Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho

Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK.
Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading.
Sisi tukiahidi tunatimiza,
600

Chris haya ndio matatizo ya kukurupuka.lema sio mbunge wa Chadema kwanini usimpe John Mnyika hizi habari za danganya toto tuoneshe Document kama gari hizi za chadema? wewe ni misheni Town na LEMA misheni town.unakumbuka kauli ya Afande Zombe akimuelezea Lema? WAULIZE WATU wa Arusha.LEMA ni sawa na papa Msofe.
sidhani kama utaweza kufanya kazi na watu makini kama Mnyika,Mbowe,Zitto.
kikao gani cha Chadema kilipitisha ombi la lema? ni deal zenu binafsi.

na ule ujanja wenu wa kuwachangisha watu kwa ajili ya maiti.hamuwezi kumuibia mtu.kama una uwezo mtafutie kazi professional lusingu.anadai ana PhD anabeba maboksi hapa Reading.alitimuliwa Sainsbury.Hapa Reading ziko kazi mbili ya kwanza Care na ya pili kubeba maboksi magodown.Lusingu anabeba maboksi.mtafutie kazi kwanza.
 
Asanteni sana wana CDM UK. Kuna vilazaccm vilikuja hapa jamvini kumtukana Lema kuwa ameingia mkengenge na hakuna wanachama UK. Kesho ni siku yao ya kuumbuka na gamba lao linalowakaukia huku likiwanguza kama moto.
Nepi amehaha kuifuata CDM ila sasa naona makamanda wamemzidi nguvu kabisa. Sii UK, Sii Ujerumani, sii China, sii US nepi haoni ndani. CCM ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! CDM HOYEEEEEEEE! Ndoto ya watanzania ya kujikomboa haiko mbali.
 
Bado wajinga wanasema mwenyekiti wa chadema uk hajasoma. Sisi tunataka utendaji wala si shule. Mwenyekiti wa CCM Uk yule jaluo pamoja na shule yake kafanya nini cha maana mpaka sasa?. Chadema mwendo mdundo.
 
Chris haya ndio matatizo ya kukurupuka.lema sio mbunge wa Chadema kwanini usimpe John Mnyika hizi habari za danganya toto tuoneshe Document kama gari hizi za chadema? wewe ni misheni Town na LEMA misheni town.unakumbuka kauli ya Afande Zombe akimuelezea Lema? WAULIZE WATU wa Arusha.LEMA ni sawa na papa Msofe.
sidhani kama utaweza kufanya kazi na watu makini kama Mnyika,Mbowe,Zitto.
kikao gani cha Chadema kilipitisha ombi la lema? ni deal zenu binafsi.

na ule ujanja wenu wa kuwachangisha watu kwa ajili ya maiti.hamuwezi kumuibia mtu.kama una uwezo mtafutie kazi professional lusingu.anadai ana PhD anabeba maboksi hapa Reading.alitimuliwa Sainsbury.Hapa Reading ziko kazi mbili ya kwanza Care na ya pili kubeba maboksi magodown.Lusingu anabeba maboksi.mtafutie kazi kwanza.

Vyovyote utakavyosema apewe Lema apewe mnyika watakaotumia ni watz tofauti ni kuwa itakuwa Arusha na sio Dar nzuri zaidi hata CCM mtabebwa na ambulance hizi unatakiwa utoe pongezi CCM washindane na hawa walionyesha mfano
 
Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK.
Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading.
Sisi tukiahidi tunatimiza,
600

Mbona ambulance za Kijani? Zibadilishwe rangi, hakuna ambulance ya rangi hizo!
 
Mkuu ambulance za uk Ndio rangi yake, zikifika bongo zitabadilishwa rangi

Ziwe Used(Kuukuu) wasije kujenga Jina kwa Kutuletea MIKWECHE!
Zikiwa Mpya Mkweche nitaomba kwa ajili ya Hospitali nayofanyia kazi!Ambulance yetu ni Mkweche!napenda mpya na si Makapi ya UK!
Mwalukosi,Tusahau Iringa kwetu!
 
Hiyo Rangi lazima iondolewe kwasababu hata mgonjwa anaweza akazidiwa zaidi kwa kufikiri anapelekwa ile misitu yao ya mateso ya mabwepande

Nimependa hii comment yako. Kwa wale ambao tuko mrengo usio wa kijani na njano tunaweza tukafa kabisa au tukaamua kutembea kwa mguu huku tumeshikilia drip na mkono kulikoni kupanda ambulance yenye hizo rangi.
 
Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK.
Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading.
Sisi tukiahidi tunatimiza,
600

Magamba zao bajaji hawana ubavu wa kununua Ambulance kama hizi
 
Msiofu kuhusu rangi kuna kamanda wetu yupo ungaltd Arusha anaitwa BANDA,huyu jamaa ni nouma kwenye Rangi hata Sharma achungulii! waliopo Arachuga ni mashaidi, atazipiga rangi kama zimetoka nazo nje
 
Chris haya ndio matatizo ya kukurupuka.lema sio mbunge wa Chadema kwanini usimpe John Mnyika hizi habari za danganya toto tuoneshe Document kama gari hizi za chadema? wewe ni misheni Town na LEMA misheni town.unakumbuka kauli ya Afande Zombe akimuelezea Lema? WAULIZE WATU wa Arusha.LEMA ni sawa na papa Msofe.
sidhani kama utaweza kufanya kazi na watu makini kama Mnyika,Mbowe,Zitto.
kikao gani cha Chadema kilipitisha ombi la lema? ni deal zenu binafsi.

na ule ujanja wenu wa kuwachangisha watu kwa ajili ya maiti.hamuwezi kumuibia mtu.kama una uwezo mtafutie kazi professional lusingu.anadai ana PhD anabeba maboksi hapa Reading.alitimuliwa Sainsbury.Hapa Reading ziko kazi mbili ya kwanza Care na ya pili kubeba maboksi magodown.Lusingu anabeba maboksi.mtafutie kazi kwanza.

Huna point yoyote hapa,matatizo yako binafsi yasiingilia taasisi,tuachie tunaohitaji shughuli za makamanda tusonge mbele.ZOMBE NA PAPA MSOFE WANAAKILI ZA MAITI KAMA WEWE.TUNATANGULIA MTATUKUTA MBELE YA SAFARI.
 
Wababaishaji wa Chadema hapa Uk wamekuja na wizi mpya kuwachangisha wanachama wao kulipia mfuko wa Mazishi waliuanzisha hapa.kikosi cha matapeli hao ambao wenyewe wamajibatiza jina la wasomi. wakati hawana mawazo mapya.shirika la pensheni la PPF limezindua huduma ya kusafirisha maiti na msindikiza popote duniani atapokufa kwa gharama ya dola mia tatu tu.

na unapewa watu wanne Nyumbani Tanzania wakiugua wanatibiwa kwa gharama hiyo na ukienda holiday unatibiwa.kwa dola hizo hizo mia tatu kwa mwaka.

Baada ya kuona hawana jipya wamekuja na wizi wa idea ya shirika la PPF na kusema nao wanachama wao changie ili wasafirishe maiti.

Tunaomba chadema muwasaidie watanzania mbali mbali waliopo jela hapa Uk,kwa kushawishiwa na baadhi ya wajanja hapa Uingereza kwenda kubeba madawa ya kulevya na kuyaleta hapa.watanzania hawa hawana wanasheria wa kuwasaidia, familia zao zinahangaika.

Mwenyekiti chris Lukosi ungehangaika na hawa walio hai kuliko kusubiri vifo ndio uwe mtaji wako wa kisiasa.
maswali magumu ni kuwa chris alikuwa close sana na wana CCM ghafla kaja chadema.
mkutano hadi sasa unanedelea wana watu 20.london ilikuwa 10 hapa 20.
 
Naomba hizi ambulance zipelekwe ile mikoa ambayo haina mwamko wa kisiasa kama Mtwara na Rukwa
 
kaka wewe ni CUF Au CCM? mbona mapovu yanakutoka namna hii? wewe baada ya kupongeza juhudi za mabadiliko wewe ni kelele mara 10 ooh 20, Na kwa kuwa umepelekwa huko na magamba basi unaona kama ulaji unaondoka... kazi kweli kweli
 
sasa kwa nini miaka yote hiyo wewe CCM hukuanzisha?Na kama alikua CCM huoni kama utapeli mlianza fanya wote mkiwa CCM?Vinginevyo naona tu mmeshikwa makende then mnaanza kutapatapa kama kuku wa mdondo.
 
Chadema ihangaike na wauza unga, kwanini? Iko wapi wizara ya mmbo ya nje? Uko wapi ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza?
Serikali dhaifu itimize wajibu wa kuwahudumia watu wake
 
Kutoa msaada kama huu ni jambo jema lakini gharama za uendeshaji wake especially spare za mercedes benz ni pasua kichwa.
 
Back
Top Bottom