The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
Duh! Sasa umejipa mamlaka ya kupiga marufuku chama cha siasa kisifike kahama? Mbona cdm kipo huko muda mrefu; na kina madiwani.Nasema hivi Chadema hamruhusiwi kufika kahama tutawapiga fire majizi nyinyi.
Huna mamlaka hayo, mbwa wewe.Ndio kabila pekee lenye watu mbavu kubwa, nakazia zaidi Chadema hatuwataki majizi nyinyi
Duh! Sasa umejipa mamlaka ya kupiga marufuku chama cha siasa kisifike kahama? Mbona cdm kipo huko muda mrefu; na kina madiwani.
Mbwa koko ni mbwa koko tu. Nakuona ulivyofyata mkia kati ya makalio.
Huna mamlaka hayo, mbwa wewe.
Huna mamlaka hayo, mbwa wewe.
Ukifika kahama walio wekeza na wenye biashara za maana ni wageni tu na wenyeji wa kahama wao kazi zao ni kuingiza nyimbo kwenye simu tu basi
Hufaidiki chochote na mgodi. Sana sana utaachiwa kemikali za sumu ziwamalize masikini wote wa hapo kahama. Mwenye pesa ndiye anayefaidi. Sio nyie fukara. Nyie ni wa kuwahurumiwa tu; na kuombewa kama jiwe.Mnaitolea macho migodi yetu ee, huku hamtakiwi kabisa
Ukifika kahama walio wekeza na wenye biashara za maana ni wageni tu na wenyeji wa kahama wao kazi zao ni kuingiza nyimbo kwenye simu tu basi
Hufaidiki chochote na mgodi. Sana sana utaachiwa kemikali za sumu ziwamalize masikini wote wa hapo kahama. Mwenye pesa ndiye anayefaidi. Sio nyie fukara. Nyie ni wa kuwahurumiwa tu; na kuombewa kama jiwe.
Hizo pikipiki hazita kua na msaada kuionfoa ccm kama hamto kata mizizi mikuu ya ccm ambayo ni tume ya uchanguzi,policeccm..piganieni tume huru ya uchaguzi hapo ndo jeuri ya ccm ilipo.
Huyu bwege wa kahama hata hajitambui. Kajiunga juzi juzi anatuletea ushuzi hapa. Atakimbia mwenyewe.Sana sana ni washona viatu na wauza karanga stendi ya basi
Hufaidiki chochote na mgodi. Sana sana utaachiwa kemikali za sumu ziwamalize masikini wote wa hapo kahama. Mwenye pesa ndiye anayefaidi. Sio nyie fukara. Nyie ni wa kuwahurumiwa tu; na kuombewa kama jiwe.
Maded hamna uwezo wa kuwaondoa subiri uone kitakachotokeaBaada ya kunyofoa uti wa mgongo wa wizi wa kura kwa kuondoa MA DED sasa ni wakati wa kujiimarisha
Sana sana ni washona viatu na wauza karanga stendi ya basi
Mkuu tumia akili..unaowakingia ubavu watakutumia na kukutupa kama toilet paperNdio wilaya pekee Tanzania yenye route kubwa ya mabus mengi sana ya kwenda karibia mikoa yote, ndio wilaya ambayo ina ma_bank ambayo hayapo baadhi ya mikoa kama huko kwenu, ndio wilaya ya pili kwa kuliingizia taifa pato kubwa baada ya kinondoni sasa kwanini vijana tusipige kazi eti tuyasikilize machadema majizi