Hakunaga msukuma rimbukeni zaidi yako na bashite..acha kuidharirisha motherland.
Hawapendi kama niniKuelekea chaguzi zinazo kuja na kuzidi kukiimarisha chama cdm tumeingiza pikipiki 200 ili kurahishisha usafiri kwa watendaji wetu ili tukiimarishe chama.
Hapa chini ni mzigo huoView attachment 1099082View attachment 1099083
Mkuu tumia akili..unaowakingia ubavu watakutumia na kukutupa kama toilet paper
Kahama is one of the poorest districts in Tz. Majority of its inhabitants live in abject poverty. Mimi sio mgeni hapo kahama. Nilishafanya shughuli fulani na hao jamaa wa Kahama Oil Mills.Ndio wilaya pekee Tanzania yenye route kubwa ya mabus mengi sana ya kwenda karibia mikoa yote, ndio wilaya ambayo ina ma_bank ambayo hayapo baadhi ya mikoa kama huko kwenu, ndio wilaya ya pili kwa kuliingizia taifa pato kubwa baada ya kinondoni sasa kwanini vijana tusipige kazi eti tuyasikilize machadema majizi
Hakunaga msukuma rimbukeni zaidi yako na bashite..acha kuidharirisha motherland.
Kahama is one of the poorest districts in Tz. Majority of its inhabitants live in abject poverty. Mimi sio mgeni hapo kahama. Nilishafanya shughuli fulani na hao jamaa wa Kahama Oil Mills.
Wadanganye mbwa wenzio.
Wewe ni mwenda wazimu. Mungu yuko na viumbe wake wote, Mungu sio mbaguzi.Safi sana!
Mungu yuko na CHADEMA maana ndio iliyochaguliwa kuwakomboa watanzania.
Hata sie wana ccm tumelifurahia hilo, kwani tukishinda msije mkaja na yaleyale ya kuonewa , kuibiwa mkiwa macho na vijisababuKabisa mkuu hapa sasa ni jino kwa jino
Wale wanao eneza siasa za maji taka kuwa cdm wanatafuna ruzuku tu sasa ndiyo wanapata majibu yao
THIS IS THE JUNCTURE WAITED BY ME AND MYSELF FOR QIUET LONG, WAACHE WAENDELEE KUTUCHOKONOA TUTAWATOBOAIfike wakati CDM chairman aendane na wakati diplomacy is no longer applicable basing on current situation there need other approaches particulary violance and brutality to partisan
Sio lazima niambiwe, bali kila ishara zinaonyesha huo mradi ulikwisha wakati wake. Au haukuwa na manufaa chama kikabadilsha Gia.Uliambiwa imekufa?