K A B U R U
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 922
- 1,257
Ndg zangu waislam, islam nduguye islam chadema ni adui mkubwa wa islam tanzania kumbuka walivyo mtendea dada yetu kule igunga walimnyanyasa sana walimfedhehesha sana lakini hawakuomba msamaha hivyo nakuombeni wewe uliye mwislam adui ya mwislam ni adui ya waislam wote.
Hata mimi bado naamini kwamba CUF ni cha waislam maana mpaka sasa hawajatuambia kilichomfukuzisha uongozi na uanachama bwana Mapalala, Lwakatare sijaona wa dini nyingine wakiondolewa uanachama bila kutolewa sababu kwa umma. Nitaamini vinginevyo kama CUF watakuwa wawazi kuhusu haya, lakini pia ndo chama cha kwanza kupigiwa debe katika nyumba za ibada hasa misikitini mfumo wa vyama vingi ulipoanza nchini bila kukemewa na viongozi wa chama husika sasa kwa nini tusiamini ni chama kwa ajili ya waislam na wa dini nyingine waliopo huko ni wasindikizaji?
Wewe utashi wako uko vipi katika hili?
Nimewakejeli waislam wapi? Mkuu hizo ni propaganda mnazotumia nyinyi CCM nafikiri umeona ofisi zenu zinavyochomwa huko kusini lakini za CUF na CHADEMA hazijaguswa watu wameshawashtukia
Aliyeandika hapa huu upuuzi ni nani kama sio wewe!? Acha kukejeli dini za watu kwa maslahi yenu ya kisiasa, tena jiangalieni kwani hatutawavumilia tena kwa kauli zenu watu kama wewe Ritz, wewe kaa na dini yako tuache na dini yetu, uccm wako usiutumie kukashifu dini za watu, wananchi tumeshawajua kuwa mlikuja kwa gia ya kujifanya marafiki zetu katika dini na mkatutangazia uadui na vyama vingine, mmeingia madarakani tumewagundua ninyi ndo maadui wetu wakubwa na mlitutumia kama daraja la kuvukia uchaguzi wa 2010 leo yote mliyotuahidi hakuna zaidi ya vipigo, manyanyaso, kuwekwa selo n.k. hatudanganywi tena kwa sera zenu hzo, TUMESHAJUA MBIVU NA MBICHI. UAMUZI NI WETU. TUMESHAWAFAHAMU MARAFIKI NA MADUI ZETU. UAMUZI NI WETU
Mimi nadhani tuingalie zaidi CCM na uhusiano wake na waislam hasa tukianzia TANU ilivyoanzishwa, viongozi wake, na wanachama wake alafu tuangalie ilivyobadilishwa kutoka TANU mpaka kuwa CCM na uongozi wa CCM ilipoanzishwa mpaka sasa, majibu yote utayapata hapo ndani ya TANU mpaka kuzaliwa kwa CCM. Someni HISTORIA kwa makini.
Kim Kardash
Tulipoanzisha mfumo wa vyama vingi, tulikubaliana mambo ya msingi ya kuzingatiwa na vyama vyote, mojawapo ni kuwa na wanachama pande zote za muungano. Lakini la muhimu ni kutokuwa au kuonyesha ubaguzi wa kidini, jinsia au ukabila. Haya yalitakiwa kuzingatiwa na hata katiba za vyama. Msajili wa vyama hasingeweza kukisajili Chama kinachoonyesha muelekeo wa udini na ni sababu tosha kukifuta.
Kwa maoni yangu pia ingekuwa marufuku kwa mtu au taasisi yoyote kuipaka metope taasisi ingine na hasa vyama vya siasa kwamba kina mlengo wa ubaguzi bila kuthibitisha. Nafikiri ni udhaifu wa msajili wa vyama vya siasa kuruhusu vyama kutumia kete hii kuchafuana wakati akijua kuwa hii inathibitisha alivyo dhaifu.
gud gud guuud! asante kwa uchambuzi mzuriKwa mtazamo wangu
Waislamu waumini wa kawaida wala hawana tatizo na Chadema na Chadema
haina tatizo na waislamu, wakristo au dini yoyote ile. Tatizo ni wale
vocal muslims, akina Sheikh Ponda na wenzake wa Annuur na Radio Iman.
Hawa wangependa chama cha siasa kitangaze from day one kwamba chama
kitafanya hivi kitafanya vile kwa manufaa ya waislam ndipo wakiunge
chama mkono. Sasa kwa chama cha siasa ni makosa makubwa kupandikiza
mbegu za udini kwa namna hiyo.
Waislam yapaswa wakiunge mkono Chadema si kwa vile wao ni waislam, bali
kwa kuwa ni Watanzania kwanza. Wakristo yapaswa wakiunge mkono Chadema
si kwa vile wao ni wakristo, bali kwa kuwa ni watanzania kwanza.
Chadema wanalijua hilo na ndio maana namna zao za kujenga mahusiano na
makundi mbalimbali zinawabeba wote kama watanzania. Kama wadini
hawaitaki Chadema, basi ni tatizo la wadini. Si la Chama.
Wewe na kundi lako ndiyo mnawachafua Chadema kwa kuwakejeli Waislam.
Kwa nn iwe ni jambo la ajabu kwa Rufiji kuwa na diwani wa Chadema? Kwa vile ni waislamu wengi? Then, ni kwa nini iwe ni Jambo la kustaajabisha kwa Zitto Kabwe kuwa Muislamu? Kauli za hovyo kama hizo ndio zinaongeza kuwaaminisha waislamu kuwa kumbe muislamu kupata nyadhifa chadema ni Jambo la kushangaza na kustaajabisha ila kwa wengine ni jambo la kawaida kwa vile ni chama chao sio ndio? shame on you!
Je wale mapadre wa Sumbawanga waliokuwa wakifukuza waumini wanaoishabikia CCM ni maajenti wa CCM? Mbona Chadema haikutoa tamko kukanusha hilo. Huku kwetu Musoma kila Jumapili ukienda Kanisani Padre anahamasisha tuchague Chadema na Dr Silaa. Hata pale Dodoma kuna kanisa moja Padre alikuwa kabla ya Misa anahubiri siasa waumini wa kweli wasimpigie kura Kikwete wampigie Silaa na Chadema. Na ukitazama ukweli unajidhihirisha sehemu zenye Wakatoliki wengi ndiyo Chadema ilikopata ushindi. Hili linatupa wasiwasi sisi wapiga kura.
[Hakuna kitu kama hicho cha mgogoro kati ya chadema na uislamu ]
mkuu wewe upo maeneo yawapi? watu wana ichukia ccm lakini hawakotayari kuiunga mkono cdm kwasabubu tu ya udini. hili alihitaji uchunguzi kuliona.
Mkuu hapo kwenye blue, hayo yakitendeka tutaishi kwa amani na umoja wetu utatukuka kama hapo awali tulijukana kama Ndugu Rajabu, Ndugu Edward, Ndugu Mwanaisha, Ndugu joyce nk.
Anayetoa tamko ovu lolote bila kuthibitisha, alipaswa kuchukuliwa hatua kali, lakini hili haliwezekani kwa sababu ndiyo mtaji wa serikali iliyoka madarakani kupitia ukimya wa msajiri.