Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,343
Hilo na maumivi yake wanajua wenyewe CDM, tulio nje ya CDM tunaumizwa na UDIKITETA wa CHAMADOLA. Hapo CDM watakapo shika nchi kama watajaliwa tuta dili nao kama wataleta za kuleta,lakini kwa sasa ni huyo mjomba ndiye anaetuathiri. Waswahili husema pilipili usio ila inakuwashia nini? Kwa sasa tunalishwa pilipili ya CCM na baba yule.
Hi out there..!!
Boriti zingine bana shida kweli, nauliza hivi lini CHADEMA wataamka na kujua hawana Demokrasia kama jina la Chama chao kinavyoitwa..?
Kuongea mna Demokrasia ni jambo moja na kuitekeleza ni jambo lingine kabisa.. Lini Mbowe ataachia uenyekiti wa CHADEMA na wengine wagombee..? Huu si udikteta kabisa? Yaani yeye tu ndio anafaa miaka yoote? Vyama vingine bana, sijui wafuasi wake viziwi na vipofu... Hii SACCOS nadhani haaa..!!
Anyway nauliza tu, jibu linatakiwa..!!