CHADEMA tupeni mahesabu ya matumizi huko hospitali Nairobi

Hovyo sana umechangia? Mwezi siku zote anadhani mwenzake pia ni mwizi. Chadema tangu mwanzo walisema kuwa kutakuwa na audit. Hiyo fununu ni yako wala siyo ya mwingine. Acha roho mbaya.
 
We sasa unataka utupeleke n.y.u.m.bu kisomi..hizo habari hatutaki kusikia..na hata viongozi wetu wanatujua..si unaona tumeanza kukutukana..we tuache si huwa tunahoji ya wengine tu..

Nimekuelewa sana mkuu. LOL!!! Kuhoji rahisi, kuhojiwa mtiti mkali. Why act double standard kwa vitu vinavyofanana?
 
Wauguzaji ni sehemu ya wachangiwaji kuhoji si hekima ukumbuke wao pia wameacha shughuri zao kusaidia kuuguza.kuuguza ni pamoja na kubadilishana mawazo ingawa sijajua wazo la awari la kumpeleka ulaya limeishia wapi tusihoji michango tuhoji afya ya mgonjwa ndio dhumuni letu
 
Nimekuelewa sana mkuu. LOL!!! Kuhoji rahisi, kuhojiwa mtiti mkali. Why act double standard kwa vitu vinavyofanana?
tofautisha kati ya kuhoji na kuleta umbea mkuu...itakusaidia hata katika maisha yako!!!
 
Habari za leo wana jamvi?

Sasa ni takribani siku 12 tangu Kiongozi wetu kwa nafasi mbali mbali Mh. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi na wale wanaoitwa “Watu Wasiojulikana” na kulazwa katika hospitali ya Nairobi nchini Kenya.

Kufuatia shambulio hilo, tumewasikia viongozi wa CDM na watu wengine wenye mapenzi mema wakihamasisha watu binafsi na taasisi mbalimbali kuchangia matibabu ya kiongozi wetu huyo kutokana na gharama za matibabu kuwa kubwa sana (takribani 10M kwa siku according to Mbowe) na huku wengine wakitaka michango itolewe ili Lissu aweze kupata “World-class treatment” katika nchi za ulimwengu wa kwanza, suala ambalo sote tunalipongeza na kuliunga mkono kwa 100%.

Hata hivyo kuna baadhi ya watu walioibuka na minong’ono ya chini chini wakidai kuwa hawaamini kama gharama ambazo zinatajwa na viongozi wa chama hicho, kweli zina-reflect huduma ya matibabu anayoipata Lissu kwa sasa. Wamehoji gharama za matumizi kwa siku kwa kila mtu aliyepo Nairobi na kama hizo gharama zinalipwa kutokana na michango inayotolewa na watu huku wakisema kuwa kundi hilo la watu ni kubwa sana, ni vema wakabaki watu wawili tu kwani hawaoni kama kuna jukumu kubwa sana la kufanywa na kundi hilo lote.

Na wanong’onaji wengine wameibuka na mawazo yao ya “Kufa Kufaana”, huku wakisema kuwa katika masuala kama haya watu wengine hutumia opportunities hizo kujinufaisha (“shetani naye alitoka mbinguni”), kwani kunakuwa hakuna uangalizi wa karibu sana wa kila mchango unaotolewa. Wamekwenda mbali zaidi na kusema CDM walikuwa wakihoji matumizi ya kila senti ya shilingi iliyochangwa katika matukio mbalimbali kwa kusimamiwa na serikali hususan matukio ya tetemeko la ardhi huko Kagera na ajali mbaya ya gari huko Arusha ambayo iliondoa uhai wa watoto wetu wengi sana kutoka shule ya Lucky Vincent (May they Rest In Peace), ambapo waliishia kudai kuwa kulikuwa na matumizi mabaya ya fedha hizo na hata wakafikia hatua ya kuwatuhumu baadhi ya viongozi na kuwataja kwa majina yao.

Katika hali kama hiyo, watu wanasema kuwa ni vema CDM wakaonesha mfano wa matumizi bora ya michango inayoombwa kutoka kwa jamii, kwa kutoa report kamili (The Audited Report) ya michango na matumizi yote, vinginevyo watakuwa hawana uhalali wa kuhoji matumizi ya fedha zitakazokuwa zikikusanywa kwa usimamizi wa serikali.

