CHADEMA: Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa lini?

CHADEMA: Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa lini?

Hi out there..!!

Boriti zingine bana shida kweli, nauliza hivi lini CHADEMA wataamka na kujua hawana Demokrasia kama jina la Chama chao kinavyoitwa..?

Kuongea mna Demokrasia ni jambo moja na kuitekeleza ni jambo lingine kabisa.. Lini Mbowe ataachia uenyekiti wa CHADEMA na wengine wagombee..? Huu si udikteta kabisa? Yaani yeye tu ndio anafaa miaka yoote? Vyama vingine bana, sijui wafuasi wake viziwi na vipofu... Hii SACCOS nadhani haaa..!!

Anyway nauliza tu, jibu linatakiwa..!!

why not lipumba, why not mrema, ww unamuona mbowe tu
 
Mwisho wa siki wataanza kulalamika kwamba alikuwa kibaraka, baada ya Chadema kufariki rasmi.
 
Tuntume Da Mange aitishe Maandamano ya Makarai tumchomoe Ayatollah Mbowe
 
huyu kilichompata chadema hawezi kukisahau , alistukiwa kirahisi sana ! mpaka leo anaona aibu hata kukanyaga kwenye tawi lolote la chadema.

Na tunasubiri aje akione cha moto , hakuna kucheka na wasaliti kudadeki !
Wewe jidanganye hivyo hivyo. Usaliti ni dhana pana huenda wewe ndio msaliti ila hujajijua.
 
Wakati wakipigania democracy ya nchi basi tuonesheni na kwenu IPO democracy hiyohiyo

Kama hamna democracy ya kuongea na kuchagua cdm hawana uhalali wa kupigania hiyo democracy wanayosema haipo hapa nchini
 
Kwa atakayegombea uwenyekiti akija na hoja ya kujenga ofisi ya chama, kulipa watendaji wa chini wa chama na mambo ya aina hii atapata kura mingi. Akiulizwa fedha atatoa wapi? Aseme katika fungu la uji wa mgonjwa. Kenya kuna wajaluo wengi na uji ni moja ya vyakula vyao pendwa.

Ubeligiji imekuwa ngumu kwendwa kudoea uji wa mgonjwa bajeti imebana.
 
Hi out there..!!

Boriti zingine bana shida kweli, nauliza hivi lini CHADEMA wataamka na kujua hawana Demokrasia kama jina la Chama chao kinavyoitwa..?

Kuongea mna Demokrasia ni jambo moja na kuitekeleza ni jambo lingine kabisa.. Lini Mbowe ataachia uenyekiti wa CHADEMA na wengine wagombee..? Huu si udikteta kabisa? Yaani yeye tu ndio anafaa miaka yoote? Vyama vingine bana, sijui wafuasi wake viziwi na vipofu... Hii SACCOS nadhani haaa..!!

Anyway nauliza tu, jibu linatakiwa..!!
Tunataka kujua ni wapi magu kapeleka 1.5 trillion za walipa kodi.
 
Back
Top Bottom