Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho

photo.JPG
 
we mwenyewe babako mzazi yupo jela umemsaidiaje,tuachie chadema ye2,waambie waliokutuma cc hatudanganyiki
 
Wababaishaji wa Chadema hapa Uk wamekuja na wizi mpya kuwachangisha wanachama wao kulipia mfuko wa Mazishi waliuanzisha hapa.kikosi cha matapeli hao ambao wenyewe wamajibatiza jina la wasomi. wakati hawana mawazo mapya.shirika la pensheni la PPF limezindua huduma ya kusafirisha maiti na msindikiza popote duniani atapokufa kwa gharama ya dola mia tatu tu.

na unapewa watu wanne Nyumbani Tanzania wakiugua wanatibiwa kwa gharama hiyo na ukienda holiday unatibiwa.kwa dola hizo hizo mia tatu kwa mwaka.

Baada ya kuona hawana jipya wamekuja na wizi wa idea ya shirika la PPF na kusema nao wanachama wao changie ili wasafirishe maiti.

Tunaomba chadema muwasaidie watanzania mbali mbali waliopo jela hapa Uk,kwa kushawishiwa na baadhi ya wajanja hapa Uingereza kwenda kubeba madawa ya kulevya na kuyaleta hapa.watanzania hawa hawana wanasheria wa kuwasaidia, familia zao zinahangaika.

Mwenyekiti chris Lukosi ungehangaika na hawa walio hai kuliko kusubiri vifo ndio uwe mtaji wako wa kisiasa.
maswali magumu ni kuwa chris alikuwa close sana na wana CCM ghafla kaja chadema.
mkutano hadi sasa unanedelea wana watu 20.london ilikuwa 10 hapa 20.
sasa unalia nini hao 20 ndio waliojitolea nenda kwa nape awbebe na malori
 
Hivi mtu akifungwa kwa kuuza unga cdm ndo wanatakiwa kuwatetea? Mbona mnakuwa na hoja mfu kama chama chenu? Kwani walitumwa na kina chris? Ukiwa ccm ni mzigo mkubwa kwa jamii.
 
Mtoa mada inaonyesa elimu yako ni ya aina gani pointless kabisa.....
 
Mtoa mada inaonyesa elimu yako ni ya aina gani pointless kabisa.....

Join Date : 27th August 2012
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received:0
Likes Given:0

Amejiunga leo hajajua namna ya kupost na ni yepi yanatakiwa na ni yepi pumba tumvumilie tu ila tumshauri aendelee kujifunza asilete pumba kama hizi siku nyingine!
 
Hivi ile ID yako ya OLYMPIC 2012 umeiacha au? mie naona ni bora ujiite jina lako la ukweli tu jamaa yangu
BENARD CHISUMO.
Najua chadema wanakuumiza kichwa sana ndio maana hulali kila kukicha unapiga kelele mambo ya maendeleo yanayofanywa na wapenda demokrasia
Unaonaje ukianzisha biashara ya kuuza karanga,? inalipa sana kuliko kuimba taarab
 
Mtoa mada nadhani haufahamu utaratibu wa nchi hii ya UK. Hata kama umetenda kosa la aina gani kuna kasma ambaya serikali ya nchi hii inatoa ili uweze kupata Wakili wa kukutetea kwenye kesi ambayo unakabiliana nayo.Sasa kama unaye muuza unga yoyote unaye mfahamu na yupo Jela ni vyema ukamjulisha hii taarifa ili wapate mawakili wa kuwatetea na sio kuwaomba CDM kuwasaidia kwa utetezi.
 
Mtoa mada atakuwa amekosa maslahi fulani,ameamua kujipambanua kwa buku mbili za nape.BERNAD rudi mtwara ukalime korosho.
 
mmmh kazi kwelikweli,inasemekana vigogo wengi wa magamba mapowder ndy dili zao,leo CHADEMA ndy wakawasaidie duh!,kazi kweli kweli!

Hapa sina shaka ni MASABURI tu ndy yanafanya kazi.
 
