Kahama_Tanzania
Member
- May 11, 2019
- 72
- 13
Yaani umejiunga leo hii jf ili kupinga na kuonyesha chuki yako dhidi ya mafanikio ya cdm maana naona ndiyo kwanza una post ya 38
kwahiyo kwa vile mna ID lukuki basi mnatukana tu maana ukitandikwa ban unaibuka na ID nyingine !Wacha kelele nyingi wewe, nina id yangu ya muda but nna ban. Mambo ya kujiunga hayo yapo nje ya mada husika.
huwa unapiga kura ngapi ?
kwahiyo kwa vile mna ID lukuki basi mnatukana tu maana ukitandikwa ban unaibuka na ID nyingine !
Una ban kwa kuwa akili zako za kizumbukuku ndiyo maana
Wacha kelele nyingi wewe, nina id yangu ya muda but nna ban. Mambo ya kujiunga hayo yapo nje ya mada husika.
Mnakombolewa kwenye nini !?Safi sana!
Mungu yuko na CHADEMA maana ndio iliyochaguliwa kuwakomboa watanzania.
Kifutu
mungu yupi !?Mungu ana mipango na cdm ktk ukombozi wa taifa letu
Chakubanga ni yule makengeza Dj !?Sipati picha ya chakubanga na Jiwe watakavyo itisha kikao fasta fasta kuweka mipango ya kwenda kukopa mahindra
Safi sana!
Mungu yuko na CHADEMA maana ndio iliyochaguliwa kuwakomboa watanzania.
Hatuhita Sera za violence. Tufuate nyayo za Bw. Gandhi wa India. Aliamini,hata jeshi liwe na nguvu namna gani haliwezi kuushinda umma. Ndiyo maana ya kauli mbiu"peeeepleeees....." Aluta continua"Ifike wakati CDM chairman aendane na wakati diplomacy is no longer applicable basing on current situation there need other approaches particulary violance and brutality to partisan.
Wako wengi, hata yule aliyetundikwa mtini wanadai pia eti ni mungu !Wewe unamjua mungu yupi?
Mmmmh ! Mbona huko Dj pia ni mwizi ! Ruzuku yote kaimalizaKutoka kwenye makucha ya majizi