CHADEMA: Tunalaani vikali Serikali kuwashikilia wanahabari

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Chadema wamecharuka baada ya kudaiwa kukamatwa kwa waandishi wawili raia wa kigeni kutoka Afrika Kusini "CPJ". Kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Uenezi na Mambo ya Nje, John Mrema amesema kuwa wanashangaa waandishi hao kuendelea kushikiliwa kwa pass zao za kusafiria na kuhoji kuwa ni sheria ipi inakataza waandishi hao kukutana na waandishi wengine wa ndani pamoja na viongozi wa vyama vya siasa.

-------
IMG-20181108-WA0051.jpeg
Capture.PNG
 
Chadema wamecharuka baada ya kudaiwa kukamatwa kwa waandishi wawili raia wa kigeni kutoka Afrika Kusini "CPJ". Kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Uenezi na Mambo ya Nje, John Mrema amesema kuwa wanashangaa waandishi hao kuendelea kushikiliwa kwa pass zao za kusafiria na kuhoji kuwa ni sheria ipi inakataza waandishi hao kukutana na waandishi wengine wa ndani pamoja na viongozi wa vyama vya siasa.

Huwezi kwanta nchi za watu kwa kibali cha matembezi (holiday) halafu ukafanya kazi. Inashangaza kama Mkurugenzi wa CHADEMA hana uelewa wa sheria za Uhamiaji. Nani mwenyeji wa hao waandishi? nani aliitisha vikao? Mrema awe muwazi.
 
"Watekaji wanaongea mojawapo ya Lugha za Afrika Kusini". Vituko vya Kamanda Mamboleo hivyo.
 
Huwezi kwanta nchi za watu kwa kibali cha matembezi (holiday) halafu ukafanya kazi. Inashangaza kama Mkurugenzi wa CHADEMA hana uelewa wa sheria za Uhamiaji. Nani mwenyeji wa hao waandishi? nani aliitisha vikao? Mrema awe muwazi.
Nini maana ya kufanya kazi? Wameingiza ujira wowote ule au ndo vike akili za kushikiwa tu enh
 
Hii nchi ina taratibu zake..ifikie mahali nchi za magharibi ziheshimu nchi za africa..wakitaka waende wakafanye kazi congo waone..
 
Yani msala wa;

1) Kutangazwa kwenye magazeti ulaya nzima kua Tanzania serikali inavunja HAKI ZA BINAADAMU NA SHERIA ZA NCHI.

2) Kutangazwa kwa KUPOTEA/KUULIWA/KUTEKWA/KUFUNGWA/KUKANDAMIZA kwa raia wetu.

3) Msala wa matukio ya watu wasiojulikana.

4) Msala wa kuonea na kufunga wanasiasa wa upinzani bila sababu za msingi.

5) Msala wa Europen Union EU na wenyewe hatujauvuka bado.

Halafu tunaenda kufanya useng* wa kutafuta msala mwingine tena. Hakika Tanzania ujinga ni janga la taifa sasa.

#Tulipo ni pabaya na tunapokwenda ni pabaya zaidi, Inasikitisha sana.
 
Huwezi kwanta nchi za watu kwa kibali cha matembezi (holiday) halafu ukafanya kazi. Inashangaza kama Mkurugenzi wa CHADEMA hana uelewa wa sheria za Uhamiaji. Nani mwenyeji wa hao waandishi? nani aliitisha vikao? Mrema awe muwazi.

Mambo kama haya ndio yanawaangusha Chadema, utafikiri hawapoki ruzuku inayotokana na jasho la watanzania. Watu wamevunja sheria ya nchi lakini Chadema inajitoa ufahamu na kuanza kutetea uhalifu. Utafikiri ni chama cha Burundi na sio Tanzania.
 
Hivi una uelewa wa majukumu ya vyama vya upinzani? Ulitaka Chadema waipongeze serikali kuwakamata hao waandishi wa habari ? Jaribu kutumia japo kiwango kidogo cha ufahamu.

Kwahiyo leo Chadema inapongeza kuvunjwa sheria kunakofywa na wageni?
 
Chadema wamecharuka baada ya kudaiwa kukamatwa kwa waandishi wawili raia wa kigeni kutoka Afrika Kusini "CPJ". Kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Uenezi na Mambo ya Nje, John Mrema amesema kuwa wanashangaa waandishi hao kuendelea kushikiliwa kwa pass zao za kusafiria na kuhoji kuwa ni sheria ipi inakataza waandishi hao kukutana na waandishi wengine wa ndani pamoja na viongozi wa vyama vya siasa.
Mrema kichwa maji unaweza kwenda marekani kutembea na badala yake ukaanza kufanya kazi ya kuwahoji waandishi? au unaweza kwenda kufanya hivyo Urusi?
 
Hii nchi imefika mahali inatia aibu hata kujihusisha nayo ni fedheha tu
 
Nini maana ya kufanya kazi? Wameingiza ujira wowote ule au ndo vike akili za kushikiwa tu enh
Huwezi kwenda nchi ya watu kwa viza ya matembezi halafu ukaita waandishi kutaka kutoa tamko kuwa wananyanyaswa
Unapewa viza kutokana na shughuli ulioitaja ukikiuka tu unafukuzwa,
 
Back
Top Bottom