CCM ishakufaga kitambo sana!!Silinde amejivua nguo sana.
CCM ishakufaga kitambo sana!!Silinde amejivua nguo sana.
nilijua masikhara...ila nimetoa chozi....wamama ndo wakomboz wa pili wa taifa hili....wako so concious yan! huo wimbo sisikii maneno ila nimeupenda kabisaUnaweza kutoka machozi
Kila siku siyo jumapiliHakuna kitu mkuu, mbona serikali za mitaa tulishindwa?
Washamba na malimbukeni walisema kwamba upinzani watakuwa washaufuta ikifika 2020
Hauoni aibu mwanaume kushabikia CCM?Tunduma ipo mkoa wa Songwe siyo mkoa wa Mbeya.Acheni jitihada za kujitwisha undondocha na CHAGADOMO lenu.
Wagombea walilazimisha kushindwa haukuwa uchaguzi ule ona ata aibu basi Dada anguHakuna kitu mkuu, mbona serikali za mitaa tulishindwa?
Hatari !!Akifika Lissu huko, sijui hali itakuwaje!!
Hahaa, mkuu Kurzawa, Member Babati ni CDM damu damu, labda hamjaelewana tu sehemu!!Wagombea walilazimisha kushindwa haukuwa uchaguzi ule ona ata aibu basi Dada angu
TUNDUMA MAMBO MOTO.
Wanachama wa chadema na Wananchi jana wamemsindikiza mbunge wao Frank Mwakajoka Kuchukua Form ya Ubunge Jimbo hilo...
#niyeye2020
13 August 2020
Tunduma, Tanzania
UMATI WA WATU WAMPELEKA MWAKAJOKA KUCHUKUA FORM YA KUGOMBEA UBUNGE.
Source: DSS Tunduma
Tuliwaambia CCM Mpya wananchi wanataka sera bora zitakazowafanya wawe watu huru katika kujiletea Maendeleao ya Watu.
Mfano wa Maendeleo ya Watu kwa mtu huru ni serikali kuweka mazingira bora katika kilimo. Siyo wao wanalima Korosho kama watoto yatima halafu siku ya mavuno serikali inakuja kuyanyakuwa kwa mkopo wakati wamefanya kazi kwa bidii na Jason jingi bila msaada wa Mkuu wa wilaya DC, RC, Waziri wa Kilimo, Ofisi ya Waziri Mkuu wala Ofisi ya Rais. Huo ni mfano mmoja wa unyanyasaji.
Wananchi wanaona unyanyasaji wa wazi kwa wabunge wao waliowatuma huko ndani ya Bunge na nje ya Bunge. Chaguzi ndogo kukuta Ofisi ya Mkurugenzi imefungwa! Mwaka 2019 Uchaguzi wa serikali za Mitaa na Vijiji wagombea wa upinzani kunyimwa fomu au kuenguliwa kihuni wananchi waliona. Vyombo vya habari kutishwa kurusha habari za wapinzani...
Wananchi wanalipa kodi lakini viongozi wanasema wazi na kwa vitendo vya kibaguzi kuwa hawatapata barabara kwa vile wamechagua viongozi bora ambao wametokana na upande mbadala ambao licha ya kuwa unatambulikana kisheria kupitia katiba lakini wanaadhibiwa na CCM Mpya kwa kunyimwa huduma muhimu za Maendeleo ya Watu.
Sasa wananchi wameamua kusema basi!
TUNDUMA MAMBO MOTO.
Wanachama wa chadema na Wananchi jana wamemsindikiza mbunge wao Frank Mwakajoka Kuchukua Form ya Ubunge Jimbo hilo...
#niyeye2020
Yote hayakidhi "their basic needs". Hayo kwao ni hadithi tu.Hivi hawa hawana habari za ndege kununua kwa cash? Hawajui SGR?
Mbona wako hivi hawa? Jee hawana habari za kuunga mkono juhudi kwa kina Nasari, Gekule, Silinde, na madiwani wengi tuu? Hata daraja la mfugale ambalo ni la aina yake barani Afrika?
Tena akiwa amevaa miwaniHiyo ni salaam hata kule Mbeya kwa yule maza wa uspika..tulimwambia akatubeza sasa kazi kwake...ajiandae kucheza sebene!!
13 August 2020
Tunduma, Tanzania
MWAKAJOKA AKIONGEA NJE YA OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI MARA BAADA YA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE
Frank Mwakajoka akiongea na waandishi wa habari nje ya Ofisi Tume Ya Uchaguzi ambapo Kamanda Mwakajoka amesema amepokelewa vizuri na maofisa wa Tume ya Uchaguzi na hivyo ana matumaini uchaguzi 2020 utakuwa wa haki na huru. Mwakajoka amesema hilo kwa kunukuu kauli ya Rais Magufuli kuwa uchaguzi mwaka huu utakuwa huru na wa haki ili atakayekuwa mshindi atangazwe.
Source : DSS Tunduma
Pamoja na kufunga bunge live wabunge wa CCM wanafikiri wananchi hawajui vituko na vihoja walivyokuwa wanavifanya kwa miaka mitano mfululizo bungeni.Hivi baada ya mikwara yote ile hawa jamaa wanaonekana wako "live and kicking". Anaejua siri ya CDM ni nini atueleze. Kwangu mimi washinde wasishinde wamenistajabiisha. Yule aliesema 2020 bye bye CDM itabidi atafute mikwara mingine naamini hata waliokwenda kuunga juhudi wameumbuka na hasa baada ya kugongwa na wajumbe wa CCM.