CHADEMA twazidi kujiimarisha

CHADEMA twazidi kujiimarisha

Nasema hivi Chadema hamruhusiwi kufika kahama tutawapiga fire majizi nyinyi.
Duh! Sasa umejipa mamlaka ya kupiga marufuku chama cha siasa kisifike kahama? Mbona cdm kipo huko muda mrefu; na kina madiwani.
Mbwa koko ni mbwa koko tu. Nakuona ulivyofyata mkia kati ya makalio.
 
Hahahaah huku tuna Mbunge wetu tajiri Kishimba miradi mingine ana finance mwenyewe japo nayeye tutampiga chini muda sio mrefu kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wetu. Kahama ni yetu sasa tusubiri Mbowe ndio atusaidie kupiga marufuku majizi, makabila? Ole nsazi ewe mkima
Duh! Sasa umejipa mamlaka ya kupiga marufuku chama cha siasa kisifike kahama? Mbona cdm kipo huko muda mrefu; na kina madiwani.
Mbwa koko ni mbwa koko tu. Nakuona ulivyofyata mkia kati ya makalio.
 
Matajiri wa hapa ni Wasukuma wazawa tuna Kishimba, Ndegesela na wengine ndio wawekezaji wetu. Chadrama hamtakiwi kabisa huku
Ukifika kahama walio wekeza na wenye biashara za maana ni wageni tu na wenyeji wa kahama wao kazi zao ni kuingiza nyimbo kwenye simu tu basi
 
Mkuu afadhali utusaidie
Duh! Sasa umejipa mamlaka ya kupiga marufuku chama cha siasa kisifike kahama? Mbona cdm kipo huko muda mrefu; na kina madiwani.
Mbwa koko ni mbwa koko tu. Nakuona ulivyofyata mkia kati ya makalio.
 
Naona ndiyo kapewa lindo leo
Duh! Sasa umejipa mamlaka ya kupiga marufuku chama cha siasa kisifike kahama? Mbona cdm kipo huko muda mrefu; na kina madiwani.
Mbwa koko ni mbwa koko tu. Nakuona ulivyofyata mkia kati ya makalio.
 
Mnaitolea macho migodi yetu ee, huku hamtakiwi kabisa
Hufaidiki chochote na mgodi. Sana sana utaachiwa kemikali za sumu ziwamalize masikini wote wa hapo kahama. Mwenye pesa ndiye anayefaidi. Sio nyie fukara. Nyie ni wa kuwahurumiwa tu; na kuombewa kama jiwe.
 
Wageni wapo ila shule zote kubwa sijui Kwema, Mhongolo, Rocken hill na miradi mingine kama ma hotel migodi midogo, mashine kubwa za mipunga wamiliki ni watu wetu kabisa usilete porojo hapa kijana huko kwenu ndio mnawapa wageni
Ukifika kahama walio wekeza na wenye biashara za maana ni wageni tu na wenyeji wa kahama wao kazi zao ni kuingiza nyimbo kwenye simu tu basi
 
Hizo pikipiki hazita kua na msaada kuionfoa ccm kama hamto kata mizizi mikuu ya ccm ambayo ni tume ya uchanguzi,policeccm..piganieni tume huru ya uchaguzi hapo ndo jeuri ya ccm ilipo.
 
Sana sana ni washona viatu na wauza karanga stendi ya basi
Hufaidiki chochote na mgodi. Sana sana utaachiwa kemikali za sumu ziwamalize masikini wote wa hapo kahama. Mwenye pesa ndiye anayefaidi. Sio nyie fukara. Nyie ni wa kuwahurumiwa tu; na kuombewa kama jiwe.
 
Mkuu kazi ya kumuondoa mkoloni inahitaji subira na ndiyo safari inazidi kukolea moto kikubwa mshikamano
Hizo pikipiki hazita kua na msaada kuionfoa ccm kama hamto kata mizizi mikuu ya ccm ambayo ni tume ya uchanguzi,policeccm..piganieni tume huru ya uchaguzi hapo ndo jeuri ya ccm ilipo.
 
Ndio wilaya pekee Tanzania yenye route kubwa ya mabus mengi sana ya kwenda karibia mikoa yote, ndio wilaya ambayo ina ma_bank ambayo hayapo baadhi ya mikoa kama huko kwenu, ndio wilaya ya pili kwa kuliingizia taifa pato kubwa baada ya kinondoni sasa kwanini vijana tusipige kazi eti tuyasikilize machadema majizi
Hufaidiki chochote na mgodi. Sana sana utaachiwa kemikali za sumu ziwamalize masikini wote wa hapo kahama. Mwenye pesa ndiye anayefaidi. Sio nyie fukara. Nyie ni wa kuwahurumiwa tu; na kuombewa kama jiwe.
 
Hakunaga msukuma rimbukeni zaidi yako na bashite..acha kuidharirisha motherland.
 
Ndio wilaya pekee Tanzania yenye route kubwa ya mabus mengi sana ya kwenda karibia mikoa yote, ndio wilaya ambayo ina ma_bank ambayo hayapo baadhi ya mikoa kama huko kwenu, ndio wilaya ya pili kwa kuliingizia taifa pato kubwa baada ya kinondoni sasa kwanini vijana tusipige kazi eti tuyasikilize machadema majizi
Mkuu tumia akili..unaowakingia ubavu watakutumia na kukutupa kama toilet paper
 
Back
Top Bottom