Hata mbuyu ulianza kama mchichaHii kazi mngeifanya 2010-2014 mngeshaimaliza. Lakini bado hamjacheleawa ni hatua nzuri.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Mungu zidi kuibariki CHADEMA.. Iweze kutimiza maono yake.. Aaamen [emoji1545]Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.
Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.
Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika cdm tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.View attachment 2241860
Kila jambo na wakati wakeHii kazi mngeifanya 2010-2014 mngeshaimaliza. Lakini bado hamjacheleawa ni hatua nzuri.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Mmetisha sana. Big upHata mbuyu ulianza kama mchicha.
Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.
Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.
Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika cdm tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.View attachment 2241860
naona kabisa na vyanzo vya mapato vimewekwaHata mbuyu ulianza kama mchicha.
Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.
Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.
Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika cdm tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.View attachment 2241860
Umesema wamejenga wananchi halafu unaita ni mali ya chama, huu utapeli unawasaidia nini?Hilo jengo lote ni mali ya CDM.
Mikoani kuna ofis nzuri za chadema kuliko hata ile ya Makao makuuHata mbuyu ulianza kama mchicha.
Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.
Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.
Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika cdm tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.View attachment 2241860
Akili zako ndiyo zinavyo kutuma.Miaka 30 bado unajiita mchicha, labda mchicha mwiba.!
LetuNi ofisi tu au na jengo ni lakwenu?