king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,039
Wanatangaza demokrasia huku wameficha mapanga. Ibada njema huanzia nyumbani. CHADEMA chama cha walanguzi
kwani nawe ni mwanachama kijana kama ni mwanachama ilibidi upeleke hii hoja ktk vikao vyenu vya chama.la sivyo huu ni ukosefu wa nidhamu.Tutakuona kama mchochezi au unatumiwaVikao vikuu vya Kikatiba vya CHADEMA 2016 viliazimia kuwa Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa ufanyike mwaka huu 2018 ili kutoa fursa kwa Chama kujiandaa na chaguzi za Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 ila mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya jambo hili kufanyika.
Azimio kama hili lilifanyika mwaka 2006 kuwa uchaguzi ufanyike 2008 ukafanyika 2009 na likarudiwa tena mwaka 2011 kuwa uchaguzi ufanyike 2013 lakini ukafanyika 2014.
Jambo ambalo ni wazi ni kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe amekuwa akitumia mbinu hii ya kutangaza tarehe ya mapema ili ya uchaguzi ili kutambua wapinzani wake, na mara akishawatambua huahirisha uchaguzi kwa mwaka mmoja kwa madai kuwa maandalizi hayakamilika na kuwa muda wake kikatiba haujaisha.
Katika muda huu wa nyongeza ndio huutumia kushughulika na timu pinzani hadi anaimaliza yote. Haya ndio yalimkuta Chacha Wangwe na Zitto Kabwe wakati huo kwa nyakati tofauti.
Ni vema sasa Taifa na Wana CHADEMA wakajulishwa ratiba kamili ya Uchaguzi wa CHADEMA na pia ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe kulitangazia Taifa kama anagombea tena ama la ili kufungua mjadala wa kitaifa ikiwa ni pamoja kuandaa mrithi wake.
Wewe unajua ni lini?Wewe kama hujui, pita kimyaa
Aisee achana na sisi wewe kibaraka,uchaguzi huo unakuhusu nini wewe?Vikao vikuu vya Kikatiba vya CHADEMA 2016 viliazimia kuwa Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa ufanyike mwaka huu 2018 ili kutoa fursa kwa Chama kujiandaa na chaguzi za Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 ila mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya jambo hili kufanyika.
Azimio kama hili lilifanyika mwaka 2006 kuwa uchaguzi ufanyike 2008 ukafanyika 2009 na likarudiwa tena mwaka 2011 kuwa uchaguzi ufanyike 2013 lakini ukafanyika 2014.
Jambo ambalo ni wazi ni kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe amekuwa akitumia mbinu hii ya kutangaza tarehe ya mapema ili ya uchaguzi ili kutambua wapinzani wake, na mara akishawatambua huahirisha uchaguzi kwa mwaka mmoja kwa madai kuwa maandalizi hayakamilika na kuwa muda wake kikatiba haujaisha.
Katika muda huu wa nyongeza ndio huutumia kushughulika na timu pinzani hadi anaimaliza yote. Haya ndio yalimkuta Chacha Wangwe na Zitto Kabwe wakati huo kwa nyakati tofauti.
Ni vema sasa Taifa na Wana CHADEMA wakajulishwa ratiba kamili ya Uchaguzi wa CHADEMA na pia ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe kulitangazia Taifa kama anagombea tena ama la ili kufungua mjadala wa kitaifa ikiwa ni pamoja kuandaa mrithi wake.
Na trilioni 1.5 ziko wapi?Mbona jamaa kauliza swali zuri sana mkuu,au ngoja nikurahisishie uchaguzi wa chadema ni lini?
Mawazo mgandoKifupi tuwanafiki, si kweli mbowe analaumiwa kwa kutoachia kiti Bali ni threat kwa wanaomuogopa
Usimfananishe Baba wa Taifa na vitu vya kijinga.Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti kwa miaka mangapi vile?
Utaratibu wa CCM sio wa CHADEMA
ameshajaribiwa kuuawa mara kadhaa bila mafanikio , Mbowe ni jabali .Halafu nyie CCM mbona mnamuogopa sana Mbowe?
Sure huwezi kuwa kila chama upinzani ni kibaya halafu watu wakuamini eti unahali demokrasia. Mbowe is threat kwa sababu hata wewe hapo huna uwezo Wa kuongoza chama. Kama unao anzisha tukuone.Mawazo mgando
Sure huwezi kuwa kila chama upinzani ni kibaya halafu watu wakuamini eti unajali demokrasia. Mbowe is threat ni kiongozi shupavu kapimwa. Naamini hata wewe hapo huna uwezo Wa kuongoza chama na hakuna mtu anaweza hata kukurithisha, Kama unao anzisha tukuone. Kwa unavyolalamikia cdm kila siku as if ni hewa, ndio umgando wenyewe.Mawazo mgando
Labda fedha za uchaguzi watapata baada ya kumaliza kulipa madeniVikao vikuu vya Kikatiba vya CHADEMA 2016 viliazimia kuwa Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa ufanyike mwaka huu 2018 ili kutoa fursa kwa Chama kujiandaa na chaguzi za Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 ila mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya jambo hili kufanyika.