MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,758
- 6,692
Waliowashikilia walitoa sababu za kuwashikilia? Labda ungeanza na hilo kabla ya kuanza kuwewesekaNi vizuri kabla ya kulaani kujiuliza Kama kulitolewa sababu ya msingi ya kushikilia kwao. Kuwasha mwanak habari Haina maana mtu hawezi kuvunja Sheria au akivunja Sheria asiulizwe. Sababu iliyotolewa mbona iko reasonable?