HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,639
Jamani, kuna nchi zina hali mbaya sanaa huko Yemen watu karibia milioni 8 watakumbwa na baa la njaa, watoto wengi wameshaanza kufa kwa ajili ya njaa, alafu hapa kwetu hivi viandishi vya habari eti vina make headlines ,mungu anatuona kwanin wasiende uko ku cover hzo story wanahangaika na majitu yanakula na kulala vizuri, inasikitishambona CHADEMA hawajalaani Trump alivyo wafokea mwandishi wa CNN