CHADEMA: Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa lini?

Vikao vikuu vya Kikatiba vya CHADEMA 2016 viliazimia kuwa Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa ufanyike mwaka huu 2018 ili kutoa fursa kwa Chama kujiandaa na chaguzi za Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 ila mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya jambo hili kufanyika.

Azimio kama hili lilifanyika mwaka 2006 kuwa uchaguzi ufanyike 2008 ukafanyika 2009 na likarudiwa tena mwaka 2011 kuwa uchaguzi ufanyike 2013 lakini ukafanyika 2014.

Jambo ambalo ni wazi ni kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe amekuwa akitumia mbinu hii ya kutangaza tarehe ya mapema ili ya uchaguzi ili kutambua wapinzani wake, na mara akishawatambua huahirisha uchaguzi kwa mwaka mmoja kwa madai kuwa maandalizi hayakamilika na kuwa muda wake kikatiba haujaisha.

Katika muda huu wa nyongeza ndio huutumia kushughulika na timu pinzani hadi anaimaliza yote. Haya ndio yalimkuta Chacha Wangwe na Zitto Kabwe wakati huo kwa nyakati tofauti.

Ni vema sasa Taifa na Wana CHADEMA wakajulishwa ratiba kamili ya Uchaguzi wa CHADEMA na pia ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe kulitangazia Taifa kama anagombea tena ama la ili kufungua mjadala wa kitaifa ikiwa ni pamoja kuandaa mrithi wake.

Hapo ndipo tunahitaji kuna demokrasia ikifuata mkondo
 
Mpaka yesu aludi maana anafaa kuwa kiongozi,jasiri ayumbi kwa msimamo hanunuliki safi sana mbowe adumu mbowe idumu chadema
 
Vikao vikuu vya Kikatiba vya CHADEMA 2016 viliazimia kuwa Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa ufanyike mwaka huu 2018 ili kutoa fursa kwa Chama kujiandaa na chaguzi za Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 ila mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya jambo hili kufanyika.

Azimio kama hili lilifanyika mwaka 2006 kuwa uchaguzi ufanyike 2008 ukafanyika 2009 na likarudiwa tena mwaka 2011 kuwa uchaguzi ufanyike 2013 lakini ukafanyika 2014.

Jambo ambalo ni wazi ni kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe amekuwa akitumia mbinu hii ya kutangaza tarehe ya mapema ili ya uchaguzi ili kutambua wapinzani wake, na mara akishawatambua huahirisha uchaguzi kwa mwaka mmoja kwa madai kuwa maandalizi hayakamilika na kuwa muda wake kikatiba haujaisha.

Katika muda huu wa nyongeza ndio huutumia kushughulika na timu pinzani hadi anaimaliza yote. Haya ndio yalimkuta Chacha Wangwe na Zitto Kabwe wakati huo kwa nyakati tofauti.

Ni vema sasa Taifa na Wana CHADEMA wakajulishwa ratiba kamili ya Uchaguzi wa CHADEMA na pia ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe kulitangazia Taifa kama anagombea tena ama la ili kufungua mjadala wa kitaifa ikiwa ni pamoja kuandaa mrithi wake.
Benson, hapa hawaji, umewavua nguo ,Wanapitia kuleeee! [emoji3][emoji3][emoji3],
 
Koma kuulizia habar za Cdm? Na hali ilivyo ngumu huko Lumumba dadadeki sijui mlikuwà mnamuimbia nañi ataisoma nyambaaf! Umeona utoke Lumumba na kuja kushusha stress zako ufipa! CCM ina wenyewe na wewe haupo hata kwenye reserve, rudi kijijini ukalime magimbi nyambaaf!
 
Vikao vikuu vya Kikatiba vya CHADEMA 2016 viliazimia kuwa Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa ufanyike mwaka huu 2018 ili kutoa fursa kwa Chama kujiandaa na chaguzi za Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 ila mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya jambo hili kufanyika.

Azimio kama hili lilifanyika mwaka 2006 kuwa uchaguzi ufanyike 2008 ukafanyika 2009 na likarudiwa tena mwaka 2011 kuwa uchaguzi ufanyike 2013 lakini ukafanyika 2014.

Jambo ambalo ni wazi ni kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe amekuwa akitumia mbinu hii ya kutangaza tarehe ya mapema ili ya uchaguzi ili kutambua wapinzani wake, na mara akishawatambua huahirisha uchaguzi kwa mwaka mmoja kwa madai kuwa maandalizi hayakamilika na kuwa muda wake kikatiba haujaisha.

Katika muda huu wa nyongeza ndio huutumia kushughulika na timu pinzani hadi anaimaliza yote. Haya ndio yalimkuta Chacha Wangwe na Zitto Kabwe wakati huo kwa nyakati tofauti.

Ni vema sasa Taifa na Wana CHADEMA wakajulishwa ratiba kamili ya Uchaguzi wa CHADEMA na pia ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe kulitangazia Taifa kama anagombea tena ama la ili kufungua mjadala wa kitaifa ikiwa ni pamoja kuandaa mrithi wake.

Mbona snitch sana?..Si umeondoka Chadema,mbona bado inakuwashawasha kila siku?

Kama CCM ulikohamia ni pazuri sana,mbona bado CDM inakuwasha matako sana?

Useless being!
 
