CHADEMA Tukuyu

et mke wa slaa,,,watu bhna,,,sema hawara yale slaa
 
Prof yupi? Yule mgonjwa? Mbona hata ofisini kwenye Wizara isiyo Maalum haonekani!!! Kama ni yule mbona KWESHNEY!!

Hivi waziri asiyekuwa na wizara maalum maana yake nini? Ina maana yeye kazi yake ni kupita wizara nyingine kupiga story au?
 
Prof yupi? Yule mgonjwa? Mbona hata ofisini kwenye Wizara isiyo Maalum haonekani!!! Kama ni yule mbona KWESHNEY!!
unamtafuta ofisi gani au na wewe ameshakupatia hako unakosema anaumwa embu funguka huwa tunamuona ni mzima tu majukwaani tuambie mmeshapeana kapi ako
 
Hakuna kitu mfanye kazi ya ziada kumtoa prof pale tukuyu sio raisi uende na carlolite zako kupambana na wasomi huyo mama mvamia mabwana tupa kulee

Hivi usomi kwako nimpaka uwe professor ? na akili yako ilipoishia ni kwamba professor anaweza akawa kiongozi mzuri kuliko wengine wote ? nipe mifano ya maprofessor 3 tu duniani waliowahi kuwa marais ? akili yako ndogo sana ww
 
Wakuu kunawanawake wabaya duniani mwangalieni vizuri josefini yupo kama nini sijui anachekesha kweli.
Kiukweli hakufikii wewe mrembo sijui kwanini Dr haja kuoa wewe au niile tabia yako ya kukojoa nakumbuka nilipokuchukua sikuile ukanikojolea mpaka leo sina hamu na wewe...
 
unamtafuta ofisi gani au na wewe ameshakupatia hako unakosema anaumwa embu funguka huwa tunamuona ni mzima tu majukwaani tuambie mmeshapeana kapi ako
jukwaa gani au mkiwa kitandani maana nalo mnaita jukwaa...
 
Anatia huruma huyo mama anayehangaika kutwa kama kitenesi wewe unadhani tukuyu wanatishiwa nyau poleni.

tuachieni watu wa mbeya ndo tuamue acheni kutukana matusi humu , sisi hatutishwi na jina la professor kwa sababu maprofessor ni wengi mno mbeya, tunataka kiongozi na wala sio jina la professor, na sijaua ni professor yupi mnaemuongelea hapa, mimi ninaye toka huko najua hilo ni jimbo ambalo mbunge wake ni professor mwakyusa, sasa sidhani kama tunahitaji tena kuwa na Mbunge wa aina ya Mwakyusa tena
 
Hivi usomi kwako nimpaka uwe professor ? na akili yako ilipoishia ni kwamba professor anaweza akawa kiongozi mzuri kuliko wengine wote ? nipe mifano ya maprofessor 3 tu duniani waliowahi kuwa marais ? akili yako ndogo sana ww
yani wewe mbulula sana uliwai kuona rais changudoa?
 
picha kali sana...hongera!
Karibuni sana hapa kwetu Chadema. Naomba kwa leo nipaite cool spot. Karibuni sana....
View attachment 103491

Asante sana Mkuu Wile Gamba. Kuna Mkenya alikuwa analalamika Obama kapita bila kuenda Kisumu. Mkenya yule akawa anasema Kwenyu ni Kwenyu tu; utapitaje Kwenyu bila kusalimu ndugu zako. Niruhusu niseme hivi kuhusu hapa Kwetu. Kwenyu ni kwenyu tu. Hata pakiwa baridi namna gani. Ha ha ha ha.... Karibu sana Tukuyu Mkuu Wile Gamba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…