CHADEMA tupeni mahesabu ya matumizi huko hospitali Nairobi

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,424
Huu ndio wakati muafaka kabisa wa CHADEMA kuwaupdate Watanzania hali ya Tundu Lisu huko Nairobi lkn kubwa zaidi kutuambia sisi wachangiaji wa matibabu kiasi gani kilichopatikana, kilichotumika, kisichotumika na makadirio ya gharama hadi apone kabisa..

Kama tunachanga ili kuprint t-shirt tujue, kama tunachanga ili kuwahudumia mafisi waliojazana Nairobi kwa mwamvuli wa huruma tujue, kama tunachanga kwa ajiri ya kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 tujue, n.k

Kumpiga picha na kusisitiza hali yake ni mbaya sana ili michango izidi kuende sambamba na kutoa taarifa ya mapato na matumizi, management yake, n.k

HAPA NDIO PA KUONYESHA UWAZI NA UTAWALA BORA KABLA YA KWENDA MAGOGONI, SISI WAPIGA KURA TUNAWAPIMA KWA MAMBO MADOGO TU AMBAYO NYIE HAMUWEZI KUYAWAZA
 
Kwani Nairobi kuna biashara inafanyika hadi kudai mapato na matumizi.
 
Sema wakupe wewe bosi wao usipende kusemea watu wengine bila kutumwa.
 
wewe ni hater, kazi yako ni moja tu, ku-hate.
 
jamaa ana logic tusimbeze kisa tu sisi ni upinzani,watanzania yatupasa kukua ki`fikra,ni kweli kuwa kuna utitiri wa hawa viongozi wetu wa upinzani huko Nairobi lakini kiuhalisia sidhani kama wana lolote la maana wanalolifanya ukizingatia wanaishi kwa gharama za chama au michango wanayoiomba pasipo kuwa na tija yeyote kwa mgonjwa,kwanini wasijipange wabakie wachache kwa ajili ya kumuangalia mgonjwa..after all mkewe yupo hao wengine kwanini wasirudi tu nyumbani?
 
wabongo bwana,kuuguza na kukupa mapato na matumizi at the same time hii inawezekanaje? acha matibabu yaendelee,baada ya matibabu mgonjwa akiwa poa then tutahoji au kujulishwa hayo mapato na matumizi,tunaokoa kwanza,mengine badae
 
jamaa ana logic tusimbeze kisa tu sisi ni upinzani,watanzania yatupasa kukua ki`fikra,ni kweli kuwa kuna utitiri wa hawa viongozi wetu wa upinzani huko Nairobi lakini kiuhalisia sidhani kama wana lolote la maana wanalolifanya ukizingatia wanaishi kwa gharama za chama au michango wanayoiomba pasipo kuwa na tija yeyote kwa mgonjwa,kwanini wasijipange wabakie wachache kwa ajili ya kumuangalia mgonjwa..after all mkewe yupo hao wengine kwanini wasirudi tu nyumbani?
Umesema kweli kabisa. Hivi watu wanajazana huko wakati hata mgonjwa mwenyewe haongei
 
Huu ndio wakati muafaka kabisa wa CHADEMA kuwaupdate Watanzania hali ya Tundu Lisu huko Nairobi lkn kubwa zaidi kutuambia sisi wachangiaji wa matibabu kiasi gani kilichopatikana, kilichotumika, kisichotumika na makadirio ya gharama hadi apone kabisa..

Kama tunachanga ili kuprint t-shirt tujue, kama tunachanga ili kuwahudumia mafisi waliojazana Nairobi kwa mwamvuli wa huruma tujue, kama tunachanga kwa ajiri ya kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 tujue, n.k

Kumpiga picha na kusisitiza hali yake ni mbaya sana ili michango izidi kuende sambamba na kutoa taarifa ya mapato na matumizi, management yake, n.k

HAPA NDIO PA KUONYESHA UWAZI NA UTAWALA BORA KABLA YA KWENDA MAGOGONI, SISI WAPIGA KURA TUNAWAPIMA KWA MAMBO MADOGO TU AMBAYO NYIE HAMUWEZI KUYAWAZA
Unakiwanda cha kuajiri wewe CCM au ajili imekushinda sababu hata kiswahili hujui?
 
jamaa ana logic tusimbeze kisa tu sisi ni upinzani,watanzania yatupasa kukua ki`fikra,ni kweli kuwa kuna utitiri wa hawa viongozi wetu wa upinzani huko Nairobi lakini kiuhalisia sidhani kama wana lolote la maana wanalolifanya ukizingatia wanaishi kwa gharama za chama au michango wanayoiomba pasipo kuwa na tija yeyote kwa mgonjwa,kwanini wasijipange wabakie wachache kwa ajili ya kumuangalia mgonjwa..after all mkewe yupo hao wengine kwanini wasirudi tu nyumbani?
Ana Logic kwa machizi wenzie kama wewe
 
Anza kusema ulichochangia. Hakuna haki bila wajibu.
Ndiyo nyie akina tusomee mapato na matumizi wakati huchangii chochote
 
Back
Top Bottom