu Kimilidzo kwamba hujitambui sirluta na hata uwezo kwako nimashaka makuu katika kutetea hoja yako. Asante Kimilidzo kunifahamisha uwezo duni wa huyu anayejiita sir luta.

Hivi hapo juu ndiyo majibu ya maswali haya hapa chini?

quote_icon.png
By adolay

1. Unaelewa majukumu ya serikali ya ccm kwa wapiga kura wake?

2. Nitajie walau manne ukizingatia yaliyomo kwenye ahadi hususan ilan ya ccm?
 
Last edited by a moderator:
Ulipoanzisha mada ya kuzungumzia uchimi wa Tanzania ni bora

1. ulielewa unaongelea nini au hukujuwa kama utaulizwa kwa kuzusha uwongo?

Tazama maelezo yako hapa chin sirluta,

2. kama huna takwim ulilinganisha na nini kutuposha au?

3. unaposifia kitu unalingashanisha na vingine vinavyofanana wewe ulinganisha na wapi?

Ndiyo maana ya swali Tanzania inashika nafasi ya ngapi kiuchumi duniani?

mkuu hoja yako haina mashiko. Swali lako ni la kitakwimu na ni jipya kabisa maana mimi nililenga kuelezea ilikotoka Tanzania hadi ilipo katika nyanja za huduma za kijamii. Post yangu haijamtaja uchumi direct.
 
Back
Top Bottom