DUh, sijaelewa ansema nini? ila kazungumzia kutete wabemba unga? kazi ipoooooo kama si mmoja wao
 
duh! Kazi ipo unandugu yako yuko jela na huna uwezo wa kumtoa, unataka chadema wakubebee msalaba. Chadema inatetea wanyonge waliofungwa na ccm kwa miaka 50 ndani ya ufukara wa kutupwa.
 
Kila kukicha kubadilisha ID, thread zile zile hazina viwango na kwa shutuma hizo hizo.
sema tukuchumbie kama hujapata mtu!
 
Join Date : 27th August 2012
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received:0
Likes Given:0

Amejiunga leo hajajua namna ya kupost na ni yepi yanatakiwa na ni yepi pumba tumvumilie tu ila tumshauri aendelee kujifunza asilete pumba kama hizi siku nyingine!

Bora mkuu wangu umegundua maana hamna lolote alilosema la maana.....pumba tu na sio lazima kila mtu apost.
 
......[/QUOTE]

Mkuu hii ni kweli lakini kama illegal migrant Waingereza hawatakubali kodi yao itumike kumsaidia mtu ambaye hana kibali cha kuishi Uingereza. Labda ubalozi wa Tanzania ndo wawasaidie kama wana jeuri.
 
Opportunist at work! Jamaa baada ya kunyimwa tenda ya ukaguzi wa magari kahamia Chadema na kujifanya mkereketwa watu wengine kweli hawajielewi!
Chama
Gongo la mboto DSM
Kama wewe pia uko kwenye mtandao wa hao wauza unga au wabebaji wa unga usitegemee Chadema wakakupa msaada au mtu yeyote yule muungwana atakupa msaada labda awe mshiriki wako
 
Wababaishaji wa Chadema hapa Uk wamekuja na wizi mpya kuwachangisha wanachama wao kulipia mfuko wa Mazishi waliuanzisha hapa.kikosi cha matapeli hao ambao wenyewe wamajibatiza jina la wasomi. wakati hawana mawazo mapya.shirika la pensheni la PPF limezindua huduma ya kusafirisha maiti na msindikiza popote duniani atapokufa kwa gharama ya dola mia tatu tu.

na unapewa watu wanne Nyumbani Tanzania wakiugua wanatibiwa kwa gharama hiyo na ukienda holiday unatibiwa.kwa dola hizo hizo mia tatu kwa mwaka.

Baada ya kuona hawana jipya wamekuja na wizi wa idea ya shirika la PPF na kusema nao wanachama wao changie ili wasafirishe maiti.

Tunaomba chadema muwasaidie watanzania mbali mbali waliopo jela hapa Uk,kwa kushawishiwa na baadhi ya wajanja hapa Uingereza kwenda kubeba madawa ya kulevya na kuyaleta hapa.watanzania hawa hawana wanasheria wa kuwasaidia, familia zao zinahangaika.

Mwenyekiti chris Lukosi ungehangaika na hawa walio hai kuliko kusubiri vifo ndio uwe mtaji wako wa kisiasa.
maswali magumu ni kuwa chris alikuwa close sana na wana CCM ghafla kaja chadema.
mkutano hadi sasa unanedelea wana watu 20.london ilikuwa 10 hapa 20.

Sio kila mtu kaisha jiunga na HIYO YA PPF hadi USA - sasa Utalaumu CHADEMA? Juzi kuna Mmoja ilibidi achangiwe

Hakuwa amejiunga, Sasa utawalaumu CHADEMA? CCM - LONDON inapewa PESA toka Makao Makuu Dar kwanini isiwape

Dola 300 hao watanzania wasionazo LONDON? hizo ni PESA za Contract za MADINI; GAS; na ni Za Watanzania WOTE sio

Wa CCM TU... Na Unajua fika kaka CHADEMA ikichukua NCHI wengi watalala RUMANDE kwa WIZI wa pesa za Wananchi na

kupeana... jichunge kama unajipenda...
 
Aiseeee babaangu mtoa mada unanichefua ngoja nitoke humu kabla mbege yangu ijakata kichwani
 
Back
Top Bottom