Wewe acha maswali ya kitoto bhana ...Chama Ni Cha wananchi ..na hiyo Ni Mali ya Chama Cha wananchi....hivi uliishia la lumumba B schoolUmesema wamejenga wananchi halafu unaita ni mali ya chama, huu utapeli unawasaidia nini?
Miaka 30 bado unajiita mchicha, labda mchicha mwiba.!
Mmekosa hata nguzo mzuri ya kuwekea bendera mpaka mmeweka bendera kwenye kijiti.?
Hizo ni ofisi au frem za machinga.?
Sina swali nina tango njoo IkalieTwo in one. Una swali ama hoja nyingine?
Off topic: Mapaa ya majengo mengi siku hizi ni mabaya sana, lakini ndiyo yanaitwa ya kisasa. Mapaa yenye slope kubwa hutumika nchi zenye snow ili kurahisisha snow itelemke kirahisi. Tanzania ambako hata mvua siku hizi ni ya kutafuta kwa sara huwa tunataka slope kubwa hizo za nini kama siyo ujinga tu? Inaongeza gharama za ujenzi bure.Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.
Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.
Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika CHADEMA tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.
View attachment 2241860
kwakweli mmejiimariha watu sita na nyinyi watatu kweli chama kimekuwa imara vijijiniHata mbuyu ulianza kama mchicha.
Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.
Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.
Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika CHADEMA tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.
View attachment 2241860
😁😁😬🙄Mmeenda kulaghai wananchi huko vijijini mnaita kujiimarisha. Nonsense, hili genge la wahuni wa saccos ni kulipuuza tu.Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.
Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.
Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika CHADEMA tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.
View attachment 2241860
Subirini Mbowe afe kwanza. Chadema Trust italiwa kama join the chain au zile 100mls za Mzee Sabodo au michango mingineChama kianze THE GREAT REBUILDING PROJECT. KIWEKE ASSETS KILA MAHALI.
IN 10 YEARS KIWE CHAMA TAJIRI KULIKO VYAMA VYOTE AFRICA.
IANZISHWE CHADEMA TRUST ITAKAYOKUSIKA KUSIMAMIA MALI ZOTE ZA CHAMA. MAAMUZI YA MALI YASIBAKIE KWA VIONGOZI WA CHAMA PEKEE.
Off topic: Mapaa ya majengo mengi siku hizi ni mabaya sana, lakini ndiyo yanaitwa ya kisasa. Mapaa yenye slope kubwa hutumika nchi zenye snow ili kurahisisha snow itelemke kirahisi. Tanzania ambako hata mvua siku hizi ni ya kutafuta kwa sara huwa tunataka slope kubwa hizo za nini kama siyo ujinga tu? Inaongeza gharama za ujenzi bure.
Sina swali nina tango njoo Ikalie
Vipi; hao wanawake wa peoples power ni free agents au ni taken au ni complicated!
Kwani mali ambazo leo CCM inamiliki na kujivunia zilijengwa na nani? Tena heri hii ya CDM watu wanatoa kwa hiari yao za CCM zilichangishwa kwa lazima kama kodi. Vinywaji baridi na vilevi viliongezwa bei, guest ziliongezwa bei kuchangia ujenzi wa viwanja na majengo ambayo leo CCM wanasema ni mali zao.Umesema wamejenga wananchi halafu unaita ni mali ya chama, huu utapeli unawasaidia nini?
Huu uporaji wa CCM si mmekuwa mkiukemea, saa ni nini hii kuuendeleza?Kwani mali ambazo leo CCM inamiliki na kujivunia zilijengwa na nani? Tena heri hii ya CDM watu wanatoa kwa hiari yao za CCM zilichangishwa kwa lazima kama kodi. Vinywaji baridi na vilevi viliongezwa bei, guest ziliongezwa bei kuchangia ujenzi wa viwanja na majengo ambayo leo CCM wanasema ni mali zao.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Yale yale, kwahiyo tuige au tukemee?Unapata picha gani ukisikia Tanzania ni taifa changa wakati ina miaka 60+?
CHADEMA haters mnachukia sana mafanikio ya hiki chama.Subirini Mbowe afe kwanza. Chadema Trust italiwa kama join the chain au zile 100mls za Mzee Sabodo au michango mingineView attachment 2242049
Hayo ni maoni yako ambayo tunaweza kukupuuza vile vile, wewe unafikiri hati za umiliki zitaandikwa chama cha wananchi?Wewe acha maswali ya kitoto bhana ...Chama Ni Cha wananchi ..na hiyo Ni Mali ya Chama Cha wananchi....hivi uliishia la lumumba B school