THIS IS SOMETHING WORTH DOING

View attachment 591763

Benmpo
Ccm inapendwa na wajinga na wenye elimu ndogo kama wewe!kaulize mwandosya alitibiwa Kwa kiasi gani India.Unakumbuka mpaka JK alisema atibiwe tuu hakuna namna.Hujawahi kuuliza mbio za mwenge hukusanya kiasi gani matumizi take kiasi gani chenchi huenda wapi unakuja na umbea Wa kanga humu JF
 
fanyeni kwanza za bashite na kama umechanga tutumie evidence tukurudishie usituletee uchawi
 
Ccm inapendwa na wajinga na wenye elimu ndogo kama wewe!kaulize mwandosya alitibiwa Kwa kiasi gani India.Unakumbuka mpaka JK alisema atibiwe tuu hakuna namna.Hujawahi kuuliza mbio za mwenge hukusanya kiasi gani matumizi take kiasi gani chenchi huenda wapi unakuja na umbea Wa kanga humu JF

Wewe mbona ulihoji, how come sasa hivi uone kitu cha ajabu?
 
Fanyieni kwanza special audit fedha za wahanga wa tetemeko Bukoba to find out whether zilielekezwa kufanya kile ambacho donors walitarajia kifanywe kwa pesa zao!
 
Habari za leo wana jamvi?

Sasa ni takribani siku 12 tangu Kiongozi wetu kwa nafasi mbali mbali Mh. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi na wale wanaoitwa “Watu Wasiojulikana” na kulazwa katika hospitali ya Nairobi nchini Kenya.

Kufuatia shambulio hilo, tumewasikia viongozi wa CDM na watu wengine wenye mapenzi mema wakihamasisha watu binafsi na taasisi mbalimbali kuchangia matibabu ya kiongozi wetu huyo kutokana na gharama za matibabu kuwa kubwa sana (takribani 10M kwa siku according to Mbowe) na huku wengine wakitaka michango itolewe ili Lissu aweze kupata “World-class treatment” katika nchi za ulimwengu wa kwanza, suala ambalo sote tunalipongeza na kuliunga mkono kwa 100%.

Hata hivyo kuna baadhi ya watu walioibuka na minong’ono ya chini chini wakidai kuwa hawaamini kama gharama ambazo zinatajwa na viongozi wa chama hicho, kweli zina-reflect huduma ya matibabu anayoipata Lissu kwa sasa. Wamehoji gharama za matumizi kwa siku kwa kila mtu aliyepo Nairobi na kama hizo gharama zinalipwa kutokana na michango inayotolewa na watu huku wakisema kuwa kundi hilo la watu ni kubwa sana, ni vema wakabaki watu wawili tu kwani hawaoni kama kuna jukumu kubwa sana la kufanywa na kundi hilo lote.

Na wanong’onaji wengine wameibuka na mawazo yao ya “Kufa Kufaana”, huku wakisema kuwa katika masuala kama haya watu wengine hutumia opportunities hizo kujinufaisha (“shetani naye alitoka mbinguni”), kwani kunakuwa hakuna uangalizi wa karibu sana wa kila mchango unaotolewa. Wamekwenda mbali zaidi na kusema CDM walikuwa wakihoji matumizi ya kila senti ya shilingi iliyochangwa katika matukio mbalimbali kwa kusimamiwa na serikali hususan matukio ya tetemeko la ardhi huko Kagera na ajali mbaya ya gari huko Arusha ambayo iliondoa uhai wa watoto wetu wengi sana kutoka shule ya Lucky Vincent (May they Rest In Peace), ambapo waliishia kudai kuwa kulikuwa na matumizi mabaya ya fedha hizo na hata wakafikia hatua ya kuwatuhumu baadhi ya viongozi na kuwataja kwa majina yao.

Katika hali kama hiyo, watu wanasema kuwa ni vema CDM wakaonesha mfano wa matumizi bora ya michango inayoombwa kutoka kwa jamii, kwa kutoa report kamili (The Audited Report) ya michango na matumizi yote, vinginevyo watakuwa hawana uhalali wa kuhoji matumizi ya fedha zitakazokuwa zikikusanywa kwa usimamizi wa serikali.

THIS IS SOMETHING WORTH DOING

View attachment 591763

Benmpo
Unaweza kuwa na hoja ila kama hukutoa mchango huna haki ya kuuliza. Lakin kama umetoa ni rahisi tu peleka ushahidi wako kwa hao uliowatumia mchango wakupe mchanganuo. Na huo mchanganuo uwe ni wako lakini ukipenda unaweza kutushirikisha. Kulalama hapa wala haitakusaidia kupata majibu unayotaka.
 
Back
Top Bottom