denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,487
- 68,281
- Thread starter
- #21
Mama waamshe wanaoo.nilsema hicho chama ni cha kaskazini ni cha wachaga so hatuwezi kuwa na vyama vyenye element za kidini.namsihi mkuu wa mkoa bw kafulila usikubali kujalibiwa na hao watu ili wakuharibie kitumbua chako.ni style ile ile waliomfanyia Lengai.mwangalie sana huyo mwenyekiti wa cdm hao watu wana ajenda zilizojificha.wanataka kuharibu amani ya nchi hivyo kabla hawajafanya hivyo hakikisha unadeal nao kisawasa bila kupepesa macho.