Vikao vikuu vya Kikatiba vya CHADEMA 2016 viliazimia kuwa Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa ufanyike mwaka huu 2018 ili kutoa fursa kwa Chama kujiandaa na chaguzi za Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 ila mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya jambo hili kufanyika.

Azimio kama hili lilifanyika mwaka 2006 kuwa uchaguzi ufanyike 2008 ukafanyika 2009 na likarudiwa tena mwaka 2011 kuwa uchaguzi ufanyike 2013 lakini ukafanyika 2014.

Jambo ambalo ni wazi ni kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe amekuwa akitumia mbinu hii ya kutangaza tarehe ya mapema ili ya uchaguzi ili kutambua wapinzani wake, na mara akishawatambua huahirisha uchaguzi kwa mwaka mmoja kwa madai kuwa maandalizi hayakamilika na kuwa muda wake kikatiba haujaisha.

Katika muda huu wa nyongeza ndio huutumia kushughulika na timu pinzani hadi anaimaliza yote. Haya ndio yalimkuta Chacha Wangwe na Zitto Kabwe wakati huo kwa nyakati tofauti.

Ni vema sasa Taifa na Wana CHADEMA wakajulishwa ratiba kamili ya Uchaguzi wa CHADEMA na pia ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe kulitangazia Taifa kama anagombea tena ama la ili kufungua mjadala wa kitaifa ikiwa ni pamoja kuandaa mrithi wake.
Umesahau kuweka namba ya simu mkuu unaweza ukapigiwa simu na wakolomije na chakubanga uteuliwe si unajua kuna nafasi zipo wazi za mamlaka ya juu,cha msingi endelea kuanzisha nyuzi kama hizi ila usisahau tena kuweka namba za simu.
 
huyu kilichompata chadema hawezi kukisahau , alistukiwa kirahisi sana ! mpaka leo anaona aibu hata kukanyaga kwenye tawi lolote la chadema.

Na tunasubiri aje akione cha moto , hakuna kucheka na wasaliti kudadeki !
Uchaguzi lini?
 
Umesema uchaguzi umepangwa kufanyika mwaka huu,mbona hata nusu ya mwaka haijafika umeanza kulalama?
Tulia,muda ukifika utajulishwa.
 
Vikao vikuu vya Kikatiba vya CHADEMA 2016 viliazimia kuwa Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa ufanyike mwaka huu 2018 ili kutoa fursa kwa Chama kujiandaa na chaguzi za Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 ila mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya jambo hili kufanyika.

Azimio kama hili lilifanyika mwaka 2006 kuwa uchaguzi ufanyike 2008 ukafanyika 2009 na likarudiwa tena mwaka 2011 kuwa uchaguzi ufanyike 2013 lakini ukafanyika 2014.

Jambo ambalo ni wazi ni kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe amekuwa akitumia mbinu hii ya kutangaza tarehe ya mapema ili ya uchaguzi ili kutambua wapinzani wake, na mara akishawatambua huahirisha uchaguzi kwa mwaka mmoja kwa madai kuwa maandalizi hayakamilika na kuwa muda wake kikatiba haujaisha.

Katika muda huu wa nyongeza ndio huutumia kushughulika na timu pinzani hadi anaimaliza yote. Haya ndio yalimkuta Chacha Wangwe na Zitto Kabwe wakati huo kwa nyakati tofauti.

Ni vema sasa Taifa na Wana CHADEMA wakajulishwa ratiba kamili ya Uchaguzi wa CHADEMA na pia ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe kulitangazia Taifa kama anagombea tena ama la ili kufungua mjadala wa kitaifa ikiwa ni pamoja kuandaa mrithi wake.
Mpka jiwe arudishe 2.6 trillion zetu,fisadi nyangumi wa lumumba
 
Uchaguzi ni kesho KARIBU
Unakaribishwa
Una lingine??
 
Hi out there..!!

Boriti zingine bana shida kweli, nauliza hivi lini CHADEMA wataamka na kujua hawana Demokrasia kama jina la Chama chao kinavyoitwa..?

Kuongea mna Demokrasia ni jambo moja na kuitekeleza ni jambo lingine kabisa.. Lini Mbowe ataachia uenyekiti wa CHADEMA na wengine wagombee..? Huu si udikteta kabisa? Yaani yeye tu ndio anafaa miaka yoote? Vyama vingine bana, sijui wafuasi wake viziwi na vipofu... Hii SACCOS nadhani haaa..!!

Anyway nauliza tu, jibu linatakiwa..!!
 
Pambana na hali yako mnataka atoke ili muweke vibaraka wenu chama kife sio

Mwenyekiti wangu mbowe kamatia hapo hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katiba ya cdm inasemaje kwani?
Usije ukawa unaongea km zuzu bila kujua katiba inasemaje, hakuna chama cha siasa kina ukomo wa kugombea hata ccm kinachofanyika ni kuachiana sababu wanaamini raisi lazima awe m/kiti wa chama.
Kila ikifika uchaguzi huyo mbowe anachaguliwa kwahiyo sioni tatizo hapo.
Ungejiuliza pia kwann ccm mpk Leo IPO madarakani? Huo ni udikteta pia toka 77 mpk Leo waachie vyama vingine chenyewe kistaafu.
 
Mwenyekiti akiumwa Chama kinaumwa...

Hakuna mwenye uthubutu wa kuuliza wala kugombea...

Bilioni 7 zimepotea Hakuna anayeuliza...
 
Back
Top Bottom