Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho

19397.jpg

Na hili gari la zima moto toka Marekani !!
 
Hizi zinafaa sana hasa kwa kelele zake zikiwa zina mgonjwa. Nategemea zitatumiwa vizuri bongo. God Bless Chadema, God Bless Tanzania
 
Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK.
Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading.
Sisi tukiahidi tunatimiza,
600
mbona rangi za hizi ambulance ni za ccm? njano na kijani...kwanini wasichore rangi ya M4C?....hongereni, peopleeeeez!
 
mbona rangi za hizi ambulance ni za ccm? njano na kijani...kwanini wasichore rangi ya M4C?....hongereni, peopleeeeez!
Jamaa ameguguli kisha akawatupia ndio waliwao hapa JF !
 
Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK.
Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading.
Sisi tukiahidi tunatimiza,
600

Hahaha kakaa kweli umewapatia sasa na yale madeni yote unayodaiwa kwa mwendo huu lazima vilaza wa CHADEMA uwashike big up Chilisosi baadae ntapita maeneo ya Picadily W1 street
 
Last edited by a moderator:
Nhnnn..if this is true regardelss of its color, they are much better than the motorcycle ambulance I saw last time from ....
 
Mashindano ya namna hii ndiyo tunayotaka. Sasa CCM UK jikusanyeni mtoe ambulance tano. Hatutaki majibu ya maneno, tutaka majibu ya vitendo.
 
Hongereni sana wazalendo wa UK. Kama walivyosema wadau hizi rangi zimekaa kimabwepande ila nadhani hili siyo tatizo. Wenzetu wa nje wanatumia hizo rangi wakiwa na maana kutonaka na kazi yenyewe ya vyombo hivi. Hata mimi huku niliko wanatumia rangi hizi hizi japo sipo UK. Ila twaweza kuona kama tunaweza kuzibadili zitakapofika bongo!

Waweza kuangalia hapa kwa maelezo zaidi Ambulance - Wikipedia, the free encyclopedia

Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK.
Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading.
Sisi tukiahidi tunatimiza,
600
 
Kazi nzuri mno CDM hongera. Wana JF malumbano kuhusu rangi za hizo ambulance kwa kiasi fulani ni ya msingi lakini i zisichuke nafasi kubwa kubeza na kutisha watu. After all rangi hizi zilikuwepo kabla ya mwandamu kuumbwa tusiwe watu wa kutawaliwa na hisia kali kiasi cha kutoona mantiki ya jambo linalojadiliwa.
 
Back
Top Bottom