Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,690
- 4,919
Mkuu kama ikikupendeza na ukiona inafaa hebu tushirikishe nasi hiyo "Reasonable reason" ambayo kwayo inaruhusu MTU kushikiliwa siku kadhaa bila kufikishwa mahakamani.Ni vizuri kabla ya kulaani kujiuliza Kama kulitolewa sababu ya msingi ya kushikilia kwao. Kuwasha mwanak habari Haina maana mtu hawezi kuvunja Sheria au akivunja Sheria asiulizwe. Sababu iliyotolewa mbona iko reasonable?
Nyongeza na hiyo hebu tusaidie kuzifamu taratibu za kisheria zinazotakiwa kufuatwa katika kuzuia hati ya MTU ya kusafiria.
Ahsante!!