Uchaguzi 2020 CHADEMA Tunduma: Wananchi wakimsindikiza Mwakajoka kuchukua fomu za Ubunge

Huwa tathimini yangu nilioipiga nimeona nikama mikoa ya mbeya songwe chadema niwengi kuliko mikoa mingine yote
 
Kina mama wa Mbeya huwa nawaelewa sana, hawanaga shobo na mboga mboga wamejitambua kitambo sana.
Ya wanawake wa mbeya nibalaaaa wameielewa sana cdm kunakipindi walipanga siku maalum ya kuvaa sare za chadema tu nafikiri walikua wakiifanya ijumaa yani kila kona walikua wanavaaa mpaka sokoni
 
Ya wanawake wa mbeya nibalaaaa wameielewa sana cdm kunakipindi walipanga siku maalum ya kuvaa sare za chadema tu nafikiri walikua wakiifanya ijumaa yani kila kona walikua wanavaaa mpaka sokoni
Huo ni ubunifu mzuri sana yafaa uigwe maeneo mengine.
 
Nyie chadema kwenye sanduku hatuwawezi, ila inshaalah wakurugenzi wanalipwa na gari zao zinajazwa mafuta kwa hela kutoka mfuko wa mwenyekiti wetu naamini jambo haliwezi haribika!
Angalau wewe umeandika vitu ambavyo ni ukweli,ila kiuhalisia kwa spirit aliyonayo Lissu na anayowapa Watanzania,safari hii DEDs wanatakiwa wawe na akili ku mkichwa.
Za kuambiwa,wachanganye na zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kina mama wa Mbeya huwa nawaelewa sana, hawanaga shobo na mboga mboga wamejitambua kitambo sana.

Sana tu, hata hawa watani zetu wa mtaa wa Lumumba afisi ndogo ya CCM Mpya buku7 ktk keyboards za propaganda na Polepole wamekubali jeshi hili la BAWACHA ni moto, tizama wanavyoingia hapa ktk shughuli maalum, Mbeya hawaangali wapi wapo, wapo ktk kila shughuli

Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mchuano mkali sana,ngoja nao ccm watoe majina yao tuone mpasuko wao ukiamia upande wa pili
CCM wameshagundua Hilo la Mpasuko wanachokifanya wanadelay kutoa majina ili Kila chama kiwe na mgombea siku wakitoa majina yao waliokosa washindwe kwa kuhamia.
 
Back
Top Bottom