CHADEMA ni chama cha kisichothamini wanasiasa vijana

CHADEMA ni chama cha kisichothamini wanasiasa vijana

Kuitaja cdm ndiyo njia pekee ya kujitambulisha kwa haraka jf , hata kwa hoja za uongo .
 
elizea zitto afanyiwa nn? Chadema ni chama ambacho kina kinaongoza kwa vijana wengi kuliko chama kingine tz bisha nikuletee fact..

nadhani hujaelewa au umeelewa ila unajifanya hujaelewa. kinachojadiliwa hapa ni jinsi CHADEMA kinavyoshindwa kuwatumia vijana potential na badala yake vyeo hupewa kwa kujuana na uchaga uchaga. ukiwa mchaga hata kama shule huna basi utapata hata kuwa mwenyekiti wa chama. wengine hata kama wana PHD so long si wachaga hao watakalia bench tu. unajua elimu ya John Mnyika na nafasi aliyonayo ndani ya chama?
 
kwaiyo umekubaliana mimi kuwa asilimia kubwa ya uongozi chadema ni vijana sio?

kwani akili yako inamatatizo,ulisema hujui zito kafanywa nini ndani ya chadema nikakwambia kama kweli wewe ni mwanajf hai mambo aliyofanyiwa zito ni mengi nimeyasoma sana hapa jf kabla sijajiunga na kuwa mchangiaji na nikakwambia kama unataka kujuoa zaidi muulize ben yupo on line atakwambia zito kafanywa nini chadema mpaka leo amekuwa kama mhudumu tu ndani ya chadema,slaa akisafiri nafasi ya katibu mkuu anamkaimisha mnyika na ile hali zito yupo na ndiye naibu k/m lakini haachiwi ofisi.
 
nadhani hujaelewa au umeelewa ila unajifanya hujaelewa. kinachojadiliwa hapa ni jinsi CHADEMA kinavyoshindwa kuwatumia vijana potential na badala yake vyeo hupewa kwa kujuana na uchaga uchaga. ukiwa mchaga hata kama shule huna basi utapata hata kuwa mwenyekiti wa chama. wengine hata kama wana PHD so long si wachaga hao watakalia bench tu. unajua elimu ya John Mnyika na nafasi aliyonayo ndani ya chama?

Elimu si uongozi mkuu, mbona jk anakadgr kake anaingoza ccm yenye maprofesa na phd...
 
kwani akili yako inamatatizo,ulisema hujui zito kafanywa nini ndani ya chadema nikakwambia kama kweli wewe ni mwanajf hai mambo aliyofanyiwa zito ni mengi nimeyasoma sana hapa jf kabla sijajiunga na kuwa mchangiaji na nikakwambia kama unataka kujuoa zaidi muulize ben yupo on line atakwambia zito kafanywa nini chadema mpaka leo amekuwa kama mhudumu tu ndani ya chadema,slaa akisafiri nafasi ya katibu mkuu anamkaimisha mnyika na ile hali zito yupo na ndiye naibu k/m lakini haachiwi ofisi.

mkuu kama Zitto anaminywa asingekuwepo kwenye hiyo nafasi angeondoleo Acha kundikia mate mkuu..
 
upi ni upuuzi na upi siyo upuuzi kama hutaki kujadili bora usepe mapema ,

unaniletea mambo ya kiwanafuzi wanafunzi na ruga za kijiweni, sasa napata majibu kwa nini uliandika upuuzi huu, kwa nini unatumia neno kusepa dadala ya kuondoka ? unafikiri kila mtu atakuelewa kwaza sio kiswahili sanifu
 
Elimu si uongozi mkuu, mbona jk anakadgr kake anaingoza ccm yenye maprofesa na phd...

mkuu, kwa Tanzania, kiwango cha chini kabisa cha mtu kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa kiongozi ni angalau uwe na shahada moja. chini ya hapo unahesabika kama hujasoma. chadema wajipange sana. kwa nini uwang'ang'anie vihiyo wakati wasomi wapo kibao. au kwa vile si wachaga?
 
acha uongo mkuu, moja vigezo vya mbunge ajue kuandika na kusoma si lazima uwe na shaada ndo uwe kiongozi..
Sijui wewe unaishi tz gani?
 
sisi tunajadili wanasiasa vijana wanavyonyanyaswa ndani ya chadema wewe umekomaa na ccm rudi kwenye mada.

mada ni kuwa vijana wamenyanyasika sana huko sisiemu mpaka wameamua kujiunga na chama dume,chama chenye fursa kibao kwa vijana waliosoma na ambao hawajasoma=chadema
p.s movement mpaka vijijini .....chezea pipoz pawa wewe!!!!
 
mkuu, kwa tanzania, kiwango cha chini kabisa cha mtu kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa kiongozi ni angalau uwe na shahada moja. Chini ya hapo unahesabika kama hujasoma. Chadema wajipange sana. Kwa nini uwang'ang'anie vihiyo wakati wasomi wapo kibao. Au kwa vile si wachaga?

cc:john kom.ba teh...teh..teh!!!
 
Hivi kwako kijana ni umri gani ? mbona unajiaabisha, mimi kwa uelewa wangu more than 80 percent viongozi CHADEMA ni vijana, aibu yako

kumbe slaa naye ni kijana halafu hataki majina ya vijana yasonge mbele kwa ubinafsi na tama za uongozi.
 
chama gani kinaandaa vurugu kila siku,

By rub;tatizo lenu ccm hamna tena sera zenye mashiko mmebaki kuongea heti cdm wana vurugu kumbe nyunyi ndo tatizo,
Mkitaka kujua kwanba sera zenu hizo ni makelele kwa wananchi kwa sasa jaribu kufatilia mambo yanavyoenda sasa kuanzia chaguzi mmepiga makelele sana lakin cdm wanazidi kuwapokonya viti,angalia mikutano ya cdm sasa hivi watu wanajaa mpaka mnaona wivu na kuanza kupiga mabom bila sababu.
Ushauri kwenu ccm jipange kisera maana cdm wametoa elimu sana kwa raia ndo maana mbwembwe zenu hazina jipya tena.
Jiulize mnawambia raia waichukie cdm lakn ndo kwanza watu wanazidi kuikubali cdm mfano angalia mikutano ya cdm ni full nyomi na wanakuja kwa nauli zao sio nyie ccm mpaka mtoe usafir na posho ndo watu waje kwenye mikutano yenu.
 
CHINEMBA KWELI WEWE CHINEMBA

944504_10200976768556913_667316611_n.jpg
 
inabdi ugoro uwekwe kwenye kundi la madawa ya kulevya,mleta uzi ataje wabunge 20,vjana wa ccm,na wabunge 20,wazee wa cdm.
 
Back
Top Bottom