Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
Hakuna ukweli hapo, ni majungu tu. Kama yeye bado ni mwanaChadema, kwanini asipeleke malalamiko yake panapohusika? Humu hawezi kupata majibu, aende ofisini atapata majibu.
yaani unaua posts zote za social media zenye madai fulani
tukapange foleni kwa ofisini za tunaowalalamikia
umeamkia